Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Tetkino settlement in the Kursk region has been completely cut off from Russian supply lines as of today. Now we have to wait for the Russians to surrender.huu ni wakati wetu warusi kutoka TANDAHIMBA kupata breaking newz tulizojizowesha
The Tetkino settlement in the Kursk region has been completely cut off from Russian supply lines as of today. Now we have to wait for the Russians to surrender.huu ni wakati wetu warusi kutoka TANDAHIMBA kupata breaking newz tulizojizowesha
sikiliza kipanya, wewe zuia hiyo KURSKThe Tetkino settlement in the Kursk region has been completely cut off from Russian supply lines as of today. Now we have to wait for the Russians to surrender.
THE UKRAINE ARMY HAS JUST REPORTED THAT IT HAS RELEASED- The ZSU liberated Ivano-Dariivka and moved south (~5.62 km²).sikiliza kipanya, wewe zuia hiyo KURSK
baadae utarejesha hilo eneo kwa mwenyewe,
Hilo ndio lengo mkuu,hapa Ukraine anazidi kujiweka sawa kwenye meza ya mazungumzo ( maybe kama itakuwepo hapo Baadae)sikiliza kipanya, wewe zuia hiyo KURSK
baadae utarejesha hilo eneo kwa mwenyewe,
sasa shida ni maeneo yake nayo Russia anazidi kuchukua sijui hesabu za wapi hizi.Hilo ndio lengo mkuu,hapa Ukraine anazidi kujiweka sawa kwenye meza ya mazungumzo ( maybe kama itakuwepo hapo Baadae)
Russian President Vladimir Putin is expected to launch a counteroffensive to retake the territory in the Kursk region currently controlled by the Ukrainian Armed Forces, according to CIA Deputy Director David Cohen, as quoted by Reuters. Cohen noted that this would likely be an uphill battle for the Russians.sikiliza kipanya, wewe zuia hiyo KURSK
baadae utarejesha hilo eneo kwa mwenyewe,
Imagine nchi Burundi inateka Jimbo Moja nchini marekani huku marekani ikiteka hata majimbo 10 ya Burundi., unafikir ni nani ataonekana dhaifu.., according to scope.,sasa shida ni maeneo yake nayo Russia anazidi kuchukua sijui hesabu za wapi hizi.
Au mexico katwaa na kuvikalia kimabavu hata vitongoji viwili vya marekani,huku marekani akiyatwaa na kuyakalia kimabavu majimbo mawili ya mexico.,unafikir kwa ulimwengu wa Sasa kihualisia ni nani ataonekana shujaa na kalamba karata dume..,nani ataonekana kadhalilika.,hii linganisha na Jinsi Israel inavyobadilisha mateka wake Mmoja kwa mateka 100 wa kipalestna..,ndio mchezo unaochezwa hapa mkuu kama huelewi😁sasa shida ni maeneo yake nayo Russia anazidi kuchukua sijui hesabu za wapi hizi.
Hapo ndio umemaliza kufikiri na kuwaza jombaImagine nchi Burundi inateka Jimbo Moja nchini marekani huku marekani ikiteka hata majimbo 10 ya Burundi., unafikir ni nani ataonekana dhaifu.., according to scope.,
Naendelea kufafanua, ,pro Russia Huwa wanatunanga mara nyingi kwamba during prisoner swap, urusi Huwa inatoa wafungwa wengi wa Ukraine huku Ukraine ikiipa urusi wafungwa wachache tu wakiona kwamba askari wa Ukraine ni kama hawana thamani.,wakishindwa kutambua kwamba hivi ndivyo uhalisia unavyotakiwa kuwa., huwezi kuilinganisha thamani ya urusi na Ukraine duniani na ukaiweka katka mizania sawa.., never.,sasa shida ni maeneo yake nayo Russia anazidi kuchukua sijui hesabu za wapi hizi.
Sjamaliza mkuu,bado naendelea kuwajibuHapo ndio umemaliza kufikiri na kuwaza jomba
Nachokukubali kipanya hata Pro russia waje 100 unawatoa nduki na hii ni tangu vita ianze.Hii kazi umeifanya kwa miaka yote. Pro russia wa mwanzoni naona wameshakimbia uzi.![]()
Russian troops reportedly leave Burkina Faso due to Kursk incursion
A Russian private military company with links to Russia's Defense Ministry is withdrawing from Burkina Faso due to Ukraine's incursion into Kursk Oblast, French newspaper Le Monde reported on Aug. 29.kyivindependent.com
A Russian private military company with links to Russia's Defense Ministry is withdrawing from Burkina Faso due to Ukraine's incursion into Kursk Oblast, French newspaper Le Monde reported on Aug. 29.