LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa sasa wamekata kabisa maana pesa ya Urusi imeshuka thamani

Sent using Jamii Forums mobile app
2007 Turkish Lira ilikuwa sawa na 0.84USD... ikaporomoka kwa zaidi ya 145% mpaka 0.18USD mnamo 2018. Yani hii iko 1USD kwa 1.19TRY mpaka 1USD kwa 5.5TRY.

Ila nukta hii tunavozungumza apa 1USD sa hivi ni sawa na Turkish Lira 14.

Swali la kujiuliza je ushawah kusikia tumelinganaa na Uturuki kiuchumi? Ushajiuliza Uturuki kashuka kichumi mara hiyo idadi ya kuporomoka kwa ela yake?

Haya Bahrain Dinar ni sawa na dollar 2.65... je kama thaman ya ela ndo uchumi wa sehem usika je Bahrain anamzidi kiuchumi mmarekan kwasabab ela ake ni kubwa kuliko?

Tufanyeni analysis tuache ushabiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuongeze vitu kichwani.

Kumshabikia Urusi au Ukraine hatuongezi kitu zaidi ya chuki mioyoni mwetu.

Kiasi naona wengine wamefikia hatua ya kutukanana "Pathetic" "Mjinga huna akili" wengine wanaenda mbali zaidi kuzkashifu iman za watu baina.

Ilhali sio Putin wala Zelensky anayetambuua kama tuna'exist kwenye huu ulimwengu. [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Naangalia Al jeezera naona kuna msafara mrefu wa vifaru vya Russia yaani vinalipuliwa sana. Hivi hawa Russia kabla ya kuingia Ukraine haikufanya Planning!!!! Yaani utafikiri walijisemea tu twende Ukraine. Pia ninahisi Kivita na Intelligence ilikuwa kipindi cha USSR tu(KGB) . Russia hii inabebwa tu na Kivuli cha USSR lakini kiuhalisia ni wakawaida tu na walikuwa OVERRATED. Hii vita imewavua nguo.

Hizi silaha zinazolipua vifaru inaweza zikawa zile ATGM alizosema USA na UK wamewapa Ukraine.
Ngoja waje watakuambia Al jazeera ni western media,watakushauri kwa habari za uhakika utazame RT.
 
Sikirimimimasikini njoo hapa pia ufanye masahihisho ya huu uandishi,mimi muhenga napata ukakasi kidogo kusoma🙂
 
2007 Turkish Lira ilikuwa sawa na 0.84USD... ikaporomoka kwa zaidi ya 145% mpaka 0.18USD mnamo 2018. Yani hii iko 1USD kwa 1.19TRY mpaka 1USD kwa 5.5TRY.

Ila nukta hii tunavozungumza apa 1USD sa hivi ni sawa na Turkish Lira 14.

Swali la kujiuliza je ushawah kusikia tumelinganaa na Uturuki kiuchumi? Ushajiuliza Uturuki kashuka kichumi mara hiyo idadi ya kuporomoka kwa ela yake?

Haya Bahrain Dinar ni sawa na dollar 2.65... je kama thaman ya ela ndo uchumi wa sehem usika je Bahrain anamzidi kiuchumi mmarekan kwasabab ela ake ni kubwa kuliko?

Tufanyeni analysis tuache ushabiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuongeze vitu kichwani.

Kumshabikia Urusi au Ukraine hatuongezi kitu zaidi ya chuki mioyoni mwetu.

Kiasi naona wengine wamefikia hatua ya kutukanana "Pathetic" "Mjinga huna akili" wengine wanaenda mbali zaidi kuzkashifu iman za watu baina.

Ilhali sio Putin wala Zelensky anayetambuua kama tuna'exist kwenye huu ulimwengu. [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Pata Coca-Cola baridi.
 
Naangalia Al jeezera naona kuna msafara mrefu wa vifaru vya Russia yaani vinalipuliwa sana. Hivi hawa Russia kabla ya kuingia Ukraine haikufanya Planning!!!! Yaani utafikiri walijisemea tu twende Ukraine. Pia ninahisi Kivita na Intelligence ilikuwa kipindi cha USSR tu(KGB) . Russia hii inabebwa tu na Kivuli cha USSR lakini kiuhalisia ni wakawaida tu na walikuwa OVERRATED. Hii vita imewavua nguo.

Hizi silaha zinazolipua vifaru inaweza zikawa zile ATGM alizosema USA na UK wamewapa Ukraine.
Sasa Ukraine kwanini hawashindi hii vita? Kwanini wanomba msaada? Kwanini wanataka no fly zone? Kwanini hawarudishi nyuma majeshi ya russia? Kwanini wananchi wakimbie? Kwanini walazimishe vijana na wananchi kushika silaha? .
Akili za kuambiwa changanya na zako, mda si mrefu tutaona nani atasarenda.
 
Naamanisha program ya Kuundia Application za Android Ina Android Studio...
Android Studio....

Nikuulize swali labda nipate kujua zaidi. Who owns android? Apa naeza kujijibu kua ni Google.

Swali la pili nani aliyetengeneza mfumo wa Android ntajib sio Google bali ni team ya Andy Rubin akiwa na Rich Miner, pamoja na Nick Sears.

Swali la tatu ikawaje Google na sio Andy kama Mmiliki... Ni kua Google waliinunua hyo OS kutoka kwao so ikawa hati miliki ya Google.

Swali la nne katika hayo majina tajwa apo juu kuna ata moja la Ukraine... Happana.

Android studio n nini... Najijibu tena android studio ni the official integrated development environment for Google's Android operating system....

Haya nauliza tena Developer wa AS ni nani... Najijibu tena ni Google Developers.

Haya sasa apo Ukraine kaingiaje [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Tuacheni ushabiki jaman dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Ukraine kwanini hawashindi hii vita? Kwanini wanomba msaada? Kwanini wanataka no fly zone? Kwanini hawarudishi nyuma majeshi ya russia? Kwanini wananchi wakimbie? Kwanini walazimishe vijana na wananchi kushika silaha? .
Akili za kuambiwa changanya na zako, mda si mrefu tutaona nani atasarenda.
Aibu nchi inajitangaza superpower kuonekana na udhaifu wa kivita kiasi hiki- hadi leo Urusi inadhibiti mji mmoja tu Ukraine.
 
Aiseee. Sasa mradi putin asije tu akapanik na nuclear zake. Akipanik wampe tu hiyo ardhi halafu wampigie makofi kwa kushinda vita. 😂
Na imagine anavyofura kwa hasira akiona kinachoendela huko,huenda kila mara anachungulia kilipo kitufe cha Nyuklia code. Kwakweli wampe tu japo ukweli unajulikana Mtu mzima kavuliwa nguo mchana kweupe 🤣
 
Basi taarifa ya leo (09.03.22).
dailymail.co.uk

Stranded Russian troops face dying in tanks that become '40-ton iron freezers' during -20C cold snap​

Chris Pleasance, David Averre, Jack Wright

Russian troops stranded in the 40-mile long convoy of tanks and armoured vehicles stalled on the outskirts of Kyiv could face freezing to death in their vehicles this week as temperatures are set to plunge.
A pronounced cold snap in Eastern Europe will see temperatures drop to -10C overnight in the middle of the week around Kyiv and Kharkiv – down to -20C when wind chill is taken into account.
The icy conditions are expected to make a difficult situation even worse for the invaders, who have been stuck roughly 20 miles from Kyiv for days amid mechanical problems, fuel supply issues and solid Ukrainian resistance.
Former British Army Major Kevin Price said the occupiers' tanks will become nothing more than '40-ton freezers' as the mercury drops, commenting that the bitter conditions will destroy the morale of troops not prepared for Arctic-style warfare.
Price declared that life for Russian soldiers not expecting to be confronted with such low temperatures in March is set to become 'unbelievably tough', while Glen Grant, a senior defence expert at the Baltic Security Foundation, said a tank 'is just a fridge at night if you are not running the engine' - something the Russians simply cannot afford to do given the fuel scarcity.
Grant said that unless the convoy is quickly supplied and is able to get moving again, many of the Russian soldiers may be forced to give up to avoid freezing to death.
'You just can't sit around and wait because if you are in the vehicle you are waiting to be killed. They are not stupid,' he told Newsweek.
But the Arctic temperatures are also expected to make life miserable for Ukrainian refugees attempting to flee from war torn cities.
Jamani kuuliza si ujinga,naomba kueleweshwa hizo Tank Ni nini?...zikoje?
 
Back
Top Bottom