LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kumbe hata hujielewi, Waukraine wanavua magwanda ya jeshi kisha wanajichanganya na raia mitaani au kwenye huduma za kijamii na kuwafanyia ambush warusi huku wakizuga kama raia. Lakini kumbuka pia kuna raia wa ukraine wanazo silaha za vita wanafanya ambush kwa warus unategemea mrusi afanyeje. Ndio mana amewahimiza raia wasiotaka madhara waondoke ukraine na wewe mwenyewe unaona wanavohama ukraine. Then utaona kyiev inavochukuliwa through total war. Sahivi mrusi anatumia akili kuubwa sana kuepuka masacre.
Mrusi hakutegemea haya kutokea alipotangaza kuivamia Ukraine? Ni suprice kwake?
 
hiyo vita haiishi leo wala kesho mpaka mpaka putin amtoe madarakani huyo comedian kibaraka wa mabeberu...putin anataka kupandikiza kibaraka wake ukraine,kama putin akimtoa madarakani huyo comedian itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake naitakuwa ni pigo takatifu kwa mabeberu hasa marekani ndio maana marekani anafanya kila awezalo kumzuia russia...
Tatizo kubwa ni kwamba wananchi wa Ukraine wapo na Rais wao na kubwa zaidi hawataki kusikia kuhusu Russia kwani wanaona Russia inawazuia kujiunga upande wanaoamini una neema kwao. Hivyo hata huyo Rais akiondolewa haitakuwa suluhisho
 
Propaganda peddlers
Waache propaganda wamtume Poland apeleke ndege za kivita Ukraine kisha atarudisha salaam kwa PUTIN kwa Nato.

Marekani alimwambia Poland apeleke ndege Ukraine kisha wao USA watamfidia Poland ndege atakazotoa. USA walidhani Poland ni Zelesky. Poland kawaambia hizo ndege atazipeleka kambi ya Marekani nchini Ujerumani bure kisha wao Marekani azikabidhi Ukraine. Marekani kakataa hataki mzozo na Russia.

Jiulize kwanini alitaka kumchomea mwenzie Poland awashiwe moto? Zelesky ameigharimy nchi kwa upuuzi wake
 
Tatizo kubwa ni kwamba wananchi wa Ukraine wapo na Rais wao na kubwa zaidi hawataki kusikia kuhusu Russia kwani wanaona Russia inawazuia kujiunga upande wanaoamini una neema kwao. Hivyo hata huyo Rais akiondolewa haitakuwa suluhisho
Operation irakuwa imefanikiwa kwani lengo la mrusi ni usalama wa nchi na sio kutawala Ukraine.
 
hiyo vita haiishi leo wala kesho mpaka mpaka putin amtoe madarakani huyo comedian kibaraka wa mabeberu...putin anataka kupandikiza kibaraka wake ukraine,kama putin akimtoa madarakani huyo comedian itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake naitakuwa ni pigo takatifu kwa mabeberu hasa marekani ndio maana marekani anafanya kila awezalo kumzuia russia...
Kaka SImon, unachekesha! Rais wa Ukraine hajapandikiwa huko na yeyote. Amechaguliwa na Waukraine wengi. Una habari yoyote kuhusu historia ya Ukraine na uchaguzi uliopita? Sidhani.-
Basi sikiliza: ilikuwa uchaguzi huru. Si kama Tanzania 2020. Kwenye awamu la mwisho (ambako wagombea wawili wenye kura nyingi zaidi walishindana) Zelensky alipata 72%.
Ni dhahiri: hata kama Putin akifaulu kumwua Zelensky, atashindwa kumnweka yeyote atakayekubaliwa.
Tukiona jinsi Putin alivyoandaa vita yake vibaya na jinsi jeshi lake lina matatizo kushindana na jeshi dogo kama Ukraine - basi tuone!
 
Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
Cardless kwann Urusi inataka raia waondoke sasa na si wakati walipoanza mashambulizi kuivamia Ukraine?
 
Operation irakuwa imefanikiwa kwani lengo la mrusi ni usalama wa nchi na sio kutawala Ukraine.
Itakuwa imefanimiwa kama Ukraine watakubali nasharti ya Mrusi au mrusi atasimika utawala unaofata masharti yake.
 
Kweli Urusi sio Kenya
Hahaha
IMG_20220309_200754_9_1646845711095_1646845742437.jpg
 
Back
Top Bottom