Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kuanguka kwa Donetsk (kunotarajiwa siku chache zijazo) ndiko kutaleta hayo yote kwani ni wazi Zelensky atakuwa ameshindwa kama amiri jeshi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanguka kwa Donetsk (kunotarajiwa siku chache zijazo) ndiko kutaleta hayo yote kwani ni wazi Zelensky atakuwa ameshindwa kama amiri jeshi mkuu.
Chanzo cha hii habari hakiwezi kuaminika.
Huyo Wang Yi ni mtu muhimu sana kwa China ya leo.Crucial meeting in Paris at Elysee Palace:
Emmanuel Macron and Xi Jinping…
(with uninvited guest, Von der Leyen).
View attachment 2982575
View attachment 2982576
nimemuona mwanadiplomasia nguli bwana WANG YI
Ukizungumzia wale top Diplomats na majasusi wale mazee wenyewe wa ngqzi za juu humkosi bwana Wang Yi.
Bila shaka.wananivutia sana hao watu watano pindi wanapofumbua midomo yao kwa dhumuni la kuzungumza
- Sergei Lavrov - Russia
- Wang Yi - China
- S. Jaishankar - India
- Grace Naledi Pandor - South Africa
- Péter Szijjártó - Hungary
XI Jinping hapo atakuwa anamuambia Macron kuwa Putin anasema unachokitafuta utakipata soonCrucial meeting in Paris at Elysee Palace:
Emmanuel Macron and Xi Jinping…
(with uninvited guest, Von der Leyen).
View attachment 2982575
View attachment 2982576
nimemuona mwanadiplomasia nguli bwana WANG YI
Mkuu usishangae ndo dunia ilivyo.Bila shaka.
Huyo Jaishankar pamoja na kihindi nae aongea kirusi, kichina, kitamil, kijapan na lugha ya Hungary.
Hatari sana.
Lazima Washirika wa Russia watajitokeza waziwazi maana akipigwa Russia wanaofuata watakuwa wao.Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.
Siyo Kila nchi Bali nchi. Zinazojielewa.Mkuu usishangae ndo dunia ilivyo.
Nchi lazima iwe na waziri wa mambo ya nje mwenye ujuzi wa masuala mengi na nyeti ya kimataifa.
Na nyakati hizi ni lazima afahamu michezo ya geopolitics.
Kuna General mmoja wa India amesema sio rahisi kwa Marekani kuiweka kwenye hatari nchi yao kwa ajili ya Ukraine. Amedai hiyo ni mikwara tu kuonesha kuwa NATO bado wako imara.Ndo maana kutakuwa na vita kuu ya tatu ya Dunia.
Mstari mwekundu ulikwishachorwa kitambo kati ya Marekani/NATO na Russia.
Hivyo wakiingia kichwakichwa safari hii kutakuwa na world war 3
Nchi 32 zinapambana na nchi moja, Russia sio poa.Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.
Papa wa Vatican aliiambia Ukraine ipeperushe bendera nyeupe ili suluhu ipatikane. Zelensky akashupaza shingo.Hii vita Ukraine ameshindwa, hii vita Ukraine kapoteza ni ukweli mchungu lakini haina namna inabidi kukubali ni suala la muda tu.
Yani NATO ipigane na Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.
Sioni tunachobishania ikiwa unaamini . Ukauli ya Zelensky kuwa wanajeshi wa Ukraine wamekufa 31,000.Sasa unaongea nini wakati Adviivka imeshachukuliwa toka February?
Umekiri kwamba Adviivka ni ngome ngumu kuliko Chasiv Yar, lakini Zelensky anakiri Chasiv Yar ni ngome isiyopenyezeka.
Kilichobaki ni NATO kuingilia kati hii vita wazi wazi, Ukraine hakuna namna hata wapewe msaada wa aina gani kutoka West, satellite za Russia zinafuatilia movement zote za silaha zinazokuwa imported bila kusahau hawa jamaa wana agents kila kona wanao toa taarifa.
Usisahau kwamba Russia ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani kabla ya US na Europe yote, wapo very advanced kwenye elimu ya anga, kila kinachoendelea wanafahamu kupitia satellite zao.
Hii vita Ukraine ameshindwa, hii vita Ukraine kapoteza ni ukweli mchungu lakini haina namna inabidi kukubali ni suala la muda tu.