LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tupo,tulikuwa nje ya mji tumerudi,,,naskia boss wenu kakimbilia Syria kufuata mamluki na anakaribisha watu wengine wakamsaidie?Si alisema Yuko gado ana jeshi imara,tambo zake zimeishia wapi??
Pole sana leo siku nzima umeishia kusoma comment tu.. Msijali tunawaletea magaidi mzae nao
 
Mkuu umeongea jambo la point ambalo hata waziri mkuu wa Pakistan aliliongea siku chache zilizo pita.

Ali sema tabia za kuchagua makundi zime igharimu sana Pakistan kwa muda mrefu kwa sababu saa nyingine unajizolea maadui ambo siyo wa lazima.

Mfano angalia ikitokea Marekani akaishambulia Iran nchi pekee itakayo baki salama dhidi ya makombora ya Iran hapo mashariki ya kati ni Oman tu,kitacho ifanya ibaki salama ni siasa zake ambazo zime jitenga na makundi ya kuhamasisha uhasama dhidi ya Iran .

lakini hao hakina Qtaar,UAE,saudia,na wangine hiyo miji yao walio ijenga kwa gharama kubwa itageuka magofu kwa sababu ya kuendekeza makundi.

Ila huu mgogoro umevivua nguo vyombo vya habari vya kimagharibi vinavyo jiita huru kumbe ni takataka.
Kumbe hata TBC tuache kuilaumu maana kila mtu ana tumikia maslahi ya bwana wake.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
MENGI ya andiko hili nimeyapenda ila hilo la vyombo vya habari vya magharibi kuwa ni takataka limeifanya siku yangu kuwa nzuri sana. Kama unavyosema TBC ni afadhali mara elfu kuliko hao wapumbavu na washenzi wa Al jezeera, Sky News, BBC, CNN na kadhalika....ni washenzi tu ...hakuna habari pale....Yaani vita hivi vimetufundisha mengi ukiacha vyombo vya habari lakini unafiki wa wazungu ni wa kiwango cha juu sana...Watu wamekufa Afghanistani, Libya, Irak, Serbia lakin i hatujawahi kuona muungano wa wazungu kama huu...duh...Vita hii imewaumbua mno hawa washenzi...
 
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida baada ya vikwazo vingi na mikakati yote Marekani wamekiri hawatoshiriki vita vya Ukraine na Urusi.

Kwa kuwa itakua vita rasmi ya 3, www3.


Hivyo Marekani imedai itazidi kuweka vikwazo na kuharibu uchumi wake.

Mpaka sasa inadai kuwa ruble imeshuka thamani kwa asilimia 50.

Screenshot_20220311-224619.jpg
 
Ukraine ingekaa kama majirani wengine wa Russia kina Finland au Sweden isingepungukiwa kitu. Vitu vingine ni kufanya analysis nzuri mkatoa national policy ya kudumu sio kila kitu mlazimishe kuwa katikati ya ugomvi mnaumia zaidi ya wanaogombana. Hapa NATO hawatapigana na Russia kabisa ila Ukraine anapigana kisa wao. Ingawa naona Finland wanataka kuanzisha mjadala kuzungumzia kujiunga ila Sweden imesisitiza haitaki kusogeza migogoro Kaskazini.

Switzerland yuko katikati ya Germany, Austria, France na Italy. Zote zilishiriki WW1 na WW2 na vita kabla ya hapo ila Switzerland hakushiriki wala hakuvamiwa. Yeye alijua akiwa upande wowote atakuwa target ya upande mwingine, akawa neutral. Switzerland iko vilevile na mipaka yake since 1800s na haijawahi pigana vita, chanzo cha Vatican kutumia Swiss guards tangu early 1500s ni kwakuwa wako neutral inachukua kamanda na wanajeshi waliotrained na ni wazawa wa Switzerland inawatumia kulinda Vatican ndani maana haina chuo cha ulinzi. Isingechukua labda Wafaransa alafu Ufaransa iingie vitani na Uingereza na mambo yachanganyikane pale Vatican.
Mkuu atatulizwa na vitu vyenye ncha kali Ukraine mtoto mdogo sana
 
Back
Top Bottom