kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili mm niliongelea jeshi la Ukraine kama Ukraine na silaha walizo kuwa nazo kwa wakati huo.Unajua Kuna Wenzetu Watanzania hua ni mapunguani Sana na ujuaji mwingi wa kujua Kila kitu Kila mtu Kila utawala Kila nchi... Ndo maana nimeona nimkumbushe tu Mdau Ili next time asiropoke kwa Kutumia maandishi...😂😂
Uko sahihi kabisa.Huna akili mm niliongelea jeshi la Ukraine kama Ukraine na silaha walizo kuwa nazo kwa wakati huo.
Nchi za Magharibi zilianza kupeleka silaha siku ya pili tu baada ya vita kuanza.
Kilicho fanya vita kurefuka ni msaada wa nchi za Magharibi kwa Ukraine hata Marekani yenyewe alisha tamka wazi kuwa lengo la kurefusha vita ya Ukraine ni kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi Urusi.
Na nchi za Magharibi haziisaidii Ukraine kwa sababu eti wanaipenda bali wanaisaidia kwa faida za kimkakati zaidi.
Kama Zerensik mwenyewe amekili kuwa hapa duniani hakuna taifa lolote lenye uwezo wa kupigana na Urusi peke yake ,mimi na wewe ni nani?
😂😂 Umepaniki balaa... Haya bana... Next time never write conclusive statement bila kua na projection..Huna akili mm niliongelea jeshi la Ukraine kama Ukraine na silaha walizo kuwa nazo kwa wakati huo.
Nchi za Magharibi zilianza kupeleka silaha siku ya pili tu baada ya vita kuanza.
Kilicho fanya vita kurefuka ni msaada wa nchi za Magharibi kwa Ukraine hata Marekani yenyewe alisha tamka wazi kuwa lengo la kurefusha vita ya Ukraine ni kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi Urusi.
Na nchi za Magharibi haziisaidii Ukraine kwa sababu eti wanaipenda bali wanaisaidia kwa faida za kimkakati zaidi.
Kama Zerensik mwenyewe amekili kuwa hapa duniani hakuna taifa lolote lenye uwezo wa kupigana na Urusi peke yake ,mimi na wewe ni nani?
Zele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱
Mbona wameshambulia Belgorod na hakuna jipyaZele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆
Ila NATO na US si watu wazuri yaan kama utani vile taratiibu wanamwingilia babu Putin chumbani kwake......
Hawataweza kumshinda mnyama PutinMbona wameshambulia Belgorod na hakuna jipya