Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa hapa ni wameuawa either na Ukrain or Russia and what we talk about is vita haina macho, hayo mengine tutayaanzishia mada next time.propaganda hii majeshi ya RUSSIA hawawez kufanya huu unyama wanajitambua nawana huruma mnooooooooo
kwani uongo tuliambiwa urusi ina jeshi madhubuti sananilicheka niliposikia hawa nao ni wajeda wa urusi ha ha ha ha wameva jeje
tupe source tukajisomee wenyeweMuda huu urusi imeshavichukua vitongoji kadhaa vya mji wa nikalaev taarifa za kamanda wa urusi kufa sio za kweli waambieni wawaoneshe maiti yake. Ha ha ha ha ha ha ha ha
Mzee wa kyiv majivu hujaacha tu propaganda zakoView attachment 2142607
daah hii leo raia wa ukrein wakijiandaa kusepa yaani tukicha propaganda na video fake ukraine kapigika mnoo
umemaliza kila kitu!Mrusi kaamua kuutokomeza ubabe wa Kimagharibi. Alichofanya Putin binafsi naona yupo sawa, kwani Magaharibi, hususan USA, wanajifanya wao ndio polisi na wababe wa dunia na wanachotaka wao lazima kiwe. Imefikia mahala, wanakuwa kama wapo Hollywood wanacheza filamu, wanawaonea mataifa madogo, lakini hata hayo mataifa mengine madogo yanawahenyesha sana lakini hawajifunzi wakatia adabu.
USA hawana ujanja wala ari ya kupigana wao wenyewe, wanawasukumizia wengine mizozo yao. Sasa hivi wamemuingiza mkenge Ukraine. Ghuba huko wamemuingiza Mkenge Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu kuwa ndio "frontline" yao kwa Wa Iran na nchi zingine huko zenye watawala wasikubaliana nao.
Vietnam, waliwahenyesha, Taliban wamewahenyesha mpaka sasa hivi wanaugulia majeraha. Somalia ndio hawana hamu kabisa, wameifanya Kenya kuwa ndio frontline yao, ni heri Tanzania walistuka mapema.
Ukraine haitabaki salama mpaka isalimu amri, Na USA hataki hii vita iishe haraka kwaani ikiisha, front line yao waliokuwa wanaiunda ndio itakuwa imeshasambaratishwa na Warusi wanakuwa karibu zaidi na nchi za NATO, itazimeza moja moja, sio kwa kuzivamia bali kwa zenyewe kutii amri yao wataponyanyuliwa sauti.