Lakini je, wafaham kabla ya Vita hivi teari alikuwa an vikwazo takriban zaidi ya 2700+ in total??? Alikuwa anaishije apo nyuma
Na sasa ni kama wamevidouble vikwazo mpk kufikia zaidi 5400...
Ukiziangalia nchi zinazofatia apo chini yake kwa idadi ya vikwazo...
Kama Irani ambayo ndo alikuwa anaongoza kwa vikwazo before? Ushawah kusikia nje kua kuna maandamano Irani?
Apa me naona ndani ya vikwazo kuna alot of mystery ambazo ata sizipatii chimbuko... Sitaki kuamini mpk kikwazo cha paka wa kirusi kina tija kwenye huo mgogoro....
Na ajab zaidi wanaoisoma number n wao wenyewe kwa kias kikubwa tofauti na Mrusi.
Hivi vikwazo binafs huwa najisemea vingekuwa na nguvu endapo tu "Russia angekuwa anawetegemea wao kwenye vitu vya muhim mathalam nishati vyakula na n.k"
Sas em kaa chini usikie et YouTube imestopisha Op. Nchini kwako... Mara BBC wamevunja mkataba na StarTV kurush matangazo... Mara KFC et wamefunga hotel zao nchini... Who cares by the way? Before KFC ulikuwa huli ww?
Ndo maaana najisemea tu kua kuja vikwazo vina tija unakiona kabisa kweli hii nyundo ila vingine ni "vichekesho" tu....
View attachment 2147653