kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Ukraine ameweza kuivamia Russia. atashindwa NATO?Kama NATO wangekuwa wana uwezo huo unadhani mpaka Sasa wasingeivamia?
Hahahhahaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine ameweza kuivamia Russia. atashindwa NATO?Kama NATO wangekuwa wana uwezo huo unadhani mpaka Sasa wasingeivamia?
Yaani wewe uone Urusi imepigwa uache kuleta?? Hata wakuu wako wa BBC wasiandike??? Wewe Uongo wako sasa umepitiliza mzee Vipanya..Kama week hii Mko kimya mnachezea NakozzzzzzHii vita urusi alibugi pakubwa mno,Kuna habari nyingi sana,sema tu tunaona uvivu kuzileta hapa, fuel depots zinazoharibiwa kila siku..,air fields zinazotiwa kiberit..,viwanda mbalimbali vinavyounguzwa kila siku..,vituo vya reli vinavyochakazwa kila uchao, hizi ni habari hambazo Huwa naona uvivu kuleta hapa lakini Nina uhakika hata Putin akiangalia hizi hasara kubwakubwa anazozidi kulambishwa kila siku anaona kabisa kwamba alibugi!
Nato ipi iingie Russia hili la NATO kuingia Russia lisahau kabisa tena litoeMkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema
Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu
Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu
Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?
Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Huyo jamaa unamjibu ila usimjibu tena maana inaonekana ushabiki mwingi au hana anachokijua.....eti NATO wakiingia watamnyonga Putin kama Saddam😂Nato ipi iingie Russia hili la NATO kuingia Russia lisahau kabisa tena litoe
Kwanza kabla ya kuamini kua NATO itaingia ndani ya Russia na kumnyonga put in inatakiwa wamtoe kwanza kule Kaliningrad halafu hapa ntaona kweli unayosema itawezekana
Hao NATO wanapigana na Russia kupitia Ukraine kwatahadhari sana wanajua wao kama wao hawawezi
Anachokifanya NATO hapo Ukraine ataendelea kutoa tu sapoti ila hatotangaza ile rasmi kama anaingia vitani na Russia hili sahau na silioni likitokea
Ila kama ndio kweli itatokea NATO wakaingia rasmi kwamba wanaingia vitani na Russia nakuhakikishia kuna mataifa hapo ulaya na sehemu nyengine duniani hutayasikia tena uwepo wake
Mwisho yaani anyongwe put in wakati assad mpaka leo anadunda
Kuhusiana na Ukraine kuingia ndani ya mipaka ya Russia binafsi hata mie sikutegemea ila wala sikushangaa kabisa kusikia hili
Ukraine ipo karibu na Russia sio jambo la kushangaza tofauti na ilivyokua libya au iraq au hata syria kama wangetoka huko wakaja kuingia marekani hii ingeshangaza ila kwa ukraine kuvuka tu mpaka kinashangaza kipi?
Ila ukraine kaenda kufata nini ndani ya Russia na je atafanikiwa alilolifata hili ndio lingeshangaza
Ukraine wameenda kufata kufa hapo Kursk hakuna lamaana lakujivunia walolifata
Unadhani kumnyonga put in nikama kuchinja kuku mzeee
inahitaji uwe na akili zisizo na maono ndio uhisi kua nato wanaweza kuingia direct.Mkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema
Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu
Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu
Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?
Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Sasa hao walioteka wenzao sI ni raia wa Urusi au ww unafikiri wanatokea wapi?Haya mchezo wa mateka umeisha huko gerezani! Pata picha ingekuwa Israel, U.S.A, UK n.k ungesikia MOSSAD, CIA, MI6 n.k!
All hostages in Russian prison rescued
Security forces were successful in storming the Volgograd prison, where several inmates had attacked guards and taken hostages earlier on Friday, the Russian national guard has confirmed. All of the terrorists have been killed, and all the hostages have been released.
![]()
Russian National Guard secures prison and rescues hostages
Russian special forces have stormed the correctional facility in Volgograd, eliminating all of the terroristswww.rt.com
Kwakweli asee inabidi nisimjibu 😀😀😀😀😀Huyo jamaa unamjibu ila usimjibu tena maana inaonekana ushabiki mwingi au hana anachokijua.....eti NATO wakiingia watamnyonga Putin kama Saddam😂
Ulitaka kusemaje kiongozi?🤔Sasa hao walioteka wenzao sI ni raia wa Urusi au ww unafikiri wanatokea wapi?
Yamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.Mkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema
Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu
Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu
Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?
Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Sasa hizo 80% siniuwezo jumla wa jeshi maana %mingi sana hizoYamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.
Hapana umefanya vizuri sana kumjibu,majibu Yako yamewaelimisha wengi waliokua Wana mtazamo kama wa huyo jamaa.Kwakweli asee inabidi nisimjibu 😀😀😀😀😀
Au kwao PUT IN maana yake kuku maana kamuongelea PUT IN kama anamuongelea kuku au bata anaetaka kuchinjwa😀
Dunia haikutokea tokea tu USA akawa kiranja, ipo akili kubwa iliyotumika na ndiyo hiyo inayoendelea kumshusha chini zaidi Russia!Yamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.
The Armed Forces of Ukraine control 94 settlements and up to 1,300 km² of territory in the Kursk region. In the last week, Ukraine expanded its control by approximately 200 km². Ukrainian troops are now 17 km from Lhov.Yaani wewe uone Urusi imepigwa uache kuleta?? Hata wakuu wako wa BBC wasiandike??? Wewe Uongo wako sasa umepitiliza mzee Vipanya..Kama week hii Mko kimya mnachezea Nakozzzzzz
Kuna wakati maandamano hayawezi kufua dafu huko west.,ulichek maandamano ya pro-palestine walivyokula kichapo?Kuna hoja za ki form six zinaendelea hapa . US angeweza kupambana na mataifa makubwa 50? Chini ya vikwazo lukuki ? NATO ni kundi kubwa sana lingeingia live mwanzoni waone moto. Hao west wakifa askari mia saba tayari maandamano wasingeweza