LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] NAKAZIA, NA HAPO NDIO WANAPOJIFICHIA UKRAINE. NIMEMSIKIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI AKISEMA WAACHE HIYO TABIA. Nimehisi sasa watawafumua hivyohivyo.
hiyo ni kawaida kwe urban warfare wamarekan walisumbuliwa na taliban kwa design hio, wasaudi wanasumbuliwa huko yemen ni mbinu nzuri tu hasa ukiwa unapigana na poweful enemy, so sio issue ya urusi kuwa na huruma au kutoamua bali anapata changamoto, watu hawana sare halafu wako town huji raia nani adui nani lazima uslow down
 
IMG_20220302_234225.png
 
Naona leo jamaa hawajarushiana ngumi kabisa. Nimesubiri weeee naona kimya. Mimi nalala sasa. Usiku huu kikiwaka kama Jana mnitag.
 

Bayraktar UAV

train iliotakiwa kupeleka mafuta ilikutana na hii kitu ndio maana vifaru vikakata fuel iksababisha supply issues, hii ndio kitu pekee iliofanya jamaa waslow down, wale jamaa wa nagoro karabakh wanaielewa vizuri pamoja na ile ya mzayuni
bayraktar_tb2_of_ukrainian_air_force.jpg
 
Duh!,mambo yanavuka mipaka.
Hakuna mwanachama wa NATO ambaye atapigana na URUSI afu NATO nzima ikaingilia. Watakaoumia ni ULAYA peke yao, huku USA akiwa na usalama wa angalau 80%.
Hayo ni maneno tu, huo ugomvi nchi zitakazoumia sana ni HUNGARY, POLAND, MOLDOVA nk huku UK ikiwa mbali sambamba na Ufaransa. Huo ujinga hakuna ambaye atakubali, ni mpumbavu pekee ambaye ataingia mazima kwenye vita zama hizi za mtikisiko wa uchumi kutokana na Corona na mambo kibao. Hakuna nchi inataka kurudi nyuma.
Wakati mwingine mnavyojadili muwe mnakaa chini na kutafakari kwa kina zaidi. Wananchi wataandamana kila nchi kupinga vita hiyo.
 

Bayraktar UAV

train iliotakiwa kupeleka mafuta ilikutana na hii kitu ndio maana vifaru vikakata fuel iksababisha supply issues, hii ndio kitu pekee iliofanya jamaa waslow down, wale jamaa wa nagoro karabakh wanaielewa vizuri pamoja na ile ya mzayuni
View attachment 2136716
Hizo ni taarifa kutoka wapi... Wakati misafara yote ya Urusi ilikuwa na ulinzi wa anga (escort)
 





Cheki VIDEO CLIP HAPO JUU THE. U COMMENT,. 8NAUMA SANA SEMA NDO HIVYO TENA WAMEWAACHA. MAMA ZAO , WATOTO WAO TENA WADOGO HUYOO UNAYEMWONA HAPO NI MOSTLY SANA NA SISI KI UMRI EARLY 30,,,..... ILA DAH COMMAND LIFE NI BAYA SANA.......
 

HAKA KAJAMAA ka URUSI. KALIKO KAMATWA. KI UMRI KANA LINGANA NA RAYVANNY OR. MARIOO KABISA AU. WHOZU AU DOGO JANJA,,,, KWA TARATIBU ZAO KANA KAA. ALIVE MPAKA MAMA AKE AJE KUKACHUKUA. KUPITIA POLAND BORDER AS ACCORDING TO. UKRAINIAN SECURITY AUTHORITIES......... SIO MANENO. YANGU MIMI. NIMETOA AS KAMA YALIVYO KULINGANA NA OFICIAL MESSAGE TO RUSSIA FROM. UKRAINE AUTHORITY ,,,....
 
Back
Top Bottom