LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hivi mimi najiuliza sana RUSSIA anapata wapi pesa za kutengeneza hzo nyuklia zote na ana vikwazo kama vyote, anapata wapi pesa?? Russia ni tajir sema propaganda za NATO wanafanya tuone Russia haina kitu.

Russia akitolewa vikwazo vyote atakua hatari sana. Silaha ya mmarekani ni VIKWAZO tu hana mbinu nyingine. Mwisho wake utafika ataanguka tu.
Russia ni moja ya supplier mkubwa wa pipi ulaya. Ile ni nchi ya kimafia na putin ni mafia haswa
 
Russia alichokifanya ni kuwafumbua macho mataifa mengine waone tabia halisi za wamagharibi hivi vikwazo vinavyowekwa hovyo hovyo vitawafumbua macho mataifa mengine yanayoinukia na baada ya huu mgogoro wataanza kudeal na mbinu za kujadiliana navyo kimyakimya soon tutapata SWIFT mpya, heshima ya fifa itashuka nk
We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo.
 
Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.
Acha uongo, waandika porojo nyingi halafu huweki hata link yoyote ya habari kusapoti porojo zako.

Kwani umeibiwa smartphone?

 
We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo. Sanctions baba, Sa We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo. Sanctions mzee, Sanctions
 
Russia’s foreign ministry has said those supplying lethal weapons to Ukraine will bear responsibility should they be used during Russia’s military campaign there.

The ministry added that the steps the European Union has taken against Russia will not be left without a harsh response.
What kind of responsibility?! Otherwise, it's just a bluff!
 
Mabepari achana nao ndo maana china waliona ni upumbavu kuendelea na sera za ujamaa maana hazilipi wakaingia kwenye ubepari mazima matokeo yake leo hii China yupo namba mbili kiuchumi. Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.
Acha porojo, China haijauacha mfumo wa kijamaa, inafuata mfumo mpya wa ujamaa

Soma hapa kama wajua kiingereza lakini

How China combined authoritarianism with capitalism to create a new communism
 
What kind of responsibility?! Otherwise, it's just a bluff!
Russia hataweza kushinda kwa kutumia Jeshi la ardhini, tena hizo Silaha zikifika ndio atakuwa anashambuliwa nyuma, mbele na kulia... Mataifa ya Ulaya yamesharuhusu Raia wake kwenda Ukraine kupigana vita hapo wataingia hadi wanajeshi wa hizo nchi
 
Kuna mtu leo aliongea kuhusu hili humu
IMG_20220228_233554.png
 
Russia hataweza kushinda kwa kutumia Jeshi la ardhini, tena hizo Silaha zikifika ndio atakuwa anashambuliwa nyuma, mbele na kulia... Mataifa ya Ulaya yamesharuhusu Raia wake kwenda Ukraine kupigana vita hapo wataingia hadi wanajeshi wa hizo nchi
Umelewa kande la kunde lililopikwa kwa shemeji yako na house girl kutoka dodoma. Sasa hivi unatoa ushuzi hapo sebureni.
 
Unaona harakati za Macron?? Yeye sio viongozi vichaa kama BORIS. Jamaa anapenda sana amani. Ujue hii vita sio itatikisa uchumi wa URUSI PEKEE hadi ulaya nzima, huku USA akijikita zaidi kuuza silaha.
Umewahi kujiuliza kwanini vita zote za Dunia zinapiganwa ULAYA??
USA anataka kudominate Dunia zaidi na zaidi kwa mikopo nk. Mpinzani mkubwa wa USA ni CHINA, na China katulia ili nae auze silaha.
Acha tuone mzigo utakavyokuwa, ila nakuhakikishia hii vita ikipiganwa jumla SOUTH AFRIKA atasogea moja ya nchi tajiri duniani. Most of European country watarudi nyuma kiuchumi. Remind you, WWII nchi zote za Afrika hazikuzimejipatia uhuru, hivyo nguvu kazi ilikusanywa hadi huku. Now hakuna nchi itapeleka majeshi yake kusaidia wazungu, Dunia itageuka na uchumi utakua ASIA.
View attachment 2134365
unaota wewe kama wangekuwa na mawazo yako hata iyo NATO isingeundwa na huo Umoja wa ulaya
stori zako nyingi za gahawa
 
Back
Top Bottom