Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaonaje mkaanzisha platform yenu kisha mkawakosoa kadri mpendavyo kwa uhuru bila kukutana ni hivi vikwazo vyao MkuuJamaa ni waoga sana hawataki mawazo mbadala. Halafu hao ndio huwa wanatuhubiria democracy na uhuru wa kujieleza/kutoa maoni
Siri zipi mkuuWakati we una type hapa kuandika ila jua kuna watu hawalali wapo kwenye rada mda wote kusoma htr zinazoweza kujitokeza anytime katika raifa ili usiendelee kufanya shughuli zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawataki kuuziwa kesi🇵🇱🇺🇦Poland is not sending planes to Ukraine because NATO is not a party to the conflict, said President Duda.
Earlier, Ukraine announced that Bulgaria, Slovakia and Poland would transfer 70 MiG-29 and Su-25 aircraft to Ukraine. In Sofia, this information was denied.
@SputnikLive
Ni muda muafaka sasa wa kuwa na platform kama twitter ya Russia,au wao wako busy na silaha peke yake,ona sasa unakosa uhuru wa kuwakosoaNimejaribu nikaambiwa nifute [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vipi uliyetokana na mizizi umeamka!?Mnaonaje mkaanzisha platform yenu kisha mkawakosoa kadri mpendavyo kwa uhuru bila kukutana ni hivi vikwazo vyao Mkuu
Sasa hata kama ni wewe utafanyaaje lazima ukatae[emoji1200][emoji1255]Poland is not sending planes to Ukraine because NATO is not a party to the conflict, said President Duda.
Earlier, Ukraine announced that Bulgaria, Slovakia and Poland would transfer 70 MiG-29 and Su-25 aircraft to Ukraine. In Sofia, this information was denied.
@SputnikLive
msemaji wa Klemlini kazini 😂Tuliwaambia URUSI hana utani, wakaja PRO-NATO wa BUZA na kelele za kusema URUSI hana vifaa na amepigwa vibaya.
Kinachondelea UKRAINE nia BALAA. Tuombe wamalize tofauti zao kwa mazungumzo na sio kwa Vita. Vita ni mbaya sana, nimeona sehemu URUSI wamesema kutokana na propaganda zinazoenezwa kuwa askari wao wengi wameuawa sasa wanataka kuwaonesha kile kitu halisi kinachoitwa kipigo.
ndivo mliongea wakakwambia?Russia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
ndivo mliongea wakakwambiaRussia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
Ukiuliza sources unajibiwa "trust me bro" 😀JF tujilazimishe kuweka vyanzo ( sources) za taarifa tunazitoa. Mtu anaandika article ndefu lakini haina reference yeyote utafikiri ngonjera anamtungia mpenzi wake!
Huyu rais kichwa yake ipo resi[emoji298]️ Ukraine's EU membership application - under accelerated procedure - has been accepted, registered and is under consideration - Zelensky's office