kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kitu gani kipya anachokifanya Russia dhidi ya Ukraine tangu alipoanzisha vita???.Kuna muda ukiangalia mambo unacheka tu kwakweli nakuyaacha yalivyo
Kuna wachafuzi hapa walikua wanaiponda sana russia halaf wanajikuta wachafuzi haswa
Ukweli nikwamba achana na nchi yenye jeshi kubwa na lenye ujuvi kama russia tu ila hata hili jeshi la kenya au tanzania huwezi ukawashinda kwa wanajeshi 1000 halaf hawana sapot ya anga
Nitakua wamwisho kuamini kwamba russia haikua inajua ama kuona nyendo za ukraine kuingia kursk ila waliona wacha wajae halaf watakipata walichokifuata hapo kursk na wanakipata
Wanachofanyiwa ukraine kursk sio mauji ni maangamizi
Hua nasema hapa huu ndio ujinga wa mambo ya kitaalamu kusimamiwa na wanasiasa
Sasa ukraine watapata wapi tena mzigo mpya kuihimili russia hapo kursk?
Tokea mwanzo sikua nawasi wasi kama walokua nao wengine hapa team russia
Kuna mchafuzi mmoja hapa sijui wawili sikuwajibu lolote kuhusiana na kursk niliwaacha waje wajionee wenyewe mwisho
Ila nini acha wafe hawana adabu wameyataka
Hawana akili natoJeshi la ukrain na NATO awana akili kabisa ilitakiwa wamchengeshe bwege urussi siyo kukaa kwenye eneo walilo vamia walitakiwa kuondoka haraka na kuvamia eneo jipya la mpaka ili kufanya usumbufu ..kwa urusi ...majeshi ya Hitler yalifanya kosa kama hili analo fanya ukrain.
Mbona Palestine ikipambana kujitetea nchi yake mnaiponda na kuita magaidi ila Ukraine sio magaidiUnashangaa mwanaume kupigania sovereignty ya nchi yake? Wangebweteka baba zako vita ya Kagera sasa hivi ungekuwa unauza bucha la kitimoto kwa lazima.
Anyway kwa hiyo warusi wao wana miili ya chuma hawafi?
Safari hii anafuatwa Moja kwa Moja Moscow 😁Hapo ndiyo mtaelewa silaha za watu wa Magharibi zina ubora upi.
Putin kashanasa kwemye ulimbo, yaani kwa hapa Bongo tumasema KAYAVAGAA
Kipya mara hii kaamua kumuacha panya aingie ndani amfinye vyema kama anavyofanyaNi kitu gani kipya anachokifanya Russia dhidi ya Ukraine tangu alipoanzisha vita???.
Kwamba alikuwa haijawahi kuua askari 1000 wa Ukraine ama?.
Vita vikuu vya urusi ni kuipiga dollar kwa kutumia brics..mchezo ni mtamu sanaNi kitu gani kipya anachokifanya Russia dhidi ya Ukraine tangu alipoanzisha vita???.
Kwamba alikuwa haijawahi kuua askari 1000 wa Ukraine ama?.
Wanawake walimkufuru Mungu Kwa kutaka usawa,wakati Mungu aliwahurumia ili tuwape Raha wao wakataka tulingane.kwenye dhahma yote hii wanawake huwaoni 😀
50/50 haipo tena au
Kipanya.Ukrainian troops are encountering resistance when advancing deeper into Russia’s Kursk Oblast, and are now fortifying their positions in some directions.
1Siyo kweli acha uongo.
sasa wewe una uhakika gani kama anaongea ukweli? vipi kama ni mamluki? unamfuata simply because ana align na interest zako.View attachment 3069976
NAFO pambaneni na huyu mwenzenu mwenye taarifa sahihi.
huyu ndiye PRO UKRAINE pekee niliyemfuata twitter
Wanawake hawajitambui.ukiangalia picha wote ni ME, mpaka huruma, KE huwasikii hapo
yuko busy anafanya mpango wa kukomba mali
Huyu kapigwa na risasi ya kulengea vifaruNajiuliza kichwa cha uyo mwanajeshi kimeng'olewa au vip?
Sijui nani aliwadanganya, ni kama waliamua kujitoa mhanga.Kuna mjeda wa Ukraine alikuwa anatamba eti wangeingia zamani ila walikataliwa lakini sasa wameshika eneo kubwa sana
Kumbe mtego aisee masaa 24 wameuwawa 270 na mateka kadhaa
Yani kweli kabisa mkuu kinyofolewa sijui aliwajibu nini watabe wakaona isiwe tabu kichwa si ndo kinakupa jeuri sasa tunatoa hiki hiki 🤐🤐🤐Huyu kapigwa na risasi ya kulengea vifaru
Kuingia ni rahisi sana tatizo ni kutoka...nikama panya aliye ingia mtegoni😁😁😁😁