LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huyu ni mgombea Urais huko Marekani anaona haya,anatambua kabisa Ukraine bila misaada ya USA si lolote si chochote mbele ya Mighty Russia,anasema USA ndio inachochea vita Ukraine Kwa kumwagia mafuta kwenye vita hiyo,hivyo anaitaka serikali iliyopo iache kupeleka hela Ukraine ili vita iishe.
Maana yake ni kwamba Ukraine Haina uwezo wa kukabiliana na Urusi bila misaada ya USA.
Lkn Cha ajabu utakikita kiji Mtanzania kimoja kimetoka huko Ngudu kinasema Ukraine inatoa jasho Urusi,ooh Putin alisema ataipiga Ukraine Kwa siku Tatu.
Sis tukiwaambia anapigana na Urusi ni NATO vijitu vya Ngudu vinabisha.


US keeps fuelling conflict in Ukraine — presidential candidate

Jill Stein said that it is necessary to stop flow of weapons and funds that basically throw gasoline on the fires in Ukraine

WASHINGTON, August 18. /TASS/. By providing military assistance to Ukraine, the United States has been fuelling the conflict that cannot be won, said Jill Stein, who was approved as the Green Party’s US presidential candidate earlier in the day.

"We oppose the continued flow of weapons and funds that basically throw gasoline on the fires in Ukraine, this has been an unwinnable war from the outset. It is a war being fought to the last Ukrainian it is a war. It is a proxy war, specifically stated by the Secretary of Defense, who has said that this is a war intended to bleed down Russia's resources," she said, adding that the conflict "could readily have been avoided."

"This is a war which has been ginned up basically since the fall of the Soviet Union. At that time, the US and multiple countries, you know, basically guaranteed that NATO would not be moving one inch to the east following the reunification of Germany," she said.

In her words, "it only took a couple of years <…> for this promise <…> to be broken."

Commenting on the US role in the Ukrainian crisis, she drew parallels with the 1962 Cuban missile crisis.

"We regarded this as a terrible threat to have nuclear weapons near our border," she said. "And what we're doing is exactly the reverse of that. We're putting nuclear compatible missiles <…> on the border of Russia, within a few minutes of Moscow. So this is nuts," Stein explained.

She also noted that the United States "took the lead in dismantling several critical nuclear treaties, including the INF, the Intermediate Nuclear Forces Treaty," signed in 1987.

Stein, a 74-year-old physician and an environmental activist, was officially nominated as the Green Party’s presidential candidate for the upcoming election during a party convention on Saturday. Her running mate is Professor Butch Ware.
Huyo Mrusi mwenyewe bila msaada wa Iran North Korea unafikir angekuwa wapi sasa hivi?
 
The situation in the area of the village of Korenevo, in the direction of Kursk, heavy fighting with the Wagners, they did not surrender and ended up burned.
1723977533977.jpg
1723977528352.jpg
 
Huyu ni mgombea Urais huko Marekani anaona haya,anatambua kabisa Ukraine bila misaada ya USA si lolote si chochote mbele ya Mighty Russia,anasema USA ndio inachochea vita Ukraine Kwa kumwagia mafuta kwenye vita hiyo,hivyo anaitaka serikali iliyopo iache kupeleka hela Ukraine ili vita iishe.
Maana yake ni kwamba Ukraine Haina uwezo wa kukabiliana na Urusi bila misaada ya USA.
Lkn Cha ajabu utakikita kiji Mtanzania kimoja kimetoka huko Ngudu kinasema Ukraine inatoa jasho Urusi,ooh Putin alisema ataipiga Ukraine Kwa siku Tatu.
Sis tukiwaambia anapigana na Urusi ni NATO vijitu vya Ngudu vinabisha.
🤣🤣

Eti vijitu vya ngudu! 😂😂😂

Kwani ikitokea Russia kapigwa, itakupunguzia nini chiefu na kupigwa kwa Ukraine inakusaidia nini mkuu
 
🤣🤣

Eti vijitu vya ngudu! 😂😂😂

Kwani ikitokea Russia kapigwa, itakupunguzia nini chiefu na kupigwa kwa Ukraine inakusaidia nini mkuu
Hainipunguzii wala kuniongezea kitu.
Ila ukitaka hivyo unavyosema JF ifungwe.
Maana humu Kila mtu anatoa maoni yake,na hii Iko Dunia nzima Kila mtu ana upande wala sio Kwa sababu za ushabiki Bali Kila upande unaona taifa mojawapo kati ya Urusi na Ukraine upi una haki.
Hii ni mjadala TU. ndio maana huyo mama wa USA anaona ilikua sahihibkwa Ukraine kua nyutro,wakati Biden anaona Ukraine Iko sahihi kua upande wa west.
 
The operation of the Ukrainian Defence Forces in the Kursk region illustrates how Ukrainians can use manoeuvre warfare to compensate for Russia's superiority in manpower and equipment.
This is stated in a report by the Institute for the Study of War (ISW), Ukrinform reports.
 
🤥Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko said that Belarus has moved almost a third of its army to the border with Ukraine because of the alleged presence of more than 120,000 Ukrainian troops

He believes that Ukrainian troops are stationed in large numbers on the border with Belarus because they think that “Putin will again attack from the territory of Belarus.”

“In response, I was forced to transfer almost a third of the army to reinforce what was there,” – Lukashenko said.

The self-proclaimed leader of the country noted that “it is like death if we withdraw our troops from the border with Ukraine. The war is on,” Lukashenko
1723986943615.jpg
said.
 
Hawakuzingirwa ila walizidiwa acc to Ukraine

Ila chaajabu hawakukimbia badala yake wakawa wanabaka kina mama na watoto
Then kuna uwezekano wa askari wa Russia kuiba kwani hawakuwa wamezingirwa. Sasa ndugu hivi kweli unaamini kabisa kwamba aliyezungukwa na kuzibia njia zote anaweza kuiba TV?. Kama ni propaganda ndo hizo.
 
Then kuna uwezekano wa askari wa Russia kuiba kwani hawakuwa wamezingirwa. Sasa ndugu hivi kweli unaamini kabisa kwamba aliyezungukwa na kuzibia njia zote anaweza kuiba TV?. Kama ni propaganda ndo hizo.
Hio kuiba ndio point ya msingi hilo la tv nisuala dogo sana

Hapo mada wizi mwizi akivurugwa a aweza iba lolote

Mwizi hajazingirwa na anaingia ndani anaiba kuku
 
DO YOU WANT TO LAUGH? GET READY FOR ANOTHER BARBARISM FROM THE DICTATORS...
North Korea joins Syria in condemning Ukraine offensive. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
In a statement, North Korean state news agency KCNA called the Ukrainian operation in the Kursk region of the Russian Federation “an unforgivable act of aggression and terror
1723989203782.jpg
.”
 
The Russian Federation has already withdrawn several brigades from Ukraine to protect the Kursk region - and this amounts to 10 thousand troops, - WSJ
The publication also writes that Putin needs more than 20 thousand troops to expel the Ukrainian Armed Forces from the Kursk region. The Ukrainians continue to advance.
 
Huyu mama ni mgombea Urais Marekani.
Anaonesha kabisa kua Urusi ilikua sahihi kuitaka Ukraine iwe nyutro,lkn utakuta Kuna viji great thinker uchwara kutoka nyakasungwa vinasema Urusi ijifunze kuishi vizuri na majirani zake.
Huyu mama anasema hakukua na ubaya wowote kwa Ukraine kutofungamana na upande wowote.
Nyakalilo, nyamgogwa na nyampande huko 😂😂😂
 
Due to a personnel shortage, the Russian command has reassigned Aerospace Forces members to serve as infantry in defending Kursk Oblast, Russian outlet iStories reported on Aug. 18, citing a source.
 
Huko Donestk Hali inazidi kua mbaya kwa Ukraine kama kawaida wanaendelea kuliwa kama nzige.
Baada ya zelensky kuwachuuza waingie Kursk Sasa huku kunapwaya .

Russian Troops Liberate Settlement of Sviridonovka in Donetsk People's Republic
18.08.2024

Russian Battlegroup Tsentr troops have liberated Sviridonovka in the Donetsk People's Republic, the Russia’s Defense Ministry said on Sunday.
"As a result of active combat operations, units of Battlegroup Tsentr have liberated the settlement of Sviridonovka in the Donetsk People's Republic," the Russian Defense Ministry said in a statement.
In addition, Battlegroup Tsentr struck formations of Ukraine’s 47th and 151st Mechanized, 68th Jaeger, 111th Territorial Defense, and 15th National Guard Brigades in the areas of Vozdvizhenka, Kalinovo, Ptichiye, Novoekonomicheskoye, and Dolinovka in the DPR, and repulsed two counterattacks by a unit of the Ukrainian National Police’s Lyut Assault Brigade.
"The enemy's losses amounted to more than 500 servicemen, two armored combat vehicles, five utility vehicles, one US-made 155 mm M777 howitzer, one 152 mm Msta-B howitzer, three 122 mm Gvozdika self-propelled artillery pieces, three 122 mm D-30 howitzers, two 100 mm Rapira guns, and one US-made AN/TPQ-37 counter-battery radar station," the Defense Ministry added.
 
Mwengine unakuta kaandika kuwa wamezingirwa na sasa wameanza kuiba tv na vyakula......uzingirwe Kisha uibe?, tena uibe

Kursk region, the UkRU army lost 3,460 Ukrainian troops, 50 tanks, 25 infantry vehicles, 45 personnel carriers, 262 fighting vehicles, 115 motor vehicles, 5 SAM launchers, 7 MLRS launchers, 3 HIMARS. Search teams of the Russian Aerospace perform tasks in the border area
.
 
Back
Top Bottom