LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nikiwaza hao ni baba za watoto waume za watu watoto za watu na walikuwa tegemezi kwa watu wao huwa nayatafakari sana maisha ya kuwa mzima na pumzi.

Siyo jambo la masihara maisha ya vita au tunapovuta pumzi ya bure tusijisahau sana tuzingatie kuweka mustakabali mzuri kwa jamii zinazotuzunguka.
 
Ukraine aliachiwa achezee sharubu za Urusi kadri anavyoweza lakini kwa ukaidi kaamua kwenda kubembea kwenye korodani za Urusi sasa kifinyo anachokipata huko Kursk mungu ndio anajua, Wakati huo huo Jeshi la Urusi limeshawazunguka Wanamgambo wote wa Ukraine walioingia Kursk tayari kwa kutahiriwa....... Twende studio......
WARNING: GRAPHIC CONTENT

The Ukrainian army has suffered a defeat in the Kursk region.
Na hawa kama Hamas sijui walienda kufanya nini
 
Hiyo

Hiyo inamaanisha unapata taarifa zile unazopenda kuzisikia na zinakufurahisha ila wale wengine wanakupa taarifa usizopenda kuzisikia ata kama ni kweli unakataa kuwafollow tweeter.
Inafurahisha sana.
  1. Huyu ni muandishi wa gazeti la bild la nchi ya ujerumani.
  2. Pro Ukraine kuliko kipanya
  3. Haipendi Russia hata kidogo
  4. Urusi akitandikwa habari anairipoti
  5. Ukraine akitandikwa habari anairipoti
Unaposema napata taarifa ninazozipenda sijui unamaanisha nini.
Napata taarifa nyingi za maendeleo ya jeshi la ukraine kutoka kwake
 
Unashangaa mwanaume kupigania sovereignty ya nchi yake? Wangebweteka baba zako vita ya Kagera sasa hivi ungekuwa unauza bucha la kitimoto kwa lazima.
Anyway kwa hiyo warusi wao wana miili ya chuma hawafi?
Kifinyo kimekua kikali zaidi ya walivyotarajia

What Western propaganda won’t tell you: Ukraine is suffering significant losses against Russia..
 
Attachments

  • IMG_20240814_185752.jpg
    IMG_20240814_185752.jpg
    102.6 KB · Views: 3
  • IMG_20240814_185757.jpg
    IMG_20240814_185757.jpg
    196.7 KB · Views: 4
  • IMG_20240814_185800.jpg
    IMG_20240814_185800.jpg
    140.7 KB · Views: 3
  • IMG_20240814_185803.jpg
    IMG_20240814_185803.jpg
    135.2 KB · Views: 3
Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweee
Sio kuzibwa TU,Bali Kuna kikosi kazi Yao ni kulinda kinu Cha nyukilia,kufuatilia nyendo za jeshi la uvamizi,maficho Yao kutegua mabomu,kushusha drone zao,kugundua mipango Yao na Kila Nia Yao ovu inafuatiliwa jukumu hili liko kwa kikosi maalumu kabisa,na jukumu la kuwafuatilia na kuwaangamiza liko kwa kikosi Cha askari wa kipekee kabisa wa AKHMAT wakishirikiana na vikosi vingine.
Lengo ni ni kuhakikisha adui harudi nyumbani.
Utaratibu wa Urusi ni uleule kumzunguka adui kama anaconda afanyavyo.

ukweli wamezungukwa haya sio maneno yangu Bali ni maneno ya Mkuu wa AKHMAT
 
Nimetoka kuwaambia mchana hapo askari wa Ukraine watavaa sketi na magauni na hijab na watajipaka make up na kuvaa hereni kukimbia kipigo cha Russia.

Inasemekana intel za Russia zilijua mapema kabisa mwezi nyuma kwamba Ukraine inapanga kuvamia Kursk, na wameachiwa waingie halafu wahuni wanafunga milango hapo hakuna misaada ya silaha kuingia wala chakula, watakufa kifo kibaya sana.

Walivyo wajinga Ukraine walikiri ilikuwa rahisi kwao kuingia Kursk, na Russia walivyo na roho mbaya wamewaacha wasonge ndani zaidi ili kifinyo kikianza hamna kurudi ulipotoka.

Hii itakua onyo.
Kuna mjeda wa Ukraine alikuwa anatamba eti wangeingia zamani ila walikataliwa lakini sasa wameshika eneo kubwa sana
Kumbe mtego aisee masaa 24 wameuwawa 270 na mateka kadhaa
 
Unawezaje kupigana vita bila kuwa na air support? Hapa Ukraine amefeli sana.

Mimi nilitarajia wangevamia hapo Kursk na kupiga ambush na kurudi Ukraine. Sasa wanapoendelea kukaa humo ndani ya Kursk, logistics support inatokea wapi?

Unawezaje ku advance bila kuwa na air support?

Halafu wanajeshi 1,000 wanawezaje kuleta habari za kuteka Russia? Sometimes tuwe logical.
 
Nimetoka kuwaambia mchana hapo askari wa Ukraine watavaa sketi na magauni na hijab na watajipaka make up na kuvaa hereni kukimbia kipigo cha Russia.

Inasemekana intel za Russia zilijua mapema kabisa mwezi nyuma kwamba Ukraine inapanga kuvamia Kursk, na wameachiwa waingie halafu wahuni wanafunga milango hapo hakuna misaada ya silaha kuingia wala chakula, watakufa kifo kibaya sana.

Walivyo wajinga Ukraine walikiri ilikuwa rahisi kwao kuingia Kursk, na Russia walivyo na roho mbaya wamewaacha wasonge ndani zaidi ili kifinyo kikianza hamna kurudi ulipotoka.

Hii itakua onyo.
😂😂😂😂🔧🔧🔧
 
Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweee
Mwamba usije ukasema naweka maneno yangu na kuongeza chumvi,haya ni maneno ya Mkuu wa operation huko Kursk Mkuu wa AKHMAT.

According to Major General Apti Alaudinov, deputy head of the Main Military and Political Department of the Russian Armed Forces and commander of the Akhmat special forces, Russia has stabilized the situation in the region. The blockade of the Ukrainian forces that have entered the country is now being finalized.

1
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
14 AUG, 16:14
FACTBOX: Kiev’s losses: situation in Kursk Region
Russian troops took out Ukrainian units and equipment in the areas of Loknya, Kremiany, Oleshnya, Sverdlikova and Daryino

© Russian Defence Ministry/TASS
MOSCOW, August 14. /TASS/. The Ukrainian armed forces' losses in the Kursk Region over the past day amounted to 270 military personnel and 16 armored vehicles, including two tanks, while 18 servicemen have surrendered, the Russian Defense Ministry reported.

According to the agency, the enemy has lost upwards of 2,300 military personnel since fighting began in the Kursk Region.

According to Major General Apti Alaudinov, deputy head of the Main Military and Political Department of the Russian Armed Forces and commander of the Akhmat special forces, Russia has stabilized the situation in the region. The blockade of the Ukrainian forces that have entered the country is now being finalized.

TASS has gathered the key facts about the situation.

Situation in the region
- The Russian army foiled Ukraine’s attempts to break through near Skrylevka, Levshinka, Semyonovka, Alekseyevskoye, and Kamyshnoye in the Kursk Region.

- Six Ukrainian attacks were repelled near the settlements of Korenevo, Olgovka, Pogrebki, Russkoe Porechnoye and Cherkesskoe Porechnoye.

- Russian troops took out Ukrainian units and equipment in the areas of Loknya, Kremiany, Oleshnya, Sverdlikova and Daryino.

- The Russian military detected and destroyed two enemy groups in pickup trucks near Martynovka.

- Russian aircraft struck Ukrainian reserves near Yunakovka, Sadki, Miropolye, Hrapovshchyna, Mogritsa and Krovnoye in the Sumy Region.

Ukraine's losses
- Ukraine lost up to 270 servicemen and 16 armored vehicles, including two tanks, a Stryker armored personnel carrier, 13 armored combat vehicles, as well as 10 vehicles and a 122-mm D-30 howitzer, during the past day. Eighteen Ukrainian servicemen were captured.

- During the entire period of fighting in the region, Ukraine lost up to 2,300 servicemen, 37 tanks, 32 armored personnel carriers, 18 infantry fighting vehicles, 192 armored combat vehicles, 88 vehicles, four anti-aircraft missile systems, two multiple rocket launchers and 15 field artillery guns.

Alaudinov's statements

- The situation in the Kursk Region is under the Russian troops' control. The blocking of those Ukrainian formations that have entered the territory is now being completed.

- According to him, the enemy is no longer taking offensive actions in the Kursk direction and has begun to gradually fortify the border areas to avoid being annihilated.

- Russian forces will soon launch a widespread offensive to completely destroy the Ukrainian armed forces in the area.

- The Ukrainian raid was aimed at capturing the Kursk nuclear power plant by August 11. This task was not accomplished.

- Most of the enemy’s equipment has already been destroyed.

- The Ukrainian armed forces do not control Sudzha, despite some reports. Russian Defense Ministry units are in the city; intense clashes with the enemy are underway.
 
Ukraine aliachiwa achezee sharubu za Urusi kadri anavyoweza lakini kwa ukaidi kaamua kwenda kubembea kwenye korodani za Urusi sasa kifinyo anachokipata huko Kursk mungu ndio anajua, Wakati huo huo Jeshi la Urusi limeshawazunguka Wanamgambo wote wa Ukraine walioingia Kursk tayari kwa kutahiriwa....... Twende studio......
WARNING: GRAPHIC CONTENT

The Ukrainian army has suffered a defeat in the Kursk region.
Siyo kweli acha uongo.
 
Unawezaje kupigana vita bila kuwa na air support? Hapa Ukraine amefeli sana.

Mimi nilitarajia wangevamia hapo Kursk na kupiga ambush na kurudi Ukraine. Sasa wanapoendelea kukaa humo ndani ya Kursk, logistics support inatokea wapi?

Unawezaje ku advance bila kuwa na air support?

Halafu wanajeshi 1,000 wanawezaje kuleta habari za kuteka Russia? Sometimes tuwe logical.
Kuna muda ukiangalia mambo unacheka tu kwakweli nakuyaacha yalivyo

Kuna wachafuzi hapa walikua wanaiponda sana russia halaf wanajikuta wachafuzi haswa

Ukweli nikwamba achana na nchi yenye jeshi kubwa na lenye ujuvi kama russia tu ila hata hili jeshi la kenya au tanzania huwezi ukawashinda kwa wanajeshi 1000 halaf hawana sapot ya anga

Nitakua wamwisho kuamini kwamba russia haikua inajua ama kuona nyendo za ukraine kuingia kursk ila waliona wacha wajae halaf watakipata walichokifuata hapo kursk na wanakipata

Wanachofanyiwa ukraine kursk sio mauji ni maangamizi

Hua nasema hapa huu ndio ujinga wa mambo ya kitaalamu kusimamiwa na wanasiasa

Sasa ukraine watapata wapi tena mzigo mpya kuihimili russia hapo kursk?

Tokea mwanzo sikua nawasi wasi kama walokua nao wengine hapa team russia

Kuna mchafuzi mmoja hapa sijui wawili sikuwajibu lolote kuhusiana na kursk niliwaacha waje wajionee wenyewe mwisho

Ila nini acha wafe hawana adabu wameyataka
 
Ukrainian troops are encountering resistance when advancing deeper into Russia’s Kursk Oblast, and are now fortifying their positions in some directions.
 
Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweee
Koment zako za juu tunazo ulokua unatilia shaka jeshi la Russia tuzilete ama tuziache tuuu

Tumekupoka nyota moja ya team Russo sio mzalendo

Wewe Russo kweli ivamiwe ardhini mwake halafu ikaw tu kiboya boya kama kweli usalama wake unahatarishwa kweli

Achana na wachafuzi uchwara wa jf wanajua wasiojua

Waambie wakitaka kujua udhaifu wa jeshi la russia waende wakapeleke jeshi pale Kaliningrad kama alivyopeleka Ukraine pale Kursk ndio wataelewa
 
Unawezaje kupigana vita bila kuwa na air support? Hapa Ukraine amefeli sana.

Mimi nilitarajia wangevamia hapo Kursk na kupiga ambush na kurudi Ukraine. Sasa wanapoendelea kukaa humo ndani ya Kursk, logistics support inatokea wapi?

Unawezaje ku advance bila kuwa na air support?

Halafu wanajeshi 1,000 wanawezaje kuleta habari za kuteka Russia? Sometimes tuwe logical.
Jeshi la ukrain na NATO awana akili kabisa ilitakiwa wamchengeshe bwege urussi siyo kukaa kwenye eneo walilo vamia walitakiwa kuondoka haraka na kuvamia eneo jipya la mpaka ili kufanya usumbufu ..kwa urusi ...majeshi ya Hitler yalifanya kosa kama hili analo fanya ukrain.
 
Back
Top Bottom