ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Everyone is feeling the pinch!Biden said that inflation in the United States, record for 40 years, is connected with sanctions against Russia.View attachment 2145989
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Everyone is feeling the pinch!Biden said that inflation in the United States, record for 40 years, is connected with sanctions against Russia.View attachment 2145989
Nimefurahi sana.Marekani wameibua hii According to social networks
View attachment 2145987
Jamani hata Mgambo tu hawezi kutembea kilofa hivyo. Kumbe ndio maana wanalipuliwa sana
Una tia huruma kwa haya mawazo empty headHapa watafanya Warusi wote waungane na Putin.
Chanzo Cha nguvu ndani ya Urusi ya Sasa na ya kale ni Oligarchs.
Unapowabana Oligarchs unawalazimisha wote wafanye kumsapoti Putin.
Matokeo yake vita itakuwa ngumu ndani ya Ukraine.
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.Walikuletea dini na majahazi wakakutumbukiza humo wakakufungia humo unahangaika hujitambui umebaki dua dua, endelea kulala.
Wewe Bibi udini utakuua,Uislama wenyewe umeletea na waarabu lakini unavyo utetea itadhani Mwafrika ndio ameanzisha huo Uislam.Nnaamini yanayotokea Ukraine ni dua za Waislam wa dunia nzima walizokuwa wakiziomba usiku na mchana wakati USSR walipoivamia Afghanistan na US na marafiki zake wa NATO walipoivamia Afghanistan. Hakuna dua isiyojibiwa na Allah.
Sasa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mpaka wafanye toba na wawalipe Afghanistan na nchi zingine walizozifanyia dhulma hao madhalim wakubwa wawili.
Hapo ka Ukraine nacho kalikuwa USSR enzi hizo, katashika adabu kama watazoshika US na USSR na NATO yao. Watamalizana bila kujitambua.
Uarabu umeanzia wapi?Wewe Bibi udini utakuua,Uislama wenyewe umeletea na waarabu lakini unavyo utetea itadhani Mwafrika ndio ameanzisha huo Uislam.
Mkuu una akili za kikomedi kama jamaa wa ukrainiRussia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?
Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Kwahiyo Lavrov anatakaje, inaonyesha hizo silaha zinawanyimausingizi sana urusi.Lavrov: “Those who pump weapons into Ukraine and send mercenaries there must understand the responsibility for their actions.”View attachment 2145589
Wee Bibi kweli unazeeka vibayaHakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.
Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.
Fikiri, kabla hujakurupuka.
Kwa waarabu sie tudili na mizimu tuUarabu umeanzia wapi?
Nambie duniani Waarabu wengi wako wapi, unaelewa?Kwa waarabu Sir tudili na mizimu tu
Kwenye nyumba zaoNambie duniani Waarabu wengi wako wapi, unaelewa?
Achana nao hao wamelishwa matango pori na mabeberuNambie duniani Waarabu wengi wako wapi, unaelewa?
Au siyo mkobaziAchana nao hao wamelishwa matango pori na mabeberu
Usinitafute mzee huwa sijadiliani na wanuka mdomo mimi. Safisha kwanza kinywa chako.Au siyo mkobazi
Sawa mkuuUsinitafute mzee huwa sijadiliani na wanuka mdomo mimi. Safisha kwanza kinywa chako.