T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa watu humu eti wako serious wanasoma Kyiv Independent. Yani Tanzania inapigana na Uganda alafu mtu anaenda kusoma taarifa TBC akitegemea nini. Taarifa inabidi itolewe na neutral party yenye credibility. Nadhani ni wewe juzi uliniuliza kama naamini Ukraine walivyosema ndege 80 za Urusi zimepigwa nikakwambia hata wangesema 40 nisingekubali.Ila na Iran wako vizuri kwenye drone na pia ni wazuri kwenye mifumo ya ulinzi ya kuharibu hizo drone na kuzidukua kwa hiyo usiwachukulie poa mkuu.
kwenye mgogoro wa Ukraine nime gundua umetawaliwa na propaganda nyingi mno kuliko uhalisia na vyombo vya habari vinazitia nguvu hizo propaganda na kuonekana ni kweli.
Kwa sababu jana wizara ya Ulinzi ya Marekani ilisema inakadiliwa wanajeshi wa Urusi kati ya 2000 au 4000 wameuawa lakini Ukraine inasema ni zaidi 12,000.
Ukraine inasema imeangusha zaidi ya ndege 88 na herkopita 48, wakati jana wizara ya Ulinzi ya marekani imesema ndege na herkopita za Urusi zilizo angushwa kwa ujumla hazifiki 20.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kuhusu Iran kushusha drone ya Marekani ni ajabu ndio ila sio kumaanisha ndio wana uwezo mkubwa sana kuzidi Uturuki. Last comment yangu nimegusia mwaka 1999 Yugoslavia walivyodungua F-117 Nighthawk jet ya Marekani tena ikiwa stealth lakini walitumia system ya miaka ya 1960s uko ya kizee inapuuzwa. Hili ndio la ajabu zaidi na bado hawakushinda