permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Air defence zilikua zimelala.Naangalia Aljazeera hapa naona Kuna milipuko Moscow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Air defence zilikua zimelala.Naangalia Aljazeera hapa naona Kuna milipuko Moscow
Aah wapi yani Uganda ivamie Kagera alafu sisi tuite SMO, hiyo ni vita kamili urusi anapigana kaka, kule Donbass anafanya vizurii kuchukuwa maeneo lakini kitendo tu Cha Ukraine kuivamia Urusi na kuhimili vita zaidi ya mwezi maana yake Urusi Bado ina kazi kubwaUsiwe na wasiwasi Russia bado yupo kwenye SMO na lengo kuu la vita ni kuchukua Donbas yote.
Vita ni mipango na stratejia.
Fuatilia updates.
Aah wapi yani Uganda ivamie Kagera alafu sisi tuite SMO, hiyo ni vita kamili urusi anapigana kaka, kule Donbass anafanya vizurii kuchukuwa maeneo lakini kitendo tu Cha Ukraine kuivamia Urusi na kuhimili vita zaidi ya mwezi maana yake Urusi Bado ina kazi kubwaUsiwe na wasiwasi Russia bado yupo kwenye SMO na lengo kuu la vita ni kuchukua Donbas yote.
Vita ni mipango na stratejia.
Fuatilia updates.
Urusi Bado ina nguvu kubwa za kijeshi Wala sio nchi ya kuidharau hata kidogo, inaweza kutumia nuclear na nchi za magharibi zikaishia kuweka vikwazo vikali tu.Putin Hana namna ndio maana anaomba mambo yaishe kwa Sasa View attachment 3092746View attachment 3092746
But why are you ignoring Russias' concerns.So you believe the US and its' allies have the right to do anything they want even if it is illegitimate?This is pure demonic behaviour.By the way knowing who you are and your affiliation,your comment does not come as a surprise to me.Such a bold move, the effects of war should be felt by both parties.
UK haiwezi futika kama hivyo unavyoandika hapa, kumbuka nalo ni taifa la nuclear kama ilivyo UrusiTutegemee vita kuu ya tatu ya dunia kama UK, USA, France wataruhusu Ukraine kutumia long range missile. UK inaweza futika na kuzamishwa. Hawa USA wanaitafuta Russia muda mrefu hali inaweza kuwa mbaya sana uko mbeleni. Ukraine lilikuwa lango la kuingilia kwenye vita. Russia+ China+ Iran V's NATO+ USA hapo lazima dunia igeuke majivu.
UK is a nuclear country yes,lakini haina as many nuclear warheads.In fact hata US hawana as many nuclear warheads as Russia.UK haiwezi futika kama hivyo unavyoandika hapa, kumbuka nalo ni taifa la nuclear kama ilivyo Urusi
Kuna jambo linakuja punde pindi storm shadow, ATACMS zitakaporuhusiwa kuipiga Moscow.
Ni jambo Gani tusubiri na kuona
You got it warped. At the height of his pride, Putin started this useless war thinking the path to victory would like in the former encounters. Now he is realizing his madness, Moscow should be target of long range missiles in order to balance the scores.But why are you ignoring Russias' concerns.So you believe the US and its' allies has the right to do anything they want even if it is illegitimate?This is pure demonic behaviour.By the way knowing who you are and your affiliation,your comment does not surprise me.
ungenielewa kwnaza. Nimesema alibet vibaya. Pengine yeye alidhani atawahi kuvimaliza tofauti na matarajio yalivyo sasa.hakuna vita isiyo na gharama
Ramzan na vikosi vya Chechen ndo wamepewa Kursk waishughulikie na hadi sasa kamanda wa majeshi ya Russia meja jenerali Apti Alaudinov, amesema maeneo zaidi ya 10 huko Kursk yameishakombolewa na Russia.Aah wapi yani Uganda ivamie Kagera alafu sisi tuite SMO, hiyo ni vita kamili urusi anapigana kaka, kule Donbass anafanya vizurii kuchukuwa maeneo lakini kitendo tu Cha Ukraine kuivamia Urusi na kuhimili vita zaidi ya mwezi maana yake Urusi Bado ina kazi kubwa
Mbona katoa statement nyepesi sana,kwani siku zote Russia ilikuwa haijibu kipondo inachopokea kutoka kwa waukrain kwenye ardhi yake!?Updates: Msemaji wa serikali Peskov ametoka kuongea kutokea Kremlin, asema Russia itajibu mashambulizi yoyote yatayofanywa na Ukraine ndani ya Russia.
Hiyo ni baada ya Ukraine kuruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya kijeshi ndani ya shirikisho la Russia.
Amesema kwamba Marekani yaonekana ilikwishaamua kuruhusu makombora hayo yatumike kitambo.Mbona katoa statement nyepesi sana,kwani siku zote Russia ilikuwa haijibu kipondo inachopokea kutoka kwa waukrain kwenye ardhi yake!?
Akitumia nyuklia Ina maana anamaliza hii vita Kwa kuitiisha na kuifanya Ukraine kussurender, unafikir huo uwezekano ungekuwepo angekubali kuendelea kuingia ghalama yote hii kufadhir hii vita? Kama urusi hajatumia nyuklia kwa kuogopa vikwazo vikali basi itakuwa ni ajabu sana.., alafu usisahau kwamba marekani na washirika wake walishaweka wazi msimamao wao kama urusi atathubutu kufanya huo uendawazimu..,soma ho link kama hutojarUrusi Bado ina nguvu kubwa za kijeshi Wala sio nchi ya kuidharau hata kidogo, inaweza kutumia nuclear na nchi za magharibi zikaishia kuweka vikwazo vikali tu.
Hahitaji nuclear war heads nyingi, alizonazo UK pekee zinatosha kuifuta Urusi na zikabaki nyingi tu.UK is a nuclear country yes,lakini halina as many nuclear warheads.In fact hata US hawana as many nuclear warheads as Russia.