NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
U.S. Gasoline Prices Hit All-Time Highs, Reaching $4.17 Per Gallon - Auto Association.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2143408nikikumbuka hii nachekaga
Wanajisahaulisha ni kuwa Miji iliyokuwa inanyanyaswa kwa miaka 8 saiv ndio imeanza kuresist, kwa msaada wa Russia.Achana nae uyo,
Tatizo anasikiliza Sana propaganda za USA na kusoma tweet za Zelensky.
Yaan uyo akili yake imeishia hapo, kwanza hata hajui hata kile anachokitetea.
Mpuuze TU [emoji3525]
Hapo ndipo wanapomchezea akili Putin,yeye hajiongezi ,,,,yaani hata haiitaji degree kuelewa hiloWarusi wanafkr wanapambana na Ukraine kumbe kuna wahuni wanacontrol movie tokea Mitaa ya Indianapolis huku wakitafuna bigG
Kaka mona unaongea kama kipofu kuhusu rangi???Ifike mahali tuyakumbuke mawazo ya jenerali wa chenchens kwamba Hawa Ukraine hawatakiwi kupewa pumzi. Wapewe amri waimalize Hii Vita haraka sana
Wapewe ruhusa TU,
Washushe mabomu chap chap wamalize Hii Vita haraka, uyu Zelensky anaitumia ceasefire Kama gepu la kujipanga kivita na kuua wanajeshi wa Russia.
Huu upumbavu hautakiwi kuvumiliwa, Hii Ni dharau kubwa Sana kwa pro Russia duniani kote[emoji3525]
Hamna msingi wala kiuno. Wacha watwangane tu tuone mbabe nani, wote wana dhambi zao.Jibu la jepesi na ovyo kwenye maswali ya msingi
Maneno mengi umeandika ila sijaona popote ulipoijibu hoja yangu,Kaka mona unaongea kama kipofu kuhusu rangi???
1) hujui huyu Chechen hana uwezo? Anapiga kelele tu? Kwenye milima nyumbani kwaake Chechen aliwahi kuwapa Warusi matatizo makubwa. Maana walitetea nchi yao na (walivyoamini) dini yao ya Uislamu. Wakija Ukraine watakutana na wenyeji wanaotetea nchi yao, wakishambuliwa na Waislamu wa nje wanaweza kukumbuka pia wasikie kutetea makanisa yao. Kwa nini upumbavu wa kidume na makelele vinaweza kuvuta watu katika nchi hii ya TZ?
2. Unaelewa huyu kijana wa Chechen anamaanisha nini akisema anataka "kumaliza" (pamoja na hana uwezo halisi)? Ni ndoto yake ya kuchinja hovyo watoto, wazee, wakina mama, nyumba za familia.... Huyu unamshangilia? Aibu yako!
Ee Mungu shusha ubongo, umpe kidogo!
Sahii kabisa[emoji4]Wanajisahaulisha ni kuwa Miji iliyokuwa inanyanyaswa kwa miaka 8 saiv ndio imeanza kuresist, kwa msaada wa Russia.
Hii ni fursa kubwa kwa Tanzania, lakini "bwana yule" katurudisha miaka 20 nyuma kwenye mambo ya gas.The European Commission's executive vice president said it would be "damn hard" for the EU to replace two-thirds of Russian gas this year, but it's possible - RIA Novosti.View attachment 2143579
Usitudanganye hapa.....Kaka mona unaongea kama kipofu kuhusu rangi???
1) hujui huyu Chechen hana uwezo? Anapiga kelele tu? Kwenye milima nyumbani kwaake Chechen aliwahi kuwapa Warusi matatizo makubwa. Maana walitetea nchi yao na (walivyoamini) dini yao ya Uislamu. Wakija Ukraine watakutana na wenyeji wanaotetea nchi yao, wakishambuliwa na Waislamu wa nje wanaweza kukumbuka pia wasikie kutetea makanisa yao. Kwa nini upumbavu wa kidume na makelele vinaweza kuvuta watu katika nchi hii ya TZ?
2. Unaelewa huyu kijana wa Chechen anamaanisha nini akisema anataka "kumaliza" (pamoja na hana uwezo halisi)? Ni ndoto yake ya kuchinja hovyo watoto, wazee, wakina mama, nyumba za familia.... Huyu unamshangilia? Aibu yako!
Ee Mungu shusha ubongo, umpe kidogo!
Kwa hiyo kama tungekuwa na akili ndio ulitaka tufanyaje,tusijadili au?? Mbona hata hayo mataifa ya wenye akili nao wanajadili tena kwa ushabiki kama humu ndani.Watanzania wengi hatuna akili za kujifanyia maendeeleo, tunapoteza muda mwingi kubishana Yanga na Simba.
Vita tushaigeuza Yanga na Simba, tubishane tu, hatuna akili za kijifanyia ya maana.
Digital world imetutoa kwenye kubishana vijiweni imetuingiza kwenye kubishana viganjani. Kazi Iendelee.
Ifike mahali tuyakumbuke mawazo ya jenerali wa chenchens kwamba Hawa Ukraine hawatakiwi kupewa pumzi. Wapewe amri waimalize Hii Vita haraka sana
Wapewe ruhusa TU,
Washushe mabomu chap chap wamalize Hii Vita haraka, uyu Zelensky anaitumia ceasefire Kama gepu la kujipanga kivita na kuua wanajeshi wa Russia.
Huu upumbavu hautakiwi kuvumiliwa, Hii Ni dharau kubwa Sana kwa pro Russia duniani kote![]()
And the saddest part is,Poland hawataki ngozi nyeusi,Mungu awasimamie wadogo zetu