LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukrainian soldiers are using so-called "dragon drones" against Russia, that rain fire down on the battlefield, Ukraine's Defense Ministry confirmed on Sept. 4.
 
Swedish FM Billstrom resigns after Russian Iskander visited Poltava.
Rumors are that Sweden lost the ENTIRE top management of SAAB Airborne Early Warning & Control (AEW&C) systems.
15 trucks evacuated dead foreign NATO troops +officers: 600+ dead/wounded
 
Kwa hiyo Urusi na china hawaruhusiwi kufanya biashara?
Hiyo inawezekana ilikua ni biashara Yao tokea zamani kabla hata ya smo.
Je Ukraine na NATO wanafanya biashara ya silaha?
Je biashara baina ya NATO na Ukraine ilikuwepo kabla ya smo?
China akiwa amejipambanua kama neutral ktk mgogoro huo, anakana kuuza chochote kinachohimarisha jeshi la Russia.
Hivyo biashara hiyo inafanywa kwa SIRI.
 
Swedish FM Billstrom resigns after Russian Iskander visited Poltava.
Rumors are that Sweden lost the ENTIRE top management of SAAB Airborne Early Warning & Control (AEW&C) systems.
15 trucks evacuated dead foreign NATO troops +officers: 600+ dead/wounded
KAMA UMEWAHI kuona mtu kashikwa kende basi mashoga pale poltava yalishikwa kende Sweden nzima ni msiba wanalia kama kenge maji .
Mtu akudanganya ooh waliokufa ni 51..Kambi ya Jeshi ina watu 50???? Hiyo ni Platoon Moja tu na Platoon Commander sasa wao wamejenga kambi inatrain platoon moja hata sio combania moja Hiyo ni kambi ya mgambo labda.
 
Kwa hizi siku mbili Ukraine ni kama kuna msiba - hata BBC inaonekana wana huzuni sana - kipigo cha Poltava kimewashtua watu juu ya hatari wanayochezea..na hapo zumetumika Iskander mbili tu.
West wameshtuka ni kama wanachezea sharubu za simba..Sweden huko kuna msiba mzito mpaka mtu kang'atuka.
Ukraine hawaamini kilichotokea - na mbaya zaidi makombora yameendelea kuvurumushwa miji mingine e.g.Kiev na Odessa.
Kule Donbass vijiji na miji inazidi kupotea..kwa spidi ambayo hata Urusi wanashangaa.
Watu vocal na waliochangia hii vita ya kijinga kupiganwa mtu kama KULEBA eti anatangaza kujiudhuru - anaenda zake US au Germany huko kula pension baada ya kusababisha mauaji ya watu wake wengi.
Hivi hawa wazungu walitutawalaje - mbona hawana akili, na wana ujinga mwingi - wao ndo wanaandika statistics...na wametufundisha kupitia western education tufanye maamuzi kwa kutegemea na statistics - SASA hivi kweli walitarajia UKRAINE ampige URUSI kweli??? Kweli kabisa...kwa hesabu zipi?? Hivi kweli ushinde vita kwa kutembeza bakuli wakati mwenzako anatengeneza mwenyewe??
Kingine et wanashauriana waingie Kursk..then so what??? Matokeo yake watu wao wazuri wamekufa bila sababu za msingi...hivi kweli unaweza ukaamuru military operation just for funny na kujaribu kushawishi watu??? Hivi ile Kurst ilivyo steppe vile kama uwanja wa mpira walitarajia wataenda mpaka wapi???
Hivi aisee hawa wazungu wana-jielewa kweli au wanafanya maamuzi kwa hisia????

Haya Sweden kaonja moto - kashtuka - naona alikua anahisi watu wanatania, Poland drones na makombora yaliishamfanyia harassment, akastuka, Romania aliguswa huyu akaelewa kidogo maana ya vita na nani wanapigana naye..
USA kwenye hii vita imejitahidi kutuliza fuvu, ingawa wanatoa pesa, lkn unaona wanajitahidi kucalculate risks na wakati mwingine wanawashauri Ukraine kutuliza akili.
Baadhi ya nchi za Ulaya ndo kama machizi vile - kula hivi vibaltic states- Estonia,Lativia, Lituania..vinachochea moto balaa havijua vinavhokitafuta, mwingine ni Uingereza huyu ndo alisababisha hii vita ikaendelea Boris alikataa mapendekezo ya amani akaishawishi Ukraine ipigane...miaka mingi warussi wamekua wakisema wanahitaji just 2 missiles kuzamisha visiwa hivyo na Uingereza ikafutika..lkn ni kama hawaelewi.
Najaribu kuwaza:
1. Zelensky ni agent wa Urusi - kwanza kakaa sana Moscow huyu..wanamtumia kuimaliza Ukraine.Hesabu zake hata mtoto mdogo hawezi chukua hizo risks
2.Boris Johnson ni agent huyu naye - kwanza hilo jina tu..Boris....huwezi ukawa na akili timamu ukalazimisha Ukraine ipigane na Urusi.
Biden huu msala hayumo tutamuonea tu..wakati vita vilianza Biden alimpa hifadhi Zelensky...na angeondoka vita ingekoma..
WAZUNGU WANAFANYA MAAMUZI KWA DATA KWELI AU WANATUMIA HISIA??
 
Tobias Billstrom, who oversaw Sweden’s accession to NATO, has announced his resignation as foreign minister and retirement from politics, offering no reason for the move.

Billstrom, 50, was first elected to the Swedish parliament in 2002 and was appointed foreign minister in 2022.
===
Kipigo cha juzi hakijaacha mtu salama. Shockwave mpaka Sweden
 
kp kipanya44 upo?? Meza ukweli hata kama mchungu! Ni wamagharibi hawa halafu wanaaminika!

Why Ukraine’s Kursk offensive has failed to distract Russia from Donbas push​

Russian troops are inching ever close to Ukraine’s eastern city of Pokrovsk, a vital logistical hub for Kyiv’s outgunned and outnumbered forces, leading some analysts to question the wisdom of a Ukrainian lightning offensive on Russian soil that was intended to distract Moscow from its Donbas push.

Moscow’s troops have moved to within 10 kilometres of the strategic city, the UK’s military intelligence reported on Monday as Ukraine’s President Volodymyr Zelensky conceded that the situation on the ground was “difficult”.

Issued on: 04/09/2024 - 18:34

Kwa hizi siku mbili Ukraine ni kama kuna msiba - hata BBC inaonekana wana huzuni sana - kipigo cha Poltava kimewashtua watu juu ya hatari wanayochezea..na hapo zumetumika Iskander mbili tu.
West wameshtuka ni kama wanachezea sharubu za simba..Sweden huko kuna msiba mzito mpaka mtu kang'atuka.
Ukraine hawaamini kilichotokea - na mbaya zaidi makombora yameendelea kuvurumushwa miji mingine e.g.Kiev na Odessa.
Kule Donbass vijiji na miji inazidi kupotea..kwa spidi ambayo hata Urusi wanashangaa.
Watu vocal na waliochangia hii vita ya kijinga kupiganwa mtu kama KULEBA eti anatangaza kujiudhuru - anaenda zake US au Germany huko kula pension baada ya kusababisha mauaji ya watu wake wengi.
Hivi hawa wazungu walitutawalaje - mbona hawana akili, na wana ujinga mwingi - wao ndo wanaandika statistics...na wametufundisha kupitia western education tufanye maamuzi kwa kutegemea na statistics - SASA hivi kweli walitarajia UKRAINE ampige URUSI kweli??? Kweli kabisa...kwa hesabu zipi?? Hivi kweli ushinde vita kwa kutembeza bakuli wakati mwenzako anatengeneza mwenyewe??
Kingine et wanashauriana waingie Kursk..then so what??? Matokeo yake watu wao wazuri wamekufa bila sababu za msingi...hivi kweli unaweza ukaamuru military operation just for funny na kujaribu kushawishi watu??? Hivi ile Kurst ilivyo steppe vile kama uwanja wa mpira walitarajia wataenda mpaka wapi???
Hivi aisee hawa wazungu wana-jielewa kweli au wanafanya maamuzi kwa hisia????

Haya Sweden kaonja moto - kashtuka - naona alikua anahisi watu wanatania, Poland drones na makombora yaliishamfanyia harassment, akastuka, Romania aliguswa huyu akaelewa kidogo maana ya vita na nani wanapigana naye..
USA kwenye hii vita imejitahidi kutuliza fuvu, ingawa wanatoa pesa, lkn unaona wanajitahidi kucalculate risks na wakati mwingine wanawashauri Ukraine kutuliza akili.
Baadhi ya nchi za Ulaya ndo kama machizi vile - kula hivi vibaltic states- Estonia,Lativia, Lituania..vinachochea moto balaa havijua vinavhokitafuta, mwingine ni Uingereza huyu ndo alisababisha hii vita ikaendelea Boris alikataa mapendekezo ya amani akaishawishi Ukraine ipigane...miaka mingi warussi wamekua wakisema wanahitaji just 2 missiles kuzamisha visiwa hivyo na Uingereza ikafutika..lkn ni kama hawaelewi.
Najaribu kuwaza:
1. Zelensky ni agent wa Urusi - kwanza kakaa sana Moscow huyu..wanamtumia kuimaliza Ukraine.Hesabu zake hata mtoto mdogo hawezi chukua hizo risks
2.Boris Johnson ni agent huyu naye - kwanza hilo jina tu..Boris....huwezi ukawa na akili timamu ukalazimisha Ukraine ipigane na Urusi.
Biden huu msala hayumo tutamuonea tu..wakati vita vilianza Biden alimpa hifadhi Zelensky...na angeondoka vita ingekoma..
WAZUNGU WANAFANYA MAAMUZI KWA DATA KWELI AU WANATUMIA HISIA??
Yaani iskander mbili tu mwamba kaua watu wengi hivo
Afu anasema bado hajaanza vita...!
 
Najua wewe hua ni mbishi wa kukubali ukweli.
Iko hivi,kwa mujibu wa uliemjibu ni kwamba.
"Ukraine anapata misaada kutoka west inayowekwa hadharani na misaada mingine inatolewa kwa Siri."

Sasa wewe Kwa kupenda kwako ubishi unasema hata Urusi nae anapewa misaada kwa Siri.
Sawa.
Kwa hiyo bado hoja inabali pale pale kua, Ukraine inapewa misaada kwa uwazi na usiri.
Lakini hakuna ushahidi kwa Urusi kua anapewa misaada kwa uwazi,hadharani ama inayojulikana.

Sasa Mimi nakuambia hivi,

sijawahi kuona ama kusoma ama kuisikia popote pamefanyika mikutano ya ama wakuu wa kijeshi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadili kuisaidia Urusi kwa pamoja kama wanavyokaa wakuu wa kijeshi wa NATO na west wakijadili kuisaidia Ukraine Kwa silaha, fedha na maarifa.

Pia sijaona wala kusoma wala kusikia wakuu wa nchi,au mawaziri wa nje,au wa ulinzi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadilia kuisaidia Urusi kama wanavyokaa wakuu wa nchi za NATO na west,G7,EU n.k kujadili kuisaidia Ukraine.kwa silaha,fedha na maarifa.

Sijawahi kusoma wala kusikia wala kuona nchi nyingi kwa pamoja zikihimizana kupeleka michango ya fedha ama silaha ama kuiwekea na kuiongezea vikwazo Ukraine kama wanavyofanya kwa Urusi.

Sijawahi kuona ama kusikia ama kusoma nchi zikiiwekea vikwazo ama kuitenga Ukraine kama inavyowekewa na kutengwa Urusi.

Kwa hiyo, hizo ndizo tofauti za misaada anayopewa Ukraine na kile ambacho wewe unasema kua Urusi nae anapewa misaada.

Najua utazungumzia drone za Iran,
Je hizi dron zilikua ni misaada ama Iran ilitaka kujaribu drone zake?
ama Iran ilifanya biashara na Urusi?

Mimi sijui,
je Kwa wakati Iran inatoa dron hizo Urusi ilikua Ina uhitaji wa dron hizo?

Au Urusi haikua na dron kabisa?

Je Urusi ilikua imezidiwq halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?

Ama Urusi ilikua inasonga mbele halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?

Je unaweza kulinganisha au kufananisha drone za Iran alizompa Urusi (kama misaada),dhidi na silaha,fedha, intelligence,ushauri,vikwazo kwa Urusi,masanaries,mafunzo na misaada mingine yote anazopewa Ukraine na NATO west toka vita ianze?
Naomba tuwe wakweli.
Umempa jibu linalompasa alifahamu
Asipoelewa na hapo atakuwa sio binadamu
Wa kawaida
 
Back
Top Bottom