Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa huu undezi wa kibaguzi lazima utatokea, na tukumbuke ubaguzi upo kwenye nchi zote za ulaya, usione diaspora wanajifanya kujidai na mapicha kwenye social media,Nasikia eti Wanafunzi na Waafrika wasio Wanafunzi wanazuiliwa kuingia Poland ambako awali ilikuwa waende Ili kuwa salama kiufupi wanabaguliwa
Alisema atarudi, so hizo ni lugha za kisiasa kujitengenezea njia.Kashatia neno hapo.....
View attachment 2133434
Mwana taaluma Gani mpumbavu unafurahia vita for whose benefit?Sasa mambo sindio hayo sasa. Sio kupoteza mudatu wakati kamchezo Ni kadogo2
Kumbe hujui historia ya Putin vizuriUnamjua huyu jamaa alievaa shat jeupe na tai nyeusi? ndiye aliyemleta huyu kichaa madarakani. Putin akiwa kwenye mafunzo ya KGB alionekana kuwa na matatizo ya kiakili kwa hiyo hakupelekwa kufanya kazi za KGB. Badala yake aliishia kwenye shughuli nyingine tu kwenye ofisi ya Meya wa Lenningrad (St Petersberg ya leo) hadi huyu jamaa alipomuibua na kumpa madaraka ya mfululizo hadi kuwa waziri mkuu na baadaye kuwa rais.
Hivi ndio putin anatakiwa kuwapelekea moto, hapa ni kupiga air strikes za kibabe... Na sio kuingia ukraine wakati kule wananchi wanainga mkono jeshi lao. Mbinu hii waruso walifeli saana, hawapigani na jeshi la Ukraine, wanapigana na waUkraine na maadui wa urusi.
Aweke heshima ya kuua?Hivi ndio putin anatakiwa kuwapelekea moto, hapa ni kupiga air strikes za kibabe... Na sio kuingia ukraine wakati kule wananchi wanainga mkono jeshi lao. Mbinu hii waruso walifeli saana, hawapigani na jeshi la Ukraine, wanapigana na waUkraine na maadui wa urusi.
Japo hii italeta saana madhara kwa wananchi, ila kwa kulinda heshima yake hana namna.
Huyu jamaa ni pro russia so iwapo angekuwepo yeye madarakani hamna ambacho kingetokea maana asingeifavor ukraine kivyovyote against russiaKashatia neno hapo.....
View attachment 2133434
swali lingine,kama majimbo ya luhansk na zelensk yanataka kujitenga kutoka ukraine,wewe ni nani uwakatalie na unaanza kuwapiga?hakuna anaepinga kuwa urusi ana jeshi lenye nguvu kushinda ukraine
na kama jeshi lmezidiwa ni sahihi raisi kuwaambia raia wachukue siraha wajilinde wenyewe,
hapo rais kakosea wap?
kwa mtizamo wangu
nikuwa urusi anakosa sapoti ya raia wa ukraine,
endapo waukraine wangekuwa hawaitaki serikali yao ingekuwa kazi nyepesi kwa urusi
ni kama libya na iraki
marekani alipozivamia zile nchi alikutana na sapoti ya raia wa zile nchi.
na hii ni tofaut na hali ilivyo pale ukraine,
waukraine wameungana na serikali yao kupambana na adui,
nikuulize swali moja
kama raia wa ukraine wanataka kujiunga na Nato wewe ni nani hadi uwazuie?
Hawanyooshwi kamweHawa wabaguzi wa Ukraine wanawazuia waafrika kupanda treni kutoroka mapigano kwenda Poland.
Kinachosikitisha zaidi wanawazuia hadi wanawake na watoto tena wajawazito kisa tu rangi zao za mwili.
Acha tu Putin awaanyooshe. Wengi msiojua tangu Putin angie madarakani Urusi Kaleta mabadiliko makubwa sana kwa watu weusi waishio Urusi kwa kuweka sheria za kuheshimiwa na haki.
WayUkrain wabaguzi sana. Acha wanyooshwe tu.