kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Another trophy russian tank T-80BVM from the city of Sudzha, Kursk region, russia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio nawao ili wasonge mbele watapita njia ipi?Daraja lilivonjwa lilikuwa kiungo muhimu na njia ya haraka ya Russia kuingiza majeshi Kursk kusaidia, now itabidi wapite njia ndefu zaidi
Sasa unadhani kuzingira jeshi ni kama kumzingira mwizi aloiba simuMwengine unakuta kaandika kuwa wamezingirwa na sasa wameanza kuiba tv na vyakula......uzingirwe Kisha uibe?, tena uibe tv?.
Point kubwa sana hii.Sasa unadhani kuzingira jeshi ni kama kumzingira mwizi aloiba simu
Kulizingira jeshi unaziba njia zote zakuingilia nakutokea dar wakati huo huo wao hawawezi kukimbia ila nyie mnaweza kuwafuata
Inamaana wao wapo kariakoo wapo ilala wapo mwenge wapo tegeta wapo kunduchi nk
Kijana umeuliza swali la hovyo sababu kulizingira jeshi sio kama kumzingira mwizi aloiba simu
Da!Kwahio nawao ili wasonge mbele watapita njia ipi?
Ama hawana mipango yakusonga mbele kursk pekee panawatosha ukraine?
Kwenye mitando Urusi kashaua jeshi lote la Ukraine.Wanaendelea kuliwa vichwa TU.
Russian Troops Eliminate Group of 16 Ukrainian Soldiers in Kursk Region - Spokesperson
KURSK, Russia, (Sputnik) - A group of 16 Ukrainian military personnel of a separate mechanized brigade has been destroyed near the village of Kremyanoe in Russia's Kursk Region, a spokesperson for the Russian Ministry of Defense told Sputnik on Sunday.
"A group of 16 soldiers from the 225th Separate Assault Battalion of the 115th Separate Mechanized Brigade of the Ukrainian Army was destroyed near the settlement of Kremyanoe in the Kursk region. The elimination of the group was confirmed by target control footage taken by a copter [UAV]. The enemy unit was destroyed by Russian troops in the forest," the
Unazibiwa njia zote za kutoka na kuingia, Kisha unaiba tv.......think.Sasa unadhani kuzingira jeshi ni kama kumzingira mwizi aloiba simu
Kulizingira jeshi unaziba njia zote zakuingilia nakutokea dar wakati huo huo wao hawawezi kukimbia ila nyie mnaweza kuwafuata
Inamaana wao wapo kariakoo wapo ilala wapo mwenge wapo tegeta wapo kunduchi nk
Kijana umeuliza swali la hovyo sababu kulizingira jeshi sio kama kumzingira mwizi aloiba simu
Mfa maji haachi kutapatapa hata kidogoUnazibiwa njia zote za kutoka na kuingia, Kisha unaiba tv.......think.
Kipanya.Another trophy russian tank T-80BVM from the city of Sudzha, Kursk region, russia.View attachment 3073109
Pale Bucha walizingirwa?Mfa maji haachi kutapatapa hata kidogo
Anaweza akaiba hata simu mambo yakiwa magumu
Labda umesahau propaganda walotupiga Ukraine pale bucha kwamba majeshi ya Russia yalikua yanaua na kubaka watu baada ya kuona wanapigwa
Sasa fikiria unapigwa baada ya ukimbie unabaka
Anaepigwa anaweza akafanya lolote maaana anakua tayari kaishakata tamaaa
Vipi kursk ukraine anasogea mbele anarudi nyuma?
Mzee wiki mbili unazungusha tu picha tuletulePutin's “friendly” countries refused to condemn the entry of the Ukrainian Armed Forces into the Kursk region. None of the countries called “friendly” in Moscow expressed words of support for Putin, who was completely repelled. 😂😂😂😂😂😍😂View attachment 3072017
Hauth hizo kitu wanaziangusha kwa manati tu.EUROPE CONTINUES ITS PREPARATION FOR A RUSSIAN INVASION- Italy has just signed a contract with the United States for the sale of six modern MQ-9 Reaper attack UAVs to Italy for 738 million euros. Includes training for pilots and mechanics and assistance for 5 years. These Drones have never-before-seen capabilities such as precision missile attacks from 40 kilometers away.View attachment 3072148
In the early hours of Sunday, Aug. 18, Ukrainian air defense successfully destroyed five missiles and eight Shahed-131/136 drones launched by Russian forces, according to Ukrainian Air Force Commander Mykola Oleschuk on Telegram on Aug. 18.Hauth hizo kitu wanaziangusha kwa manati tu.
Hawakuzingirwa ila walizidiwa acc to UkrainePale Bucha walizingirwa?