Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine inaenda kufutwa kwenye ramaniHii vita bado sana
Hii unaenda chaka mzee karudie kusoma. Akichukua Chasiv Yar anajiwekea wepesi wa kuichukua Donbas yote na sio Kiev.Ndivyo mkuu wa intelligence katika jeshi la Ukraine anasema hivyo.
Ni mji ambao utampa urahisi Russia kuingia Kyiv, ni ngome iliyokubalika sana hadi Zelensky kuiita haipenyezeki.
Nadhani mahesabu yao hio ngome ikichukuliwa basi hakutakuwa na upinzani mkubwa mbeleni, kumbuka Russia wanachotaka ni kuingia Kyiv.
Kumbuka pia Russia ilishafika hadi km 31 karibu kuingia Kyiv 27 february, siku chache tu vita ilipoanza 2022 Feb 24 hapo ni siku kama 3 tu. Bila NATO Ukraine ai chochote.
Chasiv Yar kuwa chini ya Russia ni kurahisisha Russia kuifikia Kyiv kwa urahisi. Usiangalie umbali kwenye ramani bali ni ngome ngumu kupenyezeka. Kumbuka jeshi la Russia kwa kutoa kichapo na kusonga mbele wapo faster, hawana kuremba. Huo umbali wa kawaida tu, kama walitoka Russia hadi karibu na Kyiv kwa siku 3 hapo ni mbali?
Kama walimpiga mjerumani peke yao kutoka mashariki wakafika wa kwanza Berlin unafikiri ni mchezo.
General of military intelligence ndivyo alivyosema mzee sasa utabishana nae?Hii unaenda chaka mzee karudie kusoma. Akichukua Chasiv Yar anajiwekea wepesi wa kuichukua Donbas yote na sio Kiev.
Halafu mbona sikumbuki kuona hii ID tokea vita imeanza? Sio wewe kweli jamaa aliweka picha ya General Surovikin ukauliza ni nani?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ndo uyo uyoHii unaenda chaka mzee karudie kusoma. Akichukua Chasiv Yar anajiwekea wepesi wa kuichukua Donbas yote na sio Kiev.
Halafu mbona sikumbuki kuona hii ID tokea vita imeanza? Sio wewe kweli jamaa aliweka picha ya General Surovikin ukauliza ni nani?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hata hivyo 100 others ni Pro haki mwenzetu.Ndo uyo uyo
Si rahisi kwa Russia hata kidogo kuibeba Ukraine yote yenye kupewa msaada na nchi kubwa duniani.Ku
Lingana na io ramani nimeona kama safari bado ni ndefu kwa russia .
Russia ilifanya makosa sana kurudi nyuma kuiacha Kiev .
Define nguvu kazi.Si rahisi kwa Russia hata kidogo kuibeba Ukraine yote yenye kupewa msaada na nchi kubwa duniani.
Inaweza kuchukua miaka 8 hadi 10 ya mapigano, sidhani kama ana nguvu kazi hiyo.
mtu hana miguu sasa cheti cha daktari cha niniViwete tayari walishapelekwa.
Kuna komenti humu ilimuonesha mpigamaji wa Ukraine alievunjika miguu yote miwili,anatumia ya bandia,aliambiwa kua anatakiwa vitani,akajibu kua Hana miguu,imekatika,akaambiwa alete cheti Cha daktari.
Na wote wenye ulemavu wapeleke vyeti vya dakatari.
Kumbuka upande wa pili nao wanachoka.Si rahisi kwa Russia hata kidogo kuibeba Ukraine yote yenye kupewa msaada na nchi kubwa duniani.
Inaweza kuchukua miaka 8 hadi 10 ya mapigano, sidhani kama ana nguvu kazi hiyo.
Kuna mercenary wengi sana upande wa Urusi Tena waarabu.Si rahisi kwa Russia hata kidogo kuibeba Ukraine yote yenye kupewa msaada na nchi kubwa duniani.
Inaweza kuchukua miaka 8 hadi 10 ya mapigano, sidhani kama ana nguvu kazi hiyo.
Hicho ndio kichekesho tulichokishuhudia.mtu hana miguu sasa cheti cha daktari cha nini
Hapana, unaweza nipatia hio post? sio mimi mzee.Ndo uyo uyo
9 MAY ndio huwa wanasheherekea ushindi wa WWIIKwanini Mei 7, siku ambayo vladimir putin amekuwa akiapishwa kuwa raisi kwa kila muhula.
Hata kwa Medvedev ni hivyo hivyo ameapishwa Mei 7.