thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
uwongo tena ili nipate nini soma hiyo link Cracks emerge between Beijing and Moscow as two Chinese banks restrict lendingAcha uongo, waandika porojo nyingi halafu huweki hata link yoyote ya habari kusapoti porojo zako.
Kwani umeibiwa smartphone?
China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia
Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa. ======...www.jamiiforums.com