LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
nukuu: Russia has about four times as many soldiers as Ukraine, twice as many tanks, and more than six times as many combat aircraft. The huge imbalance in forces reflects the defense budgets of the two countries. Russia spends about $78 billion on its armed forces annually, Ukraine $1.6 billion.
View attachment 2144892

Ila Warusi wameandaliwa vibaya pia wanaongozwa vibaya hadi sasa. Wanalipa gharama ya udikteta; maana kama raisi yako ni "dume" asiyetaka kusikia mawazo tofauti - basi yuko hatari! Maana kama watu wake wanamwogopa mno hataambiwa ukweli ilhali watu wake wanaogopa kumbia kitu ambacho wanajua hapendi.
Ni dhahiri hii imetokea hapa. Picha nyingi za vifaru vilivyoachwa njia zinaonyesha: Warusi hawakupanga dizeli ya kutosha kwa vita iliyo ndefu kuliko siku chache. Picha za wanajeshi Warusi wanaovunja madukla na kuiba chakula zinaonyesha: wengine hawana chakula cha kutosha. Warusi walitegemea kwamba askari wa Ukraine watakimbia na wananchi wa Ukraine watawashangilia.
Ambayo haikutokea. Kinyume chake.
Putin kawapeleka watu vitani na njaa!maajabu
 
Rais wa Ukraine kulalamika kila siku ni mbinu mojawapo ya kivita. NATO na USA wako nae bega kwa bega.

Wanachokifanyika NATO na USA ni kuitumia Ukraine kama chambo ya kuiangusha Russia kiuchumi ambapo matokeo yake haitatawalika na nguvu zake kijeshi zitapungua sana kwa siku zijazo.

Ukraine itapata hasara ya miundombinu ila NATO na USA watasaidia kuijenga upya.

Shughuli itakua kwa Russia maana itapata hasara kubwa kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Kwahiyo ww kutoka Chuwani Zenji unayajua haya ila walioko Moscow hawajui.
 
img_1_1646693088672.jpg
img_1_1646861153845.jpg
ukraine imezidiwa kiasi kwamba inatumia bunduki za vita ya pili ya dunia
img_2_1646861163432.jpg
 
Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.

Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana

Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
Ila na Iran wako vizuri kwenye drone na pia ni wazuri kwenye mifumo ya ulinzi ya kuharibu hizo drone na kuzidukua kwa hiyo usiwachukulie poa mkuu.


kwenye mgogoro wa Ukraine nime gundua umetawaliwa na propaganda nyingi mno kuliko uhalisia na vyombo vya habari vinazitia nguvu hizo propaganda na kuonekana ni kweli.

Kwa sababu jana wizara ya Ulinzi ya Marekani ilisema inakadiliwa wanajeshi wa Urusi kati ya 2000 au 4000 wameuawa lakini Ukraine inasema ni zaidi 12,000.

Ukraine inasema imeangusha zaidi ya ndege 88 na herkopita 48, wakati jana wizara ya Ulinzi ya marekani imesema ndege na herkopita za Urusi zilizo angushwa kwa ujumla hazifiki 20.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kuuliza si ujinga,naomba kueleweshwa hizo Tank Ni nini?...zikoje?
Tanks ni vifaru. Makala inaeleza uwezekano wanajeshi kuzidiwa na baridi ndani ya vifaru kuanzia wiki ijayo kutokana na kuchanganya msimu wa barafu. Njia pekee kuepuka hili ni kuicha engine ikinguruma muda wote ,jambo ambalo haliwezekani kutokana na upungufu mkubwa wa mafuta unaokabili jeshi la uvamizi. Vladimir Putin is a terrible war strategist.
 
Sasa Ukraine kwanini hawashindi hii vita? Kwanini wanomba msaada? Kwanini wanataka no fly zone? Kwanini hawarudishi nyuma majeshi ya russia? Kwanini wananchi wakimbie? Kwanini walazimishe vijana na wananchi kushika silaha? .
Akili za kuambiwa changanya na zako, mda si mrefu tutaona nani atasarenda.
Tunaitunza hii comment yako kwa matumizi ya baadae. Iache hivihivi tafadhali bila kui edit
 
If someone with weapons in their hands attacks the Russian military, he will also become a target, Peskov said, answering a question about the distribution of weapons to all citizens in Ukraine.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Kyiv constantly comes up with proposals for direct negotiations between Putin and Zelensky, now the foreign ministers are discussing this issue, Peskov said.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom