LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
❗️YouTube brands RT "ineligible" for monetization - applies ban at Kiev's request

The platform has blocked RT from revenue streams via YouTube, after earlier blocking a video from being viewed in Ukraine.

A spokesperson for YT said content would appear less often in recommendations, while reportedly confirming the Ukrainian govt asked for the ban on RT content.

RT
 
Ni hivi Russia walisimama kupigana sababu Ukraine alitaka mazungumzo Ila ugumu ilikuja baada ya kushindwa kuhafikikiana sehemu ya mazungumzo.

Kufika jion hii mkuu wa majeshi Russia alitangaza kuendelea na Vita baada ya Ukraine kuingia mitini...
Ukiitaka Ukraine ikiwa na watu hutumii mabomu.
 
Upo uwezekano mkubwa Ukrain ikamshinda mrusi katika Vita inayoendelea, baadhi ya sababu zinazotajwa kumdhiriotosha mrusi ni pamoja na
1. Vita Hii kuingiliwa na mashambulio ya kimtandao ambapo baadhi ya hackers kutoka mashirika ya kijasusi wanapambana na mitandao na mifumo ya mawasiliano ya Urusi wakiwa wamejificha Kwenye kichaka cha invisible.

Tukumbuke Vita Hii inaongozwa zaidi ya technology kuliko nguvu za mwili hivyo Urusi anapambana na Dunia kitekinologia huku akipambana na Ukraine Kwa nguvu za mwili

2. Urusi anapopigana na Ukraine analinda asipambane na raia Bali apambane na askari, yanahitajika mahesabu makubwa.

3. NATO inamsaidia Ukraine

4. Kiu ya Mataifa Makubwa nikuitumia Vita ya Ukraine kujua nguvu ya Urusi

5. Vikwazo vya kiuchumi ni jambo baya Kwa uchumi wa Urusi na wananchi wake. Urusi inapigwa Kwa maneno huku vikwazo vikianza kufanya kazi ikiwemo tukio la ufaransa kukamata meli ya Urusi.

6. Wakati Ukrain akifanya jitihada ya mazungumzo na Urusi ,upo uwezekano wa Urusi kuanza kuomba mazungumzo na wakubwa wenzie kuepusha vikwazo vya uchumi.

Natabiri ushindi wa Ukrain....
 
maneno mepesi ehhhh haya NATO ndo wamenza vitendo sasa . Kama Russia ana ubavu awapige basi hao Germany, Netherland, USA, France maana wanamsaidia Ukraine kwa sasa.
Mbona kama huelewi kinachoendelea?

Russia iko Ukraine na itafamya vile inataka. Ambae anateseka amtoe Russia ndani ya Ukraine.
 
Ukiitaka Ukraine ikiwa na watu hutumii mabomu.
Na ndicho anachofanya Urusi... Anaogopa kupiga Raia... Na ndio maana imekuwa rahisi sana kwa Ukraine kuwa na uwamuzi wa kumpa yeyote silaha apigane... Na je taifa lina watu wangapi... Maana hadi sasa taarifa zinasema takribani watu 150000 ndio wameyakimbia makazi yao.. so bado kuna raia wengi kwenye miji ya Ukraine... Na hili Ukraine wanatumia kama kinga
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii inadhihirisha jinsi Wayahudi walivyo na ujasiri wa kusimamia kile wanachokiamini hasa. Hata nyakati hizo za Bible katika mapambano hawakuwahi kumkimbia adui haijalishi adui alikuwa na nguvu kiasi gani.

Kitendo cha huyu Rais wa Ukraine kukataa kukimbia vita nadhani inachangiwa na Spirit ya kiyahudi aliyonayo kwakuwa ndiyo asili yake. Yaani wale wayahudi waliozagaa Ulaya karne kadhaa nyuma.
 
Kwenu wachambuz
Screenshot_20220226-214634.jpg
 
Attachments

  • JamiiForums32654727.jpg
    JamiiForums32654727.jpg
    39.8 KB · Views: 15
Urusi akiona wantumia raia kama Kinga atawafanya kama alivyowafanya ISIL ni kurusha Yale makombola mazito mazito na kuuharibu mji mzima wa kiev kama alivyofanya Syria na allepo Yao.
 
Wenye akili ndogo ndiyo wanao amini kuwa Ukraine itaishinda urusi, hata CIA wanaamini kabla ya pasaka ukraine ita dondokea pua
 
Ukraine wanajua kabisa hawatoboi, wanachofanya ni kuharibu tu malengo ya kivita ya Urusi.
 
Hii inadhihirisha jinsi Wayahudi walivyo na ujasiri wa kusimamia kile wanachokiamini hasa. Hata nyakati hizo za Bible katika mapambano hawakuwahi kumkimbia adui haijalishi adui alikuwa na nguvu kiasi gani.

Kitendo cha huyu Rais wa Ukraine kukataa kukimbia vita nadhani inachangiwa na Spirit ya kiyahudi aliyonayo kwakuwa ndiyo asili yake. Yaani wale wayahudi waliozagaa Ulaya karne kadhaa nyuma.
 
Na ndicho anachofanya Urusi... Anaogopa kupiga Raia... Na ndio maana imekuwa rahisi sana kwa Ukraine kuwa na uwamuzi wa kumpa yeyote silaha apigane... Na je taifa lina watu wangapi... Maana hadi sasa taarifa zinasema takribani watu 150000 ndio wameyakimbia makazi yao.. so bado kuna raia wengi kwenye miji ya Ukraine... Na hili Ukraine wanatumia kama kinga
Kuna vita ya tecknology pia inaonekana inaendelea. Russia itakuwa anavamiwa.
 
Hapa nyuma ya key board tunaenda na upepo kama wachambuzi wa mpira, muda wowote unabadili upande.
 
Kuna mengi yamejificha kwenye hii vita iweje wasitwangane kipindi cha CORONA....
 
Back
Top Bottom