Sasa hivi anasifiwa kwa mabomu ambayo hayajawahi kurushwa popite duniani. Kuna mtu ananiambia limerushwa bomu hatari sana hata marekani hana mfumo wa kulizuia. Akiulizwa kwa hiyo operation imemalizwa na hilo bomu anapandwa hasira.Tunaachaje kumshangilia Simba/Yanga maana kwa dk hizo 60 tayari Man City keshaanza kuona uwezekano wa kudharirika kuwa mkubwa.
Nazan kauli sahihi sio "inataka" bali ishaingia kwenye vitendo teari. Vizuri haujakaa kishabiki ka wengine. Kama utaweza rudi juu kwenye kuna post imewekwa hapa kwa lugha ya kirusi... Icopy kisha kai'translate kuna picha flan hivi utaipata ya kila 'move' anayokuja nayo Russia.russia imesema inataka kuuza gas yake kwa HOSTILE nations kwa ruble, why ruble?? why only hostile nations???
Akikujibu nitagUrusi anajua kuwa NATO kaingilia?
Sawa mkuuAkikujibu nitag
Kyiv hawataki raia watoke maana raia wanatumiwa kama ngao....Latest Updates from Russia's Defence Ministry:
▪ Russia's MoD has announced that Kiev has yet again refused to coordinate the humanitarian corridors;
Wee jamaa umejibu nn?Bwana utumie akili kidogo(angalau jinsi unavyoweza). Kupita kwa ndege juu ya nchi kwa kusudi la kupiga picha za vituo vya kijeshi ni historia ya kale kidogo. Hakuna anayeihitaji. Kuna satelaiti siku hizi. Satelaiti zinazopiga picha kwa kutumia mwanga, kwa infraredi, kwa rada....... Nusu ya satelaiti za upelelezi zinazozunguka ni za MArekani, nusi nyingine ni kati ya Urusi, China, Ufaransa, Uingereza, Uhindi, Japani, Israeli, Korea Kusini na kadhalika.
Usiwe na wasiwasi ni nani anayejenga kamera na satelaiti bora.
(ukisita kujibu - ujiulize simu, kamera na laptop bora zinatoka wapi - hata kama nyingi zinatengenezwa China lakini nani alizibuni na kuandaa pamoja na kuhakikisha ubora wa uzalishaji??)
yeah but why only to hostile nations tu km lengo ni kupro-up ruble?because itawabidi watumie dola, euro,pound Kununua ruble,,hivyo Russia kupata foreign currency na ruble itapanda thamani
because itawabidi watumie dola, euro,pound Kununua ruble,,hivyo Russia kupata foreign currency na ruble itapanda thamani
Anamalizia kutype neno propaganda ndio ajeImfikie Morogoro kaskazini alitujulisha hapa kuwa kafa 🙂