Hujui kutokuwa na mabadiliko kutokana na kifurushi, hayo ndio mabadiliko ? Labda kifurushi kisingetoka Ukraine ingesalimu amri?KILA Mara unashangilia kifurush kipya, ila hakuna mabadiliko yoyote Vitaniš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kutokuwa na mabadiliko kutokana na kifurushi, hayo ndio mabadiliko ? Labda kifurushi kisingetoka Ukraine ingesalimu amri?KILA Mara unashangilia kifurush kipya, ila hakuna mabadiliko yoyote Vitaniš
Tanzania is a darling of the IMF,haiwezi kuwekwa hapa,wataiaibisha.Na kwanza sio lazima uwekwe kwenye list ndio uwe unadaiwa.Inaweza kuwa confidential,lakini unadaiwa.
Contradictory statement. Hao NWO ndio kina nani kama si US na vibaraka wake!Hii sijui kuisambaratisha US dollar is staged by all NWO players:the US itself,China,Russia and Europe.Wanaodanganywa ni sisi wadanganyika.
Naomba niwakumbushe watu kwamba the force at play hapa ni the Khazarian Tribe.US,China,Europe or even Russia wanatumiwa tu kama tools.
SALAMU kwa wale waliokuwa WANABEZA, WANANANGA, WANABAGAZA "UJAMAA/SOCIALIMS/COMMUNISM"
Hapa ni salam kutoka pande zote...... PETRODOLAR
View: https://x.com/ChrisMcNelly/status/1801015321584710027
Tusubiri.Ni kitu ambacho kimepangwa na the Khazarian Tribe na naamini kitatokea.Contradictory statement. Hao NWO ndio kina nani kama si US na vibaraka wake!
Kitu kingine, US anaweza akaipoteza nafasi yake ya kinara wa dunia, lakini kusema US atakuwa siku moja miongoni mwa third world countries ni kujilisha upepo. Let's try to be realistic.
Wakipigana kwa nuclear kwa nini wasirudi??Contradictory statement. Hao NWO ndio kina nani kama si US na vibaraka wake!
Kitu kingine, US anaweza akaipoteza nafasi yake ya kinara wa dunia, lakini kusema US atakuwa siku moja miongoni mwa third world countries ni kujilisha upepo. Let's try to be realistic.
wapigane kwa nuclear abaki nani sasa! Zana za leo siyo zile zilizoipiga Japan.Wakipigana kwa nuclear kwa nini wasirudi??
Haya, NATO kama wana uwezo wapeleke majeshi kukomboa maeneo yaliyonyakuliwa na Russia.Russian President Putin:
The captured territories of Ukraine are forever part of Russia.