Sasa wewe mwenye akili, hehu jielimishe kwanza juu ya vikwazo. Haviwekwi na legelege na vinasimamiwa.Hilo swali lako linaonyesha wewe hauna Akili ...tumia akili ukiniwekea vikwazo out matiki unakuwa umejiwekea vikwazo na wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe mwenye akili, hehu jielimishe kwanza juu ya vikwazo. Haviwekwi na legelege na vinasimamiwa.Hilo swali lako linaonyesha wewe hauna Akili ...tumia akili ukiniwekea vikwazo out matiki unakuwa umejiwekea vikwazo na wewe.
Mimi namuona mpolePutin sio mpole.
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺Hapo ndiyo mtaelewa silaha za watu wa Magharibi zina ubora upi.
Putin kashanasa kwemye ulimbo, yaani kwa hapa Bongo tumasema KAYAVAGAA
Anabeba Propaganda nyingi, ndio maana mpaka Leo anaamini Bakhamut bado Iko mikononi mwa Ukrein.Naona media za AL kipanya tuh
Ndio Zinatawala lakini tulia usiogopeNaona media za AL kipanya tuh
Mbona anaua maelfu ya raia wa Ukraine Ili ateke nchi Yao?Urusi haiwezi kukurupuka kwenye operation ya kuviondoa vikosi vya Ukraine kwenye ardhi yake kwa sababu hayuko tayari kuuwa maelfu ya raia wake kwenye operation hiyo kwa hiy tulia.
Hamna anaeuliwa wala hamna anaetekwaMbona anaua maelfu ya raia wa Ukraine Ili ateke nchi Yao?
Duh tayariSasa BBC mtaeleza tu nn mlikifuataView attachment 3070522