Unaona harakati za Macron?? Yeye sio viongozi vichaa kama BORIS. Jamaa anapenda sana amani. Ujue hii vita sio itatikisa uchumi wa URUSI PEKEE hadi ulaya nzima, huku USA akijikita zaidi kuuza silaha.
Umewahi kujiuliza kwanini vita zote za Dunia zinapiganwa ULAYA??
USA anataka kudominate Dunia zaidi na zaidi kwa mikopo nk. Mpinzani mkubwa wa USA ni CHINA, na China katulia ili nae auze silaha.
Acha tuone mzigo utakavyokuwa, ila nakuhakikishia hii vita ikipiganwa jumla SOUTH AFRIKA atasogea moja ya nchi tajiri duniani. Most of European country watarudi nyuma kiuchumi. Remind you, WWII nchi zote za Afrika hazikuzimejipatia uhuru, hivyo nguvu kazi ilikusanywa hadi huku. Now hakuna nchi itapeleka majeshi yake kusaidia wazungu, Dunia itageuka na uchumi utakua ASIA.
View attachment 2134365