LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji95]Up to 50 cargo planes carrying military hardware from the US, UK, Canada, Poland, and Lithuania landed in Ukraine prior to the start of the Russian military operation there, Russia’s Foreign Ministry has revealed. Some 2,000 tonnes of modern weapons, ammunition, and protective gear were supplied to Ukraine in the first month and a half of 2022, the ministry added.[emoji95]
Russia wanatafuta sababu ya kuficha aibu yao
 
Ila Warussi wenzangu tumepeleka Jeshi Ukraine au ni amateurs??

Kusema kweli tunachapika sana kule.. Leo miji miwili wameirudisha na jeshi letu limekimbia na kuacha silaha na vifaa vita huko.

One thing, Ukraine wana jeshi zuri, nadhani wana jeshi la kupambana na nchi nyingi zenye nguvu za Ulaya na kuwahenyesha vizuri kabisa. Wakati wa Soviet ikiwa na nguvu sana walikuwa wanalitegemea sana Jeshi la Ukraine kwa combat ya ardhini.

Kama Pro-Russian, surely Ukraine wanatuhenyesha..
Tulikubaliana tusimame kwanza hadi raia watoke, kumbe wenzetu wametuhadaa na kutushambulia ghafla. Ila poa maana tulisubiri sana mda huu. We waited this moment for a long time and now we got it, said Russian soldier
 
Ndege yetu nyingine imeangushwa leo na Rubani akawekwa mtu kati.. Duuh noma sana
20220305_215410.jpg

Na kwa taarifa huyu rubani alitumika sana Syria kuwatomomeza ISS. Hapa akiwa mwenye picha ya pamoja na Putin na Assad
20220305_215416.jpg
 
We collected the main thing from Putin's statements:

— Russia tried to resolve the conflict in Ukraine peacefully. But the Ukrainian regime, instead of letting the Donbas speak Russian and live its own way, organized a blockade;

- work on the destruction of the military infrastructure of Ukraine is almost completed;

- if the Ukrainian authorities continue in the same spirit, they will call into question the future of Ukrainian statehood - and this will be entirely on their conscience;

- there are many different options for the demilitarization of Ukraine, all of them are on the negotiating table with Kiev, Moscow is hoping for a positive reaction;

- Russia will consider as a participant in a military conflict any country that creates a threat to the lives of Russian military personnel;

- there is no need to introduce martial law and emergency situations in Russia;

- conscripts or those who are called to the training camp do not participate in the military operation;

View attachment 2140058The way out of the current economic situation can be the maximum economic freedom of business.
Nyuma ya hii statement kuna hofu kuu imetanda kichwani mwa alyeitoa.Vitisho vinakuwa vingi mno na at the same time anageuka kuwa mpatanishi,hajui anaowatolea hiyo statement wataipokea au watadharau kama walivyodharau mwanzoni kabla ya vita,juzi hapa tumeambiwa kasema "The worst is yet to come" sasa kama ni hivyo,hivi vistatememnt vya kila mara ni vya nini? Ndugu msemaji wa Putin mwambie Mzee atulie aendelee na hiyo mission yake aliyokusudia Frustration
 
Ki uhalisia katika hii Vita ikiisha,mwenye shida zaidi ni Russia,wapo wanaokumbushia kuwa vikwazo alishazoea kuwekewa na hakuna alipotetereka lakini wanashahu dose ya vikwazo vya safari hii ni kubwa ndiyo maana anafikia hatua ya kuwatishia wote watakaoendelea kutoa vikwazo.Nilicheka nilisoma comment moja humu kuwa kawapiga hadi mikwara FIFA kuwa Russia itacheza WC,bila hivyo hakutakuwa na hayo mashindano.Sasa kama hii ni kweli ni ishara tosha ya kupanic baada ya msururu wa vikwazo kuwekwa.
Waliopanic ni wale ambao wanaweka vikwazo bila kuzingatia nafasi zao
Mfano FIFA katika hili wameonesha wao ni wanasiasa

Putin amewaeleza ukweli halutichezeka na uhakika FIFA watabadili maamuzi

Kwanza Michezo hasa mpira ndo kiunganishi cha wwty katika kyleta amani
 
Ndege yetu nyingine imeangushwa leo na Rubani akawekwa mtu kati.. Duuh noma sana
View attachment 2140336
Na kwa taarifa huyu rubani alitumika sana Syria kuwatomomeza ISS. Hapa akiwa mwenye picha ya pamoja na Putin na Assad
View attachment 2140337
Ukraine kafanya kosa kubwa sana na nafikiri NATO na USA wanawadanganya kupigana na Urusi. Kwa njia pekee ya Ukraine ilikuwa ni kutafuta njia ya mazungumzo na Putin alionyesha utayaribwa kufanya hivyo ila wakati wamekubaliana na kupeana mda,ukraine ametumia mwanya huo kumshambulia kwa kumshitukiza. Narudia tena Ukraine au viongozi waliotoa ushauri huu wamliingiza taifa lao kwenye machafuko makubwa.
Hii inamaana gani,ni kuwa Ukraine anaitaka hii vita kwa huruma ya dunia. Atachapika sasa hadi atachakaa Nyamizi pole sana kwa kinachoenda tokea ukraine. Kuanzia mda huu mfumbe macho na masikio kwani massacre inayotokea sio ya sayari hii. 24 hour mbali sana Ukraine itakuwa vumbi la matofali. Bye bye Ukraine kwenye uso wa dunia.
 
Waliopanic ni wale ambao wanaweka vikwazo bila kuzingatia nafasi zao
Mfano FIFA katika hili wameonesha wao ni wanasiasa

Putin amewaeleza ukweli halutichezeka na uhakika FIFA watabadili maamuzi

Kwanza Michezo hasa mpira ndo kiunganishi cha wwty katika kyleta amani
Tunakubaliana dose ya vikwazo imekuwa kubwa sana kwa Russia siyo? Na FIFA wakimkatalia atawafanyaje? Atakwenda kudondosha mabomu Qatar ili mashindano yasiwepo? Kadri anavyozidi kuongea mno ndiyo wanaongeza dose maana wameshaona kiwango chake cha kupanic.
 
Another proof that the Armed Forces of Ukraine are hiding behind civilians, placing weapons between residential buildings.

Footage of destroyed Ukrainian military equipment was filmed in the liberated village of Donskoye near Volnovakha.

According to our correspondent, everything around is littered with unexploded tank shells.
View attachment 2140079
Ingekuwa ni CNN au BBC imeripoti tungeimba ule wimbo wetu pendwa wa Western Propaganda,ila kwakuwa ni RT ngoja tukae kimya
 
Tunakubaliana dose ya vikwazo imekuwa kubwa sana kwa Russia siyo? Na FIFA wakimkatalia atawafanyaje? Atakwenda kudondosha mabomu Qatar ili mashindano yasiwepo? Kadri anavyozidi kuongea mno ndiyo wanaongeza dose maana wameshaona kiwango chake cha kupanic.
Hivi kwa mfano kwa kauli yake tu kusema kombe la dunia halitafanyika,hivi unafikiri nchi gani itapeleka timu yake Qatar?. Na umesema mmeona kiwango chake cha kupaniki ila hamjawahi kuona hasira zake. Atawaonyesha vita ni nn na mmeingia kwenye 18 zake.
 
Waliopanic ni wale ambao wanaweka vikwazo bila kuzingatia nafasi zao
Mfano FIFA katika hili wameonesha wao ni wanasiasa

Putin amewaeleza ukweli halutichezeka na uhakika FIFA watabadili maamuzi

Kwanza Michezo hasa mpira ndo kiunganishi cha wwty katika kyleta amani
Ila FIFA hii issue wamembwelaa
 
Nawakumbusha tu pro.NATO, magenerali wa jeshi wa Urusi wamemtaka Putin atumie nguvu kubwa ili kuimaliza Ukraine. Ikitokea Putin akakubaliana na magenerali wake pengine historian ya Ukraine inaenda kuandikwa upya. Tuendelee kufuatilia hili kwa karibu maana mpaka White house iliposikia kauli hiyo haijui Russia itatumia chemical, biological au atengeneze tetemeko kubwa la ardhi kutoka SURA Project
 
Hebu fuatilieni geopolitics ya Eastern Europe kwanza, sio kutema maneno tu, Kwa kiasi kikubwa Russia is not an agreesive state or rouge state or a threat to the world, USA na NATO ndio wanataka kuharibu hii Dunia.

Putin is very smart kuivamia Ukraine, ni kama preamptive attack, ana secure future ya Russia, marekani na NATO wanataka ku tip the balance of terror by strategically installing nuclear arsenals Ukraine, making Russia very vulnerable kwenye countermeasures Incase of War, with supersonic nuclear arsenals Moscow inaweza pigwa ndani ya dakika 5 tu kutoka Ukraine, unafikiri Putin ni mjinga kiasi hicho to let that happen? Putin is not a mad dog attacking foreign countries, he's simply security the future of Russia and averting future war (www3), which is imminent kama kutakuwa hakuna balance of terror between Russia and western Europe.

Lazima western Europe iwe vulnerable ili Dunia na Europe iwe salama, it's called balance of terror!!! Russia is not safe unless the western Europe is vulnerable to Russia.

Unaweza usinielewe, ukielewe geopolitics ya Eastern Europe, NATO and cold war utaelewa nachokwambia. Kila nchi haitakiwi kuwa salama ndio Dunia itakuwa salama na ndio hicho Putin anachopigania.
 
Nilijuaga kuwa huwa unafatilia habari ndio maana upo humu Ku share nasi,kumbe upo kimbea mbea .huo ujumbe uliosambaa kwenye mitandao kuhusu Russia kuondolewa WC kama hujui ni fake au imetolewa na Urusi bado anakuwa unatoa humu maoni yako inaonekana wazi upo kupoteza muda na sio Ku share knowledge.
Umesoma comment yangu ukaielewa vizuri au umeamua tu kupuyanga,unajua maana ya neno "kama ni kweli".Huwa nacheka sana mtu anapojifanya mjuaji kukosoa wakati kumbe hata anachokikosoa chenyewe hakukielewa.Haya rudi tena kwa comment yangu,kasome tena na tena mpaka ulipate neno "kama ni kweli" halafu urudi hapa tuendelee na malumbano kama unayahitaji.
 
Back
Top Bottom