Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The German arms manufacturer Rheinmetall announced on July 24 that it had received an order from the Ukrainian government to begin the construction of an ammunition factory in Ukraine.Juzi hapa nilisema kwamba RUSSIA kwasasa anaonekana kuitaka zaidi hii SMO yake iendelee zaidi ya ilivyokua mwanzo sababu mahesabu yake yameenda vyema zaidi ya alivyotarajia
Leo Kuleba analalama kwamba RUSSIA wanaonesha kutokua tayari kwa mazungumzo wakati awali wakati wanataka mazungumzo kina dimitro waligomea na wafuasi wao hapa Jf wakawaunga mkono leo kiko wapi sasa ?
Kwasasa namna hali ilivyo sidhanii kama Russia atakubali mazungumzo yeyote na Ukraine
Kwanza majuzi hapa washaanza sababu ijapokua zamsingi kwamba hawawezi kuongea na Elensky sababu sii raisi halali wa Ukraine
Ngoja tuone ila Ukraine inatakiwa isiwepo sababu ya akili mbovu za Elensky
Hapana hujasema Ukraine hana akili mie ndio nayasema hayo
Ukraine anahaki kabisa yakupambania ardhi yake ila angeangalia anauwezo mbele ya anaepambania nae
Tokea mwanzo Ukraine alikua anajua kama hana uwezo wakupambana na Russia ila akachagua kupambana bila kujali wakati anajua kama hatashinda
Sasa leo akiongea na Russia na akatii matakwa ya Russi atakua kafanya nini lamaana
Sababu lamaana zaidi kwake lilikua nikukubali matakwa kabla ya kuulisha watu na kuharibu nchi yake
Sababu ukweli ulikua upo wazi sana tokea awali kwamba Russia ana athirika ila Ukraine ndio anaukufa kabisa kabisa
Watu wamekufa nchi imepondea pondwa ndio wanataka mazungumzo 🤔
Naam...
Russia is winning
⚡Russian missile strike on Nikolaev earlier reportedly targeted a missile storage warehouse.