kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Umeua😅Bro mwaka wa pili huu tunaenda wa tatu.... Nimeona nikukumbushe tu kama bado upo JF😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeua😅Bro mwaka wa pili huu tunaenda wa tatu.... Nimeona nikukumbushe tu kama bado upo JF😂😂
Unajua Kuna Wenzetu Watanzania hua ni mapunguani Sana na ujuaji mwingi wa kujua Kila kitu Kila mtu Kila utawala Kila nchi... Ndo maana nimeona nimkumbushe tu Mdau Ili next time asiropoke kwa Kutumia maandishi...😂😂Umeua😅
Ukweli mchungu kwamba NATO kuingia vitani na Urusi ni kujitoa mhanga na kukubali nchi zao nazo zibaki magofu kuliko hata Gaza.
Umoja huo hautoshi kabisa kuipiga Urusi nao wakabaki salama kama walivyofanya kwa Iraq, Yugoslavia, Afghanistan, Libya n.k.
Urusi sio taifa kama hayo,Urusi ni level nyingine kabisa.
NATO Wanajua fika kurusha bomu moja Urusi ni kuruhusu Urusi kurusha mabomo 100 kwao.
Wanajua fika Urusi anaweza kupiga makao makuu ya Jeshi ya Kila mwanachama NATO na Ikulu zote za nchi za NATO kwa dakika moja.
Wanajua Urusi anaweza kuchagua apige wapi kwa Kila mwanachama wa NATO kwa siku moja.
Sasa kwa kujua uwezo huo sio rahisi kuingia kizembe vitani na nchi ya namna hiyo.
Kama NATO waliweza kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait.
Wanashindwa Nini kuipiga Urusi iliyoivamia Ukraine?
Nadhani hakukosea sana kwenye utabiri wake labda alichosahau ni kutwambia hii vita itadumu kwa wiki 2 au zaidi ikiwa nini kitatokea. Hata mtoto anajua kwa hakika kabisa kuwa bila support ya mataifa zaidi ya 30 kwa Ukraine, Russia angetangaza ushindi ndani ya siku 3 hadi wiki 2.Unajua Kuna Wenzetu Watanzania hua ni mapunguani Sana na ujuaji mwingi wa kujua Kila kitu Kila mtu Kila utawala Kila nchi... Ndo maana nimeona nimkumbushe tu Mdau Ili next time asiropoke kwa Kutumia maandishi...😂😂
Ofcoz Mkuu, nimemchallange tuNadhani hakukosea sana kwenye utabiri wake labda alichosahau ni kutwambia hii vita itadumu kwa wiki 2 au zaidi ikiwa nini kitatokea. Hata mtoto anajua kwa hakika kabisa kuwa bila support ya mataifa zaidi ya 30 kwa Ukraine, Russia angetangaza ushindi ndani ya siku 3 hadi wiki 2.
Mkuu mwaka wa pili huu NATO wanafanya vikao Kila siku wakati Urusi anaipiga Ukraine Kila siku na kuteka miji.Bro mwaka wa pili huu tunaenda wa tatu.... Nimeona nikukumbushe tu kama bado upo JF😂😂
Russia habari nyingine.Mkuu mwaka wa pili huu NATO wanafanya vikao Kila siku wakati Urusi anaipiga Ukraine Kila siku na kuteka miji.
Vipi mbona USA na NATO hawafanyi kama walivyofanya kwa Iraq,pale Iraq
alipoivamia Kuwait ?
Ama USA na NATO yake hawafanyi kitu kwa Urusi kama walichofanya kwa Yugoslavia pale Yugoslavia alipokua
akiwapiga akina Bosnia and Herzegovina,Kosovo na wenzao?.
Au hata kuweka no fly zone TU kwa Ukraine?
Au hata kudungua TU makombora ya Urusi kama walivyofanya juzi TU pale Iran iliporusha mamia ya drone na maroketi?
Marekani anasubiri Nini Sasa,au anataka Ukraine iporwe majimbo yote?
Kitu ambacho watu wengi walitarajia USA angefanya kwa Urusi ni kuingia kijeshi rasmi kama alivyofanya kwa akina Iraq,Yugoslavia na Afghanistan.
Bunge la USA liridhie na tuone majeshi yakielekea Ukraine .
Usimtukane mamba aliye ndani ya mto utakaovuka kabla hujavuka na ukitegemea kupita hapo kwa mara nyingine.Unajua Kuna Wenzetu Watanzania hua ni mapunguani Sana na ujuaji mwingi wa kujua Kila kitu Kila mtu Kila utawala Kila nchi... Ndo maana nimeona nimkumbushe tu Mdau Ili next time asiropoke kwa Kutumia maandishi...😂😂

hali yao sio nzuri hata kidogo!Vilevile ameanza kusajili Jeshini Watumishi wa Umma na Wafungwa.
Urusi tokea enzi vita zake huanza vibaya na kumaliza akiwa very strong!Nadhani hakukosea sana kwenye utabiri wake labda alichosahau ni kutwambia hii vita itadumu kwa wiki 2 au zaidi ikiwa nini kitatokea. Hata mtoto anajua kwa hakika kabisa kuwa bila support ya mataifa zaidi ya 30 kwa Ukraine, Russia angetangaza ushindi ndani ya siku 3 hadi wiki 2.
Wazee wa kuhamisha magoli kila mkibanwa kwenye Kona Huwa hamkosi hoja😅Urusi tokea enzi vita zake huanza vibaya na kumaliza akiwa very strong!
hata wachambuzi wa magharibi wamekua wakilisema hili siku za karibuni, wakitahadharisha madhara ya escalation kwakua tayar Russia ashapeak, itakua vigumu kumrudisha nyuma kwa hapa alipofika!