LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20240911-085939.png
 
Usiwe na wasiwasi Russia bado yupo kwenye SMO na lengo kuu la vita ni kuchukua Donbas yote.

Vita ni mipango na stratejia.

Fuatilia updates.
Aah wapi yani Uganda ivamie Kagera alafu sisi tuite SMO, hiyo ni vita kamili urusi anapigana kaka, kule Donbass anafanya vizurii kuchukuwa maeneo lakini kitendo tu Cha Ukraine kuivamia Urusi na kuhimili vita zaidi ya mwezi maana yake Urusi Bado ina kazi kubwa
 
Such a bold move, the effects of war should be felt by both parties.
But why are you ignoring Russias' concerns.So you believe the US and its' allies have the right to do anything they want even if it is illegitimate?This is pure demonic behaviour.By the way knowing who you are and your affiliation,your comment does not come as a surprise to me.
 
Tutegemee vita kuu ya tatu ya dunia kama UK, USA, France wataruhusu Ukraine kutumia long range missile. UK inaweza futika na kuzamishwa. Hawa USA wanaitafuta Russia muda mrefu hali inaweza kuwa mbaya sana uko mbeleni. Ukraine lilikuwa lango la kuingilia kwenye vita. Russia+ China+ Iran V's NATO+ USA hapo lazima dunia igeuke majivu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240910-185726.png
    Screenshot_20240910-185726.png
    268.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240910-185843.png
    Screenshot_20240910-185843.png
    223 KB · Views: 3
Tutegemee vita kuu ya tatu ya dunia kama UK, USA, France wataruhusu Ukraine kutumia long range missile. UK inaweza futika na kuzamishwa. Hawa USA wanaitafuta Russia muda mrefu hali inaweza kuwa mbaya sana uko mbeleni. Ukraine lilikuwa lango la kuingilia kwenye vita. Russia+ China+ Iran V's NATO+ USA hapo lazima dunia igeuke majivu.
UK haiwezi futika kama hivyo unavyoandika hapa, kumbuka nalo ni taifa la nuclear kama ilivyo Urusi
 
Attachments

  • Screenshot_20240911-101018.png
    Screenshot_20240911-101018.png
    704.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240911-101032.png
    Screenshot_20240911-101032.png
    269.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240911-101524.png
    Screenshot_20240911-101524.png
    630.8 KB · Views: 1
But why are you ignoring Russias' concerns.So you believe the US and its' allies has the right to do anything they want even if it is illegitimate?This is pure demonic behaviour.By the way knowing who you are and your affiliation,your comment does not surprise me.
You got it warped. At the height of his pride, Putin started this useless war thinking the path to victory would like in the former encounters. Now he is realizing his madness, Moscow should be target of long range missiles in order to balance the scores.
 
Aah wapi yani Uganda ivamie Kagera alafu sisi tuite SMO, hiyo ni vita kamili urusi anapigana kaka, kule Donbass anafanya vizurii kuchukuwa maeneo lakini kitendo tu Cha Ukraine kuivamia Urusi na kuhimili vita zaidi ya mwezi maana yake Urusi Bado ina kazi kubwa
Ramzan na vikosi vya Chechen ndo wamepewa Kursk waishughulikie na hadi sasa kamanda wa majeshi ya Russia meja jenerali Apti Alaudinov, amesema maeneo zaidi ya 10 huko Kursk yameishakombolewa na Russia.

Russia wenyewe yaani majeshi ya Russia yapo yaitafuta Pokrovsk na kama nilivyosema huko nyuma, lengo ni kuchukua Donbas yote.
 
Updates: Msemaji wa serikali Peskov ametoka kuongea kutokea Kremlin, asema Russia itajibu mashambulizi yoyote yatayofanywa na Ukraine ndani ya Russia.

Hiyo ni baada ya Ukraine kuruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya kijeshi ndani ya shirikisho la Russia.

Makombora hayo yanojulikana kama ATACMS- Army Tactical Missile Systems (ATACMS) yana uwezo wa kusafiri umbali wa maili 180 na mara ya mwisho kupelekwa Ukraine na Marekani ilikuwa ni mwaka jana mwezi December.
 
Updates: Msemaji wa serikali Peskov ametoka kuongea kutokea Kremlin, asema Russia itajibu mashambulizi yoyote yatayofanywa na Ukraine ndani ya Russia.

Hiyo ni baada ya Ukraine kuruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya kijeshi ndani ya shirikisho la Russia.
Mbona katoa statement nyepesi sana,kwani siku zote Russia ilikuwa haijibu kipondo inachopokea kutoka kwa waukrain kwenye ardhi yake!?
 
Mbona katoa statement nyepesi sana,kwani siku zote Russia ilikuwa haijibu kipondo inachopokea kutoka kwa waukrain kwenye ardhi yake!?
Amesema kwamba Marekani yaonekana ilikwishaamua kuruhusu makombora hayo yatumike kitambo.

Kwa wafuatiliaji wa vita hii twaona kwamba NATO/ Marekani wameona kwamba Donbas yaanza kuchukuliwa mazima ndani ya wiki zijazo na Russia na pia Russia kaanza pia operesheni ya kuwaondoa Ukraine huko Kursk yaani wapiga ndege wawili kwa jiwe moja, ingwa kule Kursk ni vikosi vya Chechen ndo vipo pale kwasabau ni karibu na Chechnya.

Hivyo uamuzi huu wa sasa kwamba wanatuhusu ATCMS zitumuke ni uamuzi ulokwishapitishwa khasa na wabunge wa chama cha Democrats ambao wameshinikiza raisi Biden aruhusu silaha hizo kutumika maana Ukraine yaelekea kushindwa vita hii muda si mrefu.
 
Urusi Bado ina nguvu kubwa za kijeshi Wala sio nchi ya kuidharau hata kidogo, inaweza kutumia nuclear na nchi za magharibi zikaishia kuweka vikwazo vikali tu.
Akitumia nyuklia Ina maana anamaliza hii vita Kwa kuitiisha na kuifanya Ukraine kussurender, unafikir huo uwezekano ungekuwepo angekubali kuendelea kuingia ghalama yote hii kufadhir hii vita? Kama urusi hajatumia nyuklia kwa kuogopa vikwazo vikali basi itakuwa ni ajabu sana.., alafu usisahau kwamba marekani na washirika wake walishaweka wazi msimamao wao kama urusi atathubutu kufanya huo uendawazimu..,soma ho link kama hutojar

Back
Top Bottom