green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where is Ukraine's President Zelensky?
“I’m staying in Kyiv. In my office. I’m not hiding. And I’m not afraid of anyone.”
This is a true leader.
Usiwapangie Watu kipi Wanataka au kupendaToka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
Hawa Ni warusi walikuwa wanazika wenzao.warusi hawana roho mbaya bhana wanawazika wanajeshi wa ukraineView attachment 2143233
Kama uliwahi kulaani yanayotokea palestina, ukanionyesha Iyo comment au Uzi huo Basi una Haki ukinilaumu kwa hili.Ww kweli mpuuzi Israel kuivamia Palestine Wa Ukraine wanahusika vipi? Wanaouliwa Ukraine Na wanaouliwa Palestine wote Ni binadamu ukiwa Na utashi Wa kibinadamu huwez kushangilia mauaji hayo otherwise utakuwa Na utashi Wa kishetani.
.drone ilipue meli? Acha utani
Kama hu Ni ujinga,Toka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
Achana nae uyo,Either hujui au umeamua tu kuwa Muongo....
Hao kina Denis Pushilin ni wa Russia?
Unavyokutana na habari LNDR na DNR unaelewa nn?
Asilimia kubwa ya forces ni WaUkraine wenyewe, yaani wanapigana na wa Ukraine wenzao kwa msaada wa Russia.
Usiwe muongo mkuu, humu unasomwa na maelfu ya watu.
IIfikeUkraine flattened by Russian bombs
View attachment 2143378
View attachment 2143379
View attachment 2143380
View attachment 2143381