Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
=============
Kongole kwa Ukraine
Kongole kwa Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwepo ingawa nilikuwa kijana mdogo, mtoto.Tanzania iliheshimika sana miaka hiyo.
Likizo ya Nyerere ilikuwa Disemba, apate fursa kusherehekea Krismas na ndugu zake Butiama.
Kilikuwa kipindi uwanja wa ndege Musoma unakuwa busy sana kupokea wageni wa kimataifa kuja kufanya mashauriano na mwalimu.
Mkuu wa serikali ya west Germany miaka hiyo, Willy Brandt aliwahi kusafiri toka Bonn to Butiama kukutana na Nyerere.
Alipokelewa na Nyerere Butiama, sijui Dar alipokelewa na nani.
Out of disrespect, ulikuwepo Salim akiwa waziri wa mambo ya nje?
😆😆 karibu sana.Nilikuwepo ingawa nilikuwa kijana mdogo, mtoto.
Punguza kuangalia Hollywood ndio ukaona Dunia IPO hivyo...... Wenzako wamelikimbia Jukwaa walikuwa na porojo kama zako..... Si waingie ... Wamtetee last born wao zele.... Yaani mjiunge nchi 30 huko dhidi ya Nani!?? .... Njooni mmoja mmoja muone kisago chake ...na hata mkija kama kikundi Cha kikoba kipigo kipo palepale...Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.
Zele boy mwenyewe Urusi inamcheeeki tu haitaki kummaliza ikitaka wiki hatoboi 😂Lile shambulizi nchini Russia lisingeweza kumwachia jamaa na kikosi chake.
Mbona haonekani sasa akibwabwaja bwajaja kwenye media au kazimia tu😷Ni mapema mno kuthibitisha hilo Kwa Sasa.
Kuna uwezekano pia hakiwemo ofisini siku hiyo.
Yupo bana,keshaonekana.Mbona haonekani sasa akibwabwaja bwajaja kwenye media au kazimia tu😷
Urusi walishasema mapema kua hawataki kukiua ki Zelensky ingawa walisema uwezo wa kukiua wanao kwani walisema wanajua kinapojificha.=============
Kongole kwa Ukraine