Microelectronics ni vipuri vitumikavyo ktk kutengeneza silaha.Kwanza ili tuelewane naomba unifahamishe "Macroelectronics" ni silaha ya aina Gani,Ni silaha au sio silaha?
Kisha tuendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Microelectronics ni vipuri vitumikavyo ktk kutengeneza silaha.Kwanza ili tuelewane naomba unifahamishe "Macroelectronics" ni silaha ya aina Gani,Ni silaha au sio silaha?
Kisha tuendelee.
unataka kiongozi wa viwango vya Vladimir Putin atumie lugha ya aina gani uweze kumwelewa. Mbona mambo yapo wazi tu, eeh.Jamani eeeeeh! Nyani katema bungo huko, mwanzoni alibana mwishowe kaachia😎😍🤩View attachment 3087736
Mbona mwanzoni mwa operation ya Ukraine huko Kursk alisema hawezi Tena kuzungumza na Ukraine!? Au tuseme zilikuwa hasira, sio?unataka kiongozi wa viwango vya Vladimir Putin atumie lugha ya aina gani uweze kumwelewa. Mbona mambo yapo wazi tu, eeh.
hIzo ni lugha a kidiplomasia. Lakini huko field iskander na kinzhla zinadobdoka kama kawa...box tupu wewe.
Ukweli unabaki wazi kwamba mwanzoni mwa operation ya Kursk urusi alipanick,akasema hawezi Tena kukaa kwenye meza ya mazungumzo na Ukraine .,Leo wameona kipondo Cha vijana wakakamavu wa rais zelensiky kinazidi kuwakolea ndio akili zinaanza kuwarudia taratibu!Wewe kirat kwa hali ya kawaida unafikiri ni nchi gani inaweza kuwaita hawa jamaa kwenye meza ya mazungumzo? Nchi kubwa za ulaya isipokuwa Uturuki zipo upande wa Ukraine. China, Brazil, na India ndio zinaonekana zipo neutral kwenye huu mzozo. Lakini pia ni washirika wakubwa wa Russia kiuchumi na biashara. Pia ni member waanzilishi wa inayoitwa BRICS. Moja kwa moja Russia anawaamini.
Wakati mwingine uwe unajaribu kuelewa hata mantiki. Kunguru wewe
Tena ni kunguru pori ....Wewe kirat kwa hali ya kawaida unafikiri ni nchi gani inaweza kuwaita hawa jamaa kwenye meza ya mazungumzo? Nchi kubwa za ulaya isipokuwa Uturuki zipo upande wa Ukraine. China, Brazil, na India ndio zinaonekana zipo neutral kwenye huu mzozo. Lakini pia ni washirika wakubwa wa Russia kiuchumi na biashara. Pia ni member waanzilishi wa inayoitwa BRICS. Moja kwa moja Russia anawaamini.
Wakati mwingine uwe unajaribu kuelewa hata mantiki. Kunguru wewe
Box la takataka kabisa....unataka kiongozi wa viwango vya Vladimir Putin atumie lugha ya aina gani uweze kumwelewa. Mbona mambo yapo wazi tu, eeh.
hIzo ni lugha a kidiplomasia. Lakini huko field iskander na kinzhla zinadobdoka kama kawa...box tupu wewe.
Trump aliwaambia kina Biden kuwa Russia is a war machine, wamekaza shingo hawataki kusikia.Jamani mkatazeni Putin mbona atawamaliza hawa mashoga?? Kipigo kinachotembezwa hizi week 3 tangu wakuda waingie Kursk ni cha hatari mnoo yaani hatari kubwaa..
Microelectronics ni vipuri vitumikavyo ktk kutengeneza silaha.
President volodymur Zelensky said in an interview. Do you trust this guy dude Mr kp kipanya44. According to Russian general, the Kursk war will be over shortly, all NATO and USA soldiers will be killedRussia has pulled over 60,000 troops to Kursk Oblast to face Ukraine's ongoing incursion as of early September, President Volodymyr Zelensky said in an interview with NBC News published on Sept. 3.
Naona unataka kujisahaulisha! Umeulizwa satellite hambazo kila siku mnadai mataifa ya magharibi yanaisaidia Ukraine ni silaha au sio silaha..,jibu utakalopata unganisha na hayo maaelezo yakoSafi sana,hapa ndipo nilikua napataka.
Kwa hiyo macroelectronics sio silaha Bali ni vipuri vya kutengenezea silaha.
Kwa hiyo Urusi kuagiza vipuri au malighafi nje kwa ajili ya kuzalisha silaha zake mwenyewe kwa ajili ya kujilinda ni haramu?
hairuhusiwi?
Kwa maana hiyo Urusi Wana teknolojia ya kutengeneza silaha, lakini baadhi ya parts Wananunua kutoka nje, je hapo Kuna ubaya Gani?
Ikumbukwe kwamba,
Hata USA Kuna baadhi ya parts za kutengeneza silaha au bidhaa nyingine Wananunua kutoka nje ya nchi Yao ikiwemo Urusi.
Hata hivyo tunaendelea kujiuliza je hizo macroeconomics wameanza kuziagiza kabla ya smo au kipindi Cha smo?
Kama ni kipindi Cha smo, je kabla ya smo Urusi haikua na silaha yoyote?
Kama Urusi ilikua mteja wa china toka zamani hata kabla ya smo je kosa la Urusi hapo ni lipi?
Au mlitaka iache kununua vipuri kutoka (nje)china na isiwe kabisa na silaha zake ili mpigane nayo nyinyi mkiwa na silaha za kisasa,halafu Urusi ikipigana kwa kutumia fimbo na mapanga TU?
Nadhani unafahamu kua USA ananunua kutoka Urusi baadhi ya malighafi zitokanazo na urani(nyukilia) kwa ajili ya bidha zake.
Na pia najua unafahamu kua USA alikua ananunua engine za kurusha vyombo vya kwenda anga za juu kutoka Urusi.sijui kama ameshaacha.
Kwa kifupi macroelectronics sio msaada wa silaha kutoka china,Bali ni malighafi (vipuri) kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Kumbuka silaha zinatumika zinaisha hivyo stock ya silaha inatakiwa kuwa replenished.
Huwezi ukafananisha na misaada ya silaha anayopewa Ukraine,ukilinganisha na biashara ya kuuziana "macroelectronics" anazonunua Urusi kutoka china.
Nadhani wewe mwenyewe umejionea Jana wakufunzi kutoka Sweden, Norway na NATO waliuliwa wakiwa wanafundisha waukraine kupigana na Urusi,
lakini sidhani kama Kuna wakufunzi wowote kutoka sayari yoyote wanawafundisha wanajeshi wa Urusi kupigana na NATO.
Sidhani.
Wazee wa operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo naona mmepanickBox la takataka kabisa....
Soma tena, micro na macro ni sawa??Microelectronics ni vipuri vitumikavyo ktk kutengeneza silaha.
Ndugu maonihuru, post yangu yangu no. 141,425 ulinielewa?. Tafadhali nikusihi uilejee.Safi sana,hapa ndipo nilikua napataka.
Kwa hiyo macroelectronics sio silaha Bali ni vipuri vya kutengenezea silaha.
Kwa hiyo Urusi kuagiza vipuri au malighafi nje kwa ajili ya kuzalisha silaha zake mwenyewe kwa ajili ya kujilinda ni haramu?
hairuhusiwi?
Kwa maana hiyo Urusi Wana teknolojia ya kutengeneza silaha, lakini baadhi ya parts Wananunua kutoka nje, je hapo Kuna ubaya Gani?
Ikumbukwe kwamba,
Hata USA Kuna baadhi ya parts za kutengeneza silaha au bidhaa nyingine Wananunua kutoka nje ya nchi Yao ikiwemo Urusi.
Hata hivyo tunaendelea kujiuliza je hizo macroeconomics wameanza kuziagiza kabla ya smo au kipindi Cha smo?
Kama ni kipindi Cha smo, je kabla ya smo Urusi haikua na silaha yoyote?
Kama Urusi ilikua mteja wa china toka zamani hata kabla ya smo je kosa la Urusi hapo ni lipi?
Au mlitaka iache kununua vipuri kutoka (nje)china na isiwe kabisa na silaha zake ili mpigane nayo nyinyi mkiwa na silaha za kisasa,halafu Urusi ikipigana kwa kutumia fimbo na mapanga TU?
Nadhani unafahamu kua USA ananunua kutoka Urusi baadhi ya malighafi zitokanazo na urani(nyukilia) kwa ajili ya bidha zake.
Na pia najua unafahamu kua USA alikua ananunua engine za kurusha vyombo vya kwenda anga za juu kutoka Urusi.sijui kama ameshaacha.
Kwa kifupi macroelectronics sio msaada wa silaha kutoka china,Bali ni malighafi (vipuri) kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Kumbuka silaha zinatumika zinaisha hivyo stock ya silaha inatakiwa kuwa replenished.
Huwezi ukafananisha na misaada ya silaha anayopewa Ukraine,ukilinganisha na biashara ya kuuziana "macroelectronics" anazonunua Urusi kutoka china.
Nadhani wewe mwenyewe umejionea Jana wakufunzi kutoka Sweden, Norway na NATO waliuliwa wakiwa wanafundisha waukraine kupigana na Urusi,
lakini sidhani kama Kuna wakufunzi wowote kutoka sayari yoyote wanawafundisha wanajeshi wa Urusi kupigana na NATO.
Sidhani.
Safi sana,hapa ndipo nilikua napataka.

Huwezi ukafananish
Huyo jamaa na Kipanya44 hawawezi kukuelewa wamekaza mifuvu yaoSafi sana,hapa ndipo nilikua napataka.

Yaani leo nakunywa 🍷 raha mustarehe.Iskander ni kisanga mjomba
Haujasikia terms mpya za mazungumzo?Nyani katema bung'o