LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanakolekea usije shangaa hata app store na Android zikawa disabled kwa Russia,warudi kutumia Huwaei za xinji Pi kabisa 😂😂😂
mbona watafanyiwa hivyo soon chezea western countries hao ndo SUPERPOWERS siyo huyo mzee puto yeye ni kapagawas
 
NATO wanaogopa sana vita na Urusi, na kwa kuwa Ukraine diyo mwanachama wa NATO basi wamepata kisingizio.
Nimeona eti wanatoa msaada wa MIG 29! huu ni utani wa hali ya juu. Kwa silaha za kisasa ndege hizo zitapigwa zote, ni za kizamani mno. Huwezi kumpatia askari wa kimarekani ndege hiyo airushe kwenye vita - ataona humpendi na unamtafutia kifo.

Waafrika siyo tunakenua mno?

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Mkuu hebu fikiri kwanza kabla ya kuandika. Unaposema Marekani na NATO washa surrender bila kutuambia wame surrender kivipi ina maana gani? Je kuna mmoja wao alivamiwa kati ya Marekani au NATO? Kama hakuna alievamiwa kati ya hao niliowataja unawezaje kusema wame surrender? Kama ulivyoandika hapo juu kuwa sheria au mkataba wa NATO na baba yao Marekani unaruhusu nchi hizo au umoja huo kuingia vitani pindi tu mmoja wao anaposhambuliwa, je Ukraine ni mmoja wa wanachama wao? Jibu hapana sio mmoja wao, na kama sio mmoja wao, unawezaje kusema kuwa wame surrender? Ukweli ni kwamba Putin mwenyew anaiogopa NATO ndio maana ameacha kuzishambulia nchi za NATO ambazo zingine zipo mlangoni kwake (hapa nazungumzia nchi zile za nato anazopeana nazo mpaka) na badala yake kaenda kuishambulia Ukraine ambayo haina uanachama wa umoja huo. Kama lengo ni kuzuia silaha hatari na upanuzi wa NATO katika eneo hilo, kwann kaishambulia nchi ambayo sio mwanachama, na kuacha kushambulia zile ambazo ni wanachama halisi tena zenye majeshi na silaha hatari za NATO karibu yake? Hii ni sawa na kwenda kumkamata mtoto wa jiran yako, eti kisa rafiki yake (ambae pia ni jirani yako) amekuibia kuku wako. Russia anajua fika kuwa Ukraine sio mwachama wa NATO, kwahiyo uvamizi wake hauwezi kuigusa Marekani moja kwa moja, au kuleta madhara yoyote kwa NATO. Angethubutu kufanya hivyo kwa nchi yoyote ya NATO iliyo jirani yake bila kuchukuliwa hatua, hapo ndo tungesema jamaa kweli ni mwanaume. Nakutupia ramani hapo uangalia nchi ambazo zina jeshi kubwa na silaha hatari za NATO tena zinapeana mpaka kabisa na Russia lkn jamaa hakupima kuzivamia kuharibu silaha zao kama anavyodai kwa upande wa Ukraine.
Kuusema ule ukweli,Russia ameishazingirwa na nchi wanachama wa NATO.
 
Mzee tatizo umekuja na ushabiki mkubwa na ushabiki unatabia ya kuondoa reasoning, hebu jiulize kwa nini Russia haikutumia nguvu sana mwanzoni kama inavyotumia sasa? Umeskia upinzani wowote kwa mashambulizi ya jana?

Leo camera zote zinaonyesha maafa tu yaliyotokea jana na hakuna resistance yoyote ya jeshi la Ukraine. Ukraine walifanya huo upinzani pale ambapo uvamizi haukua mkubwa ila kwa sasa Russia wamekua serious na operation yao hamna upinzani wowote Ukraine wenyewe wako kimya kila sehemu kunashambuliwa.

Hiyo akaunti ya twitter ilikua inajaza propanganda za Ukraine kuonyesha kwamba Russia wamezidiwa leo wenyewe wanatangaza sehemu zinazoshambuliwa na kuwaasa watu watafute nearest shelter.

Kwa mtazamo wako nguvu ya kijeshi kama hii ingetumika kuanzia mwanzo wa vita hii unafikiri leo Ukraine ingekua hatua gani? Wanajeshi wa Ukraine wako wapi kuonyesha upinzani waliokua wanaounyesha juzi?

View attachment 2136135View attachment 2136136
Mkuu nimekwambia utaweka maelezo marefu sana lakini mwisho wa siku unajaribu kuficha aibu ya Super Power aliyoipata,endeleeni kuteremsha mvua ya mabomu lakini aibu Russia keshaipata.
 
NATO wanaogopa sana vita na Urusi, na kwa kuwa Ukraine diyo mwanachama wa NATO basi wamepata kisingizio.
Nimeona eti wanatoa msaada wa MIG 29! huu ni utani wa hali ya juu. Kwa silaha za kisasa ndege hizo zitapigwa zote, ni za kizamani mno. Huwezi kumpatia askari wa kimarekani ndege hiyo airushe kwenye vita - ataona humpendi na unamtafutia kifo.
Urusi anachpaika nje ndani kaa Kwa kutulia
 
Mzee tatizo umekuja na ushabiki mkubwa na ushabiki unatabia ya kuondoa reasoning, hebu jiulize kwa nini Russia haikutumia nguvu sana mwanzoni kama inavyotumia sasa? Umeskia upinzani wowote kwa mashambulizi ya jana?

Leo camera zote zinaonyesha maafa tu yaliyotokea jana na hakuna resistance yoyote ya jeshi la Ukraine. Ukraine walifanya huo upinzani pale ambapo uvamizi haukua mkubwa ila kwa sasa Russia wamekua serious na operation yao hamna upinzani wowote Ukraine wenyewe wako kimya kila sehemu kunashambuliwa.

Hiyo akaunti ya twitter ilikua inajaza propanganda za Ukraine kuonyesha kwamba Russia wamezidiwa leo wenyewe wanatangaza sehemu zinazoshambuliwa na kuwaasa watu watafute nearest shelter.

Kwa mtazamo wako nguvu ya kijeshi kama hii ingetumika kuanzia mwanzo wa vita hii unafikiri leo Ukraine ingekua hatua gani? Wanajeshi wa Ukraine wako wapi kuonyesha upinzani waliokua wanaounyesha juzi?

View attachment 2136135View attachment 2136136
Urusi wako wanakosa target , walidai wanashambulia vituo vya kijeshi imekuwa ni ngumu kwao kufanya hvyo sababu ya stiff resistance, now wanafytua ovyo ovyo Kwa raia , hyo ni sababu tosha ya wahuni kumpiga mdogo mdogo nje ndani , .... Kiuchumi wanakukazia alaf mdogo mdogo wanapeleka silaha Ukraine
 
Rais wa Ukrain analalamika kuwa Russia wanataka kuifutilia mbali Ukraine katika uso wa dunia.

Mwambieni aache kulilia kutafuta huruma, apambane, hiyo ndio maana ya vita. Yeye si anadai toka vita ianze Russia ndio yapoteza maelfu ya wanajeshi wake huku Ukraine idadi ya wanajeshi waliokufa haizidi 500.

Tunaendelea kumkimbiza mwizi kimyakimya pasi na kupiga mayowe

SmartSelect_20220302-120342_Chrome.jpg
 
The price of gas in Europe has exceeded 2.2 thousand dollars per thousand cubic meters, this is a historical maximum.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
NATO wanaogopa sana vita na Urusi, na kwa kuwa Ukraine diyo mwanachama wa NATO basi wamepata kisingizio.
Nimeona eti wanatoa msaada wa MIG 29! huu ni utani wa hali ya juu. Kwa silaha za kisasa ndege hizo zitapigwa zote, ni za kizamani mno. Huwezi kumpatia askari wa kimarekani ndege hiyo airushe kwenye vita - ataona humpendi na unamtafutia kifo.
Mkuu tangu lini Ukraine amekuwa mwanachama wa NATO?
 
wao wako busy na kinachoendela Kiev,wakati Baba yao anabanwa mbavu kote kote,ngoja amalize kushusha mnvua ya mabomu arudi akutane na Wanachi wake wakiwa na njaa ya kufa
Punguza ushabiki wa kipumbavu.
CHINA, UTURUKI, BRAZIL, MEXICO, INDIA hao wote wanaendelea na biashara na URUSI
 
Back
Top Bottom