The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Very unfortunately Ukraine inaenda kutumika kama battlefield ya Mataifa makubwa kama ilivyo Syria 👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelenskiy alitangaza wanajeshi wake waliyo kisiwa cha Zminyi(sina uhakika kama nimepatia jina lake) wakakipa jina la uongo Snake Island wale waliyoambiwa wasalimu wakatoa tusi la kejeli kwa Russia kuwa wamekufa na akawapa shahada ya ushujaa.Makamanda wa Putin waendelea kupoteza maisha Ukraine View attachment 2141888
Vita vya Iraq vilikuwa vita vyepesi sana kwa sababu saddam alikuwa ameligawa taifa lake kwa sababu ya udini na undugu.vikosi vingi viliweka makubaliano ya amani na majeshi ya mungano, kwa iyo awakuwa wapo pamoja katika vita na vikosi vya magharibi.Iraq ya sadam Ni borA kabisa kuliko Ukraine ya leo coz kwa kipindi kile air Force yao ilikua y nne kwa ukubwa duniani
mkuu, nimekuwa nazifatilia post zakoWasingemaliza mapema ila ingekuwepo tofauti kidogo. Kwanza tatizo la air cover haijalishi una battle hardened troops watapigwa tokea angani, supply problems watakuwa nazo vilevile ila watajitahidi kidogo sana kuzuia ambush.
Russia ilipeleka Airborne Assault Force yao (VDV) kuteka airbase ya Hostomel iliyoko Kyev ila hicho kikosi kikashindwa. Kulikuwa na battle kali sana ilikuwa majeshi haya mawili yanazidiwa kila upande kwa zamu. Sasa nikitafakari VDV ambao ni makomandoo na ni standby troops ila walifeli pale napata kuamini hata Urusi ingeleta vikosi vyenye uzoefu jeshini bado wangeteseka.
Marekani wana 82nd Airborne Division ambayo nimeisoma sana kwenye historia ya WW2, hii kwa sasa ina jukumu la kufanya military operation within masaa 18 tangu Marekani itangaze operations. Yani wanajeshi wanaweza kuwa club wanacheza mziki uko kwao, Marekani ikashtukizwa kuvamiwa labda tuseme kambi yake pale Djibouti ivamiwe na Wachina, wanajeshi wa 82nd wanakuwa Djibouti ndani ya masaa 18 washasafiri maelfu ya kilomita kwa kutumia strategic airlifters kama C-5 Galaxy. Wakati wanakufakufa ndio uko nyuma mipango inapangwa haraka, wanajeshi wa kawaida wanaitwa, makamanda wanapewa briefings na kujua namna ya kupambana. Hata Israel ina kikosi cha wanajeshi 10,000 hiki hata ivamiwe sasa hivi ndio kina uwezo wa kwenda kupigana blindly bila kujua nani kavamia na ana silaha gani. Sasa kikosi chenye high military readiness kwa Russia ndio hiyo VDV ambao walishindwa Hostomel. Spetnaz ni elite huwezi waleta kupigana frontline wale wanapewa mission sio operation ndefu hivi. Kwahiyo sishawishiki sana
Russia operation yao walishaitangaza mapema kabla ya kuingia Ukraine: Mpango wao ni kulidhoofisha jeshi la Ukraine. Ndiyo maana wanashambulia kambi, viwanda na maghala ya kuhifadhia silaha za kivita.Hizi ni propaganda,tunasubiria mshindi sio maneno.
Kapate Chakula cha mchana Mkuu, Nitalipa kwa Simbank.Russia operation yao walishaitangaza mapema kabla ya kuingia Ukraine: Mpango wao ni kulidhoofisha jeshi la Ukraine. Ndiyo maana wanashambulia kambi, viwanda na maghala ya kuhifadhia silaha za kivita.
Ukiitizama hali ya Ukraine kuna mengi utang'amua na mojawapo ni kuwa Russia inaonekana anaihitaji Ukraine. Hivyo hawezi akaharibu miundombinu, majengo pamoja na rasilimali watu.
Ukiangalia kwa sasa hivi kuna maeneo tofauti ya Ukraine yanapatiwa msaada wa vyakula na Russia. Hakuna shughuli ya kiuchumi ambayo inaendelea Ukraine. Kuna kitu Russia anajaribu kukiwekeza kwa raia wa Ukraine.
Kuhusu ushindi/Mshindi: Nafikiri ni busara tukawasikiliza wenye ubobezi kwenye hii tasnia ya masuala ya kivita. Na wanayoyasema wakiwemo majenerali wa US ni kuwa; Russia hajatumia hata 20% ya nguvu yake ya jeshi.
Nafikiri tutosheke na hili. Ijapokuwa swali muhimu ni kujiuliza kwa nini ametumia chini ya 20% ya nguvu yake ya kijeshi(?)
Vifaru na vifaa anavyo tumia Urusi kwenye hivi vita ni vya kizamani kwa hiyo vingi havina mifumo ya kujinda wakati Ukraine anatumia silaha za kisasa alizo pewa kutoka kwa wamagharigi.mkuu, nimekuwa nazifatilia post zako
kwa hakika unajua mambo mengi ya kijeshi kuliko hata baadhi ya wanajesh wenyewe,
lakn kuna swali najiuliza kuhusu hii vita
mbona kama vifaru na magari ya urusi yanahalibiwa kwa wingi sana? Au
Urusi ana kikosi kibovu cha ardhini,
au ant tank javalin zimeosha ufanisi mkubwa?
au yaweza kuwa propaganda za vyombo vya habar vya west,
lakn kama ingekuwa ni propaganda, kwa sasa urusi ingeshateka miji mingi na muhimu,
cha kushangaza jeshi linaloogopeka dunian hadi sasa limefanikiwa kuutwaa mji mmoja wenye wakaz 280000 hapo ni pamoja na wanawake wazee na watoto,
kama hutojari naomba unidadavulie ukraine wanapata wap nguvu ya
kuwasimamisha urusi hadi sasa,
Ok kama hawana ilisikika hapo nyuma,ila hawapo mbaliKigamboni hawana kambi USA
Acha porojo mkuu,Hii ishu wanaigiza sahizi eti wanapumzika kupigana ili waendelee baada ya kuwatoa wananchi.... ukraine ilishasema wananchi wachue silaha sahizi inaonekana jeshi linajificha nyuma ya raia.. waondoke waende wapi wapo kwenye nchi yao....
Watakuambia wanasonga mbele..Vita sio taarab kwamba unachukua unaweka waaa👇Luhansk direction. Ukrainian soldiers of the Allied Forces firmly hold their positions, inflicting losses on the enemy. Made several successful counterattacks. As a result, the occupiers lost about 40 personnel, 8 infantry fighting vehicles, 1 MT-LB, a Ural truck, an SUV and artillery systems (number to be determined).View attachment 2142010View attachment 2142011View attachment 2142012
View attachment 2142008
View attachment 2142009