LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
US is exploring options to limit Russia's access to cryptocurrencies - Deputy Secretary of State Nuland.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
All US ambassadors have been instructed to urge other countries to join sanctions against Russia - Under Secretary Nuland.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
US is working with Ukraine to prevent biological research material from reaching Russian forces - Nuland.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
jamaa kachafukwa kiukweli ,yaani ukweli ni kwamba Putin hayuko tayari kuona Russia yake inadidimizwa kinamna yeyote ile .Sasa sijui ata backup vipi hii impact ya zuio la bidhaa yake ya nishati.na naskia amehamisha makumi ya midege yake ya Vita ,ameipeleka Sudan imepaki pale na bado anaihamisha na midege mingine kuipeleka hukohuko Sudan ,huyu jamaa sijui ana plan gani aise .ila yy anadai ameipeleka Sudan ili kukabiliana kwa dharula yeyote itakayojitokeza
Kakimbia midge wanaume waUkraine wasizilipue Russia
 
Biden said that gasoline prices for Americans will rise and the US authorities can do nothing about it now.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Ndio kwa sehemu, ingawa sio moja kwa moja kwasababu hajapeleka wanajeshi wake katika uwanja wa vita dhidi ya Urusi.
Ok,kwa hiyo issues kubwa Ni kupeleka troops,ndio Maana nimeona Raisi wa Poland anasema hatopeleka wanajeshi wake Ila atatoa vifaa nikawa sielewi inakuwaje.
 
Britain equated the entry of any Russian aircraft into its airspace to a criminal offense - RIA Novosti.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Zelensky again said that it is necessary to sit down at the negotiating table and that Ukraine expects “tough sanctions decisions” from the EU against Russia.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
The US State Department advised Americans traveling to Ukraine to make a will and provide a medical institution with samples of their DNA.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Venuzuela walikua na Hali nzuri sana uchumi ulikua unakua kwa haraka sana na sababu kubwa ilikua ni crude oil Kosa alifanya Hugo Chavez alivyoanza migogori na marekani wakamwekea vikwazo Kama hii huijui basi Kuna vitu vingi huvijui
Nadhani wewe ndio unahitaji kuelewa. Venezuel shida zao hazijaanza baada ya vikwazo miaka ya 2000 matatizo ya Venezuela yalianza miaka ya 80 walikuwa na uchumi mzuri sana kuanzia miaka ya 50 mpaka 80 shida yao kubwa walikuwa wanategemea sana Oil hawakuwa na mbadala baya zaidi walikuwa wanatoa ruzuku kwenye kila kitu mpaka chakula miaka ya 80 baada ya bei ya mafuta kuanguka vibaya wakashindwa vibaya kufanya yale waliyokuwa wanayafanya ruzuku zote zikawashinda hali ikawa mbaya ndio mambo ya haki za binadamu zikaanza marufuku ya mafuta yamekuja miaka ya 2000 wakati Venezuela hali ishakuwa mbaya. Hali mbaya ya venezuela haikuletwa na USA please nenda kasome history vizuri. walishindwa kubadilika wala ha wa ku invest utajiri wao kwenye sector zingine. walibweteka na mafuta
 
The Russian Embassy in the United States demanded an end to the persecution of Russians.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
New rules for currency transactions in Russia. The main thing:

- from March 9 to September 9, bank customers can withdraw up to $10 thousand in cash, and the rest of the funds from the account - in rubles at the market rate at the time of issue;

- the currency will be issued in US dollars, regardless of the account currency. Conversion will also take place at the market rate;

– citizens can continue to keep money in foreign currency accounts, all funds will be saved and accounted for in the currency in which the account or deposit was opened;

– interest will be accrued as usual, the conditions for deposits and accounts will not change;

- new currency accounts can be opened, but it will be possible to withdraw money from them, while the new procedure for transactions with currency is in effect, only in rubles;
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg

- banks will not sell cash until September 9, and it will be possible to exchange cash for rubles at any time and in any amount.
 
Hii Vita Kiana Fulani inaisaidia Marekani.

Kama Russia ataendelea nayo mwaka, watafilisika.
""Mpaka muda huu urusi imeshajirihidhisha ya kuwa haina lolote technically za kijeshi wamebakia kuringia silaha zao nzito za maangamizi ambazo haziwezi kutumika, vita hii ni kipimo madhubuti kwa Dunia"">silaha zake mjuzi akiziangamia Russian Kwishneyi! (America which this and calculate very well)
 
Nadhani wewe ndio unahitaji kuelewa. Venezuel shida zao hazijaanza baada ya vikwazo miaka ya 2000 matatizo ya Venezuela yalianza miaka ya 80 walikuwa na uchumi mzuri sana kuanzia miaka ya 50 mpaka 80 shida yao kubwa walikuwa wanategemea sana Oil hawakuwa na mbadala baya zaidi walikuwa wanatoa ruzuku kwenye kila kitu mpaka chakula miaka ya 80 baada ya bei ya mafuta kuanguka vibaya wakashindwa vibaya kufanya yale waliyokuwa wanayafanya ruzuku zote zikawashinda hali ikawa mbaya ndio mambo ya haki za binadamu zikaanza marufuku ya mafuta yamekuja miaka ya 2000 wakati Venezuela hali ishakuwa mbaya. Hali mbaya ya venezuela haikuletwa na USA please nenda kasome history vizuri. walishindwa kubadilika wala ha wa ku invest utajiri wao kwenye sector zingine. walibweteka na mafuta
Vikwazo vya marekani ndo vilifanya Hali ikawa mbaya Zaid kila mtu anajua labda wewe ndo hujui
 
Back
Top Bottom