Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
On the road in eastern Ukraine, everywhere is the front line
Al Jazeera witnesses the scramble to defend eastern Ukrainian cities as Russian forces close in.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapoa Kwanza.. na si unajua vyombo vingi vya habari vinapata upinzani mkubwa katika kuripoti matukioDuuh no any update guys !
Imekuja kuaminika baadae Kwamba hakuna yeyote aliyepachikwa jina Hilo i'la propaganda za kuidunisha RussiaView attachment 2135881This legendary Ukrainian fighter jet pilot shot down 10 Russian enemy aircrafts. His nickname is "Ghost of Kyiv".
hiyo ni kawaida kwe urban warfare wamarekan walisumbuliwa na taliban kwa design hio, wasaudi wanasumbuliwa huko yemen ni mbinu nzuri tu hasa ukiwa unapigana na poweful enemy, so sio issue ya urusi kuwa na huruma au kutoamua bali anapata changamoto, watu hawana sare halafu wako town huji raia nani adui nani lazima uslow down[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] NAKAZIA, NA HAPO NDIO WANAPOJIFICHIA UKRAINE. NIMEMSIKIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI AKISEMA WAACHE HIYO TABIA. Nimehisi sasa watawafumua hivyohivyo.
Hakuna mwanachama wa NATO ambaye atapigana na URUSI afu NATO nzima ikaingilia. Watakaoumia ni ULAYA peke yao, huku USA akiwa na usalama wa angalau 80%.Duh!,mambo yanavuka mipaka.
Hizo ni taarifa kutoka wapi... Wakati misafara yote ya Urusi ilikuwa na ulinzi wa anga (escort)
Bayraktar UAV
train iliotakiwa kupeleka mafuta ilikutana na hii kitu ndio maana vifaru vikakata fuel iksababisha supply issues, hii ndio kitu pekee iliofanya jamaa waslow down, wale jamaa wa nagoro karabakh wanaielewa vizuri pamoja na ile ya mzayuni
View attachment 2136716
za kutoka wapi kivipi mkuu? wote humu source zetu ni internet tu au we una vyanzo vingine?Hizo ni taarifa kutoka wapi... Wakati misafara yote ya Urusi ilikuwa na ulinzi wa anga (escort)
mkuu msiweke picha za maitiView attachment 2136720
Cheki VIDEO CLIP HAPO JUU THE. U COMMENT,. 8NAUMA SANA SEMA NDO HIVYO TENA WAMEWAACHA. MAMA ZAO , WATOTO WAO TENA WADOGO HUYOO UNAYEMWONA HAPO NI MOSTLY SANA NA SISI KI UMRI EARLY 30,,,..... ILA DAH COMMAND LIFE NI BAYA SANA.......