LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tathimini ya kijeshi juu ya shambulizi la Urusi dhidi ya jimbo la Kharkov .

Lengo la Urusi kuanzisha mashambulizi dhidi ya Kharkov kwanza ni kukomesha mashambulizi ambayo yamekuwa yakifanywa na Ukraine kwenye ardhi ya Urusi hasa kwenye miji ya mipakani maana Kharkov ndo sehemu iliyo kuwa unatumika kufanya mashambulizi hayo.

Lengo la pili ni kupanua eneo la mapigano ili kuzidhoofisha ngome za ulinzi za Ukraine maana italazimika kupunguza wanajeshi na silaha baadhi ya ngome zake hasa huko Dombas, ili waongeze nguvu ya kuilinda Kharkov ,hilo litakuwa na athari kwa Ukraine hasa ikizingatiwa ya kuwa kwa sasa ina upungufu mkubwa wa silaha na wapiganaji.

Tatu ni kusogeza ngome zake ili iwe rahisi kwa mizinga yake iweze kuipiga moja kwa moja mji huo wa pili kwa ukubwa ndani ya Ukraine na ni moja wapo ya maandalizi shambulizi kubwa la kuuchukua mji huo siku zijazo.
 
Russia Forces wanalichukua eneo la Kharkov kwa speed ya Hali ya juu sana.

Inaelekea defence lines za Ukraine zimesha collapse kabisa.



Screenshot_20240511-193012.jpg
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇 😇 😇 😇

⚡⚡Russian army has already lost more than 481,000 troops in Ukraine

The total combat losses of the Russian army in Ukraine from 24 February 2022 to 11 May 2024 amounted to about 481,030 people, including 1,320 in the last day.
According to Ukrinform, the General Staff of the Armed Forces of Ukraine reported this on Facebook.⚡⚡
🤣🤣🤣 uwe unatuletea habari zenye vyanzo vya uhakika mkuu.
 
Jana Zelensk alisema kuwa mvamizi alitaka kuingia kwenye mkoa wa Kharkiv, ila akarudishwa nyuma kwa iyo hali ni swali tu.

Leo hii mapigano yapo kilometer 18 karibu na mji wa Kharkiv maana yake Warusi wapo karibu na katikati ya mkoa wa Kharkiv.sasa sijui leo Zelensk atatuambiaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom