thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
wanaandamana moscow huko
Huyo Putin ushawishi wake utazidi kupungua kadiri muda unavyokwenda, hao maoligarch na hizo wealth families ambazo washakula kibano cha vikwazo vya kiuchumi hawawezi kuendelea kuwa bega kwa bega na Putin kwa muda mrefu maana maslah yao yatakuwa yanazidi kupotea so ni suala la muda hao russians now wanachukiwa sehemu nyingi dunian hasahasa western na maisha kwa russians yatazidi kuwa magumu sana matokeo yake shinikizo likizidi atang'oka au kwa aibu itabidi anga'tuke kilinda heshima yake na kupisha kiongozi mwingine ambayo kwa ajili ya mashinikisho atajikuta anakaa na western meza moja. Western wanatumia akili zaidi na wamemtafuta Putin muda naye now kaingia cha kike na wanamsulubu kweli kweli bila huruma mpaka zee limesema;
Western countries are not only taking unfriendly actions against our country in the economic area. I'm speaking about the illegitimate sanctions that everyone is well aware of. However, the top officials of the leading NATO countries also make aggressive statements against our country as well,” Putin stated.