LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Msururu wa kilometa 64 wa Russia wakumbwa na dhahama😂😂😂
 
The main thing from the new statement of the Ministry of Defense about the special operation in Ukraine:

- a high-precision strike disabled the military airfield in Vasilkov and the main center of radio and electronic intelligence of the Armed Forces of Ukraine in Brovary;

- in a day, the RF Armed Forces advanced 21 km and reached the settlements of Novodonetskoye, Novomayorskoye, Pavlovka;

- The DPR forces advanced 9 km and took Valerianovka and Zeleny Gay, blocked Novoandreevka from the south and east. LPR troops advanced 6 km, took Surovtsevka, Shchedrishchevo, Zhitlovka, blocked Rubizhne;

- in a day, the Russian Aerospace Forces shot down five UAVs in the air, two of them - Bayraktar TB2;

- 145 objects of the Armed Forces of Ukraine were hit, including three Buk-M1 air defense systems, eight command and control centers and communication centers, five ammunition depots and fuel and lubricants, 78 places of accumulation of military equipment;

- in total, during the operation, 3491 objects of the military infrastructure of Ukraine were put out of action.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Raia wa Ukraine wakiwa kwenye gari Yao,wakitia moto kifaru cha Urusi 🤔
 
Sijui ni kwa uzembe au walichukulia Ukraine poa hadi kujiamini kwamba wanaweza kuingia kundi lote ndani ya lifti na kupanda hadi juu ya jengo, lifti ilizimwa umeme na mwenye jengo jamaa wakabaki wamechanganyikiwa humo, hadi pale wanajeshi wa Ukraine walikuja na kuwakamata mateka, hamna kitu kigumu kama kuingia upigane na watu kwwenye nchi yao...

=======================

A team of Russian soldiers wanted to use the elevator to reach the roof of an office building. The Ukrainian administration of the building trapped them inside by cutting off the electricity. The Ukrainians also used an industrial camera to take this commemorative photo.



FNGYBATWUAMz1dX
 
Si vile, mambo ni tofauti kidogo. Kati ya nchi inazouza silaha nyingi duniani kuna ufuatano huu...
Duh hizi data sijui umeztolea wapi...

2021 Russia World Rank by GDP ni ya 11....

Sasa hyo 91 umeitolea wapi na ata kama ni GDP per Capita haijafika uko... Nia ya 64 data zingine zinaonesha 57... Ila cha kunote ni kua GDP per Capita huathiriwa na Idadi ya watu...

Mfano USA ndo anaongoza kwa GDP Nominal kwa 19.8Trillion Dollar's ila inapokuja kwa GDP per capital kaachwa mbali na mataifa ambayo kwe sura ya Dunia kwa walio wengi yanachukuliwa poa...

Mfano anayeongoza list ya GDP per capita ni Singapore, kuna Luxembourg, kuna Qatar kuna Macao... Je hao Uchumi wao wanamzidi Mmarekan?

So per Capita n wastan wa kichwa kimoja kimoja sio wastan wa Nchi husika.

Pitia link hyo ukaongezee GDP by Country - Worldometer
 
Kwa jinsi wanavyofanya uharibu na kuua raia,aisee ningekuwepo huko afu tuwateke ningewafanyia ukatili wa kutisha Sana.

Imagine Ukraine sio Nchi yangu wala vita hainihusu kwa lolote lakini nachukua kuonewa,kuharibiwa mali,kuuwawa na kuvamiwa afu niwateke eti nikawahifadhi,hii kwangu haiwezi kutokea.

Fanya tukio hadi wakiona video waogope sio kuwapaka poda wavamizi.
Unachukia uonevu ila unaipenda marekani hahahahaha

Ukraini ajaonewa anafunzwa adabu baada ya kuleta dherewi (zaidi ya dharau) kwa mkubwa wake kwa kujua tu atasaidiwa sasa ngoja anyooshwe kwanza
 
Putin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .View attachment 2147480
Belarus mbona siku zote anapigana sambamba na Mrusi, labda aseme anaongeza jeshi. Baada ya vita kuisha Urusi atakuwa na wakati mgumu sana kuwashawishi watu kuhusu uwezo wake halisi wa kivita.
 
Wao walikuwa kila siku wanatuambia free of expression no limit leo yamewashinda. Tuendeshwe na sheria leo yamewashinda na wanataifisha mali za watu bila kupitia mahakama. Mahakama zimepigwa bypass
Hiki Kiingereza chako kimekata kona ya hatari, andika kiswahili utaeleka vizuri tu.
 
Au unaskia et wauza pempas wafunga maduka yao Moscow sasa hasara SI kwao
Naam yan kuna vikwazo vingine nyundo kweli mfano ka ile ya SWIFT... Na ajab wakaona inawaathiri na wao wakaamua kua selective kwa baadhi ya Banks...

Ila hv vingine unaona kam vichekesho tu havina maana ata... Haya ukienda mbali zaidi kwasabab biashara hufanyi na midoli wafanya na watu...

Nenda kwa takwim ya idadi ya watu... The whole europe Population is only half of China Population...

Ukichukua Europe + USA unapata ka idadi ya watu Billion 1 hv... Haya fanya kuongeza Japan Korea Australia na Canada wootr kwa ujumla wanafika kama 1.3Billion hv apo ukimueka na Singapore ndani.

Population yote haijafkia Idadi ya Watu walioko India... Hapo bado hujamweka China... So haraka haraka ni kama the rest ambao wako zaidi ya Bil6.5 Dunian they are ok with Russia...

Hawajatangaza sunctions wala ban yoyote ile na Mrusi... Sasa kwa kujifkirisha huko unapata kitu na kusema acha hii movie iendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

BRIC yan Brazil China India na Russia... ambayo picha ake nakuekea apo chini una muungano wa takriban zaidi Asilimia 40 ya watu waliopo dunian... Kwe huu muungano ka una kumbukumbu South Africa nae kajiunga...

Sasa apo hatujataja nchi za Mashariki ya kati, hujataja Waafrika tusofungamana pande zozote... Hujaitaja Pakistan na Bangladesh ambazo hizi mbili tu zinawatu zaidi ya Mil350...

Kwasabu biashara inafanywa na watu sio miti wala nyani... No matter how low they are nahs watatafuta njia ya kutoka.

Apo sasa ndo wamwona huyo mzee kwanin kaamua kwenda Ukraine huku akijua fika kabisa lazima atapewa vikwazo...

Af akina sisi apa wachambuzi wa JF na kwenye vijiwe vya kahawa tumekomaa tu kuita flan boya flan hana akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhal kabisa kama una macho mazuri yasiyo ya kishabiki tunaona kuna upande flan umepunic....
1200px-BRIC.svg.jpg
 
Back
Top Bottom