Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hadi kufikia jioni naamini dakika 90 za mpambano zitakuwa zimeisha na hazitaongezwa dakika 30 wala penalt hatuendi. Putin atamaliza mapema sana mchezo huu. Tit for tat=Vita ni Vita Mura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usa hana uwezo kufikisha warheads ndani yq muda mfupi russia ila russia anakitu cha kutembea km11000View attachment 2134513
Dunia aombe tu Putin asifanye makosa akabonyeza kitufe, maana US akijibu dunia itakwisha.
Ila Russia akirusha hilo uharibifu wake kama inavoonyesha ni mita 600 upana wake.
Mkuu,huyu hana malezi bora,huwezi kuwa na akili timamamu kwa kutukana na kukejeli kila mtu kisa mnatofautiana ki mtazamo, inatia shaka sana kama kweli alipata malezi bora utotoni. The best way ni kumu ignore tu,watu wana frustration za maisha na mahali pekee pa kutolea stress zao ni hapa,Nimesoma hoja zako ukiwajibu watu, naona unapambana kweli kutoa majibu yasiyo na staha na yanayokera kwa watu wenye mtazamo tofauti na imani yako kwa Putin wa Urusi. Putin unamuhusudu kweli kweli, Well ni sawa na naheshimu hilo ila ukumbuke ni imani tu, ukirudi kwenye uhalisia yule ni putin binadamu mwanaume kama wewe tu sasa angalia imani isikuzidi ukajikuta unafanya ibada.
Yaan nchi moja wafe watu mil 24??Ninachojua na hata ukisoma historia ya Urusi, yeye huwa hajali hata ukiua wanajeshi wake kwa maelfu na malaki, ataendelea kuleta more and more na ndio mbinu alifanya kwa Hittler, Warusi waliuawa zaidi ya milioni 24 na hawakusitisha vita.
Japo simpendi Putin na nawachukia sana hao Warusi kwa hicho wanachkifanya huko, ila Ukraine akubali tu yaishe, maana Putin yupo radhi kurubuni maelfu ya wanajeshi wake ila asiingie aibu ya kushindwa.
Usa hana uwezo kufikisha warheads ndani yq muda mfupi russia ila russia anakitu cha kutembea km11000
Hii chai haina hata sukari😀Usa hana uwezo kufikisha warheads ndani yq muda mfupi russia ila russia anakitu cha kutembea km11000
ha ha ha we jamaa unanifurahisha sana Mkuu, huna stress hata kidogo,muda wote wewe ni full burudani.Hadi kufikia jioni naamini dakika 90 za mpambano zitakuwa zimeisha na hazitaongezwa dakika 30 wala penalt hatuendi. Putin atamaliza mapema sana mchezo huu. Tit for tat=Vita ni Vita Mura
Russia anasaidiwa na kanchi kadogo?Ila wanasema eti baada ya kuona wale vijana wa awali wasio wazoefu na vita imekula kwao,wanaleta jeshi lenye nguvu kutoka Belarus..
Kwamba ndani ya siku 12 lazima wachukue serikali,wakishindwa hapo watakuwa kwenye shinikizo kubwa zaidi la kumaliza vita .
View attachment 2134405
Ni kweli. Kuliko kuparuana nae bora ukamuacha.Mkuu,huyu hana malezi bora,huwezi kuwa na akili timamamu kwa kutukana na kukejeli kila mtu kisa mnatofautiana ki mtazamo, inatia shaka sana kama kweli alipata malezi bora utotoni. The best way ni kumu ignore tu,watu wana frustration za maisha na mahali pekee pa kutolea stress zao ni hapa,
CNN wanasema walidhani ile convoy ni kama KM 4 urefu ila satelite image inaonesha ni zaidi ya 40KM plus hii ni punch kama ni boxing basi mtu anapigwa knockout. Mimi binafsi sina sababu ya kumpenda Russia ila nachochukia hawa jamaa wakianza kampeni zao za media wasichokitaka wao utasema mwisho wa dunia ila haya yangeweza kutokea huku kwetu na uhakika wangetoa maneno tu na kupotezea hawa thamini kabisa watu wengine ila ya kwao wanataka kila mtu aongelee kitu kizuri pekee katika hili hata kelele za Corona wamesahau ghafla na ugonjwa umesahaulika. Hawa jamaa hatari sana nimefurahi tu nchi za Africa kimyaa good wapambane na hali zao.Hadi kufikia jioni naamini dakika 90 za mpambano zitakuwa zimeisha na hazitaongezwa dakika 30 wala penalt hatuendi. Putin atamaliza mapema sana mchezo huu. Tit for tat=Vita ni Vita Mura
Kuna mchezaji alisukuma paka kwa mguu tu basi utasema karusha bomu la nuclear haikubaliki, afukuzwe, afungwe maneno mpaka unashangaa kwani paka kafa? wao paka kusukumwa ni habari kubwa kuliko mwafrica kufa sasa utakuta huku kwetu mtu I stand for Ukraine.CNN wanasema walidhani ile convoy ni kama KM 4 urefu ila satelite image inaonesha ni zaidi ya 40KM plus hii ni punch kama ni boxing basi mtu anapigwa knockout. Mimi binafsi sina sababu ya kumpenda Russia ila nachochukia hawa jamaa wakianza kampeni zao za media wasichokitaka wao utasema mwisho wa dunia ila haya yangeweza kutokea huku kwetu na uhakika wangetoa maneno tu na kupotezea hawa thamini kabisa watu wengine ila ya kwao wanataka kila mtu aongelee kitu kizuri pekee katika hili hata kelele za Corona wamesahau ghafla na ugonjwa umesahaulika. Hawa jamaa hatari sana nimefurahi tu nchi za Africa kimyaa good wapambane na hali zao.
Sasa nchi za Africa zitaongea nini? Katika hili hakuna haja ya kuwa na kiherehere cha kuchagua upande mapema. Unakaa unatazama kwa mbali. 😀CNN wanasema walidhani ile convoy ni kama KM 4 urefu ila satelite image inaonesha ni zaidi ya 40KM plus hii ni punch kama ni boxing basi mtu anapigwa knockout. Mimi binafsi sina sababu ...
Alikuwa Anawahesabu Achana naye huyo ni Mpuuzi tuYaan nchi moja wafe watu mil 24??
Yule paka alipigwa bana. Umeangalia video zote? Kuna moja alitandikwa kofi nyingine buti halafu kuna moja nafikiri ndo unayoisemea ya kumsukuma kwa mguu.Kuna mchezaji alisukuma paka kwa mguu tu basi utasema karusha bomu la nuclear haikubaliki, afukuzwe, afungwe maneno mpaka unashangaa kwani paka kafa? wao paka kusukumwa ni habari kubwa kuliko mwafrica kufa sasa utakuta huku kwetu mtu I stand for Ukraine.
Na kuna watu wamebet kabisa.Hivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Nimependa hii kuwapotezea tuSasa nchi za Africa zitaongea nini? Katika hili hakuna haja ya kuwa na kiherehere cha kuchagua upande mapema. Unakaa unatazama kwa mbali. 😀
Bangi tu hizo!Katika hari ya kushangaza dunia Putin amesikika akitangaza kuivamia Ukraine na kusema yeyote atakaye jipendekeza atazaa nae, hivi hiki kibuli ni kweli anacho au biti.
Karibuni maana sielewi.