LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi Bado ina nguvu kubwa za kijeshi Wala sio nchi ya kuidharau hata kidogo, inaweza kutumia nuclear na nchi za magharibi zikaishia kuweka vikwazo vikali tu.
Jambo ambalo Russia watalifanya ni kwamba Ukraine akitumia hizo ATCMS, basi tusije kushangaa miji kama Kiev umesambaratishwa kwa mabomu yenye nguvu zaidi na kufanywa majivu.
 
Kina Kipanya nyie endeleeni kuimba taarabu, huku wenzenu wanafanya kweli🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

🚨🇷🇺🚨Kursk region.
Our troops advanced south of Korenevo.
Everything here is sad for the Ukrainian.
The meat grinder works.
17 km² liberated🚨🇷🇺🚨

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥View attachment 3092759
DON'T BELIEVE RUSSIAN PROPAGANDA- Last night, the Russians broke up another victory celebration, declaring that in the Kursk region they had overturned the entire front and liberated almost half of the territories under the control of the Armed Forces. All of this is false. The Armed Forces of Ukraine detected a very large column that managed to advance from the side of the village of Korenevo towards Snagosti and even entered the village. There are heavy battles and the advance of the orcs has been stopped.
1726052098978.jpg
 
Ukrainian-made Black Widow unmanned aerial vehicle has been approved for military use, the Defense Ministry said on Sept. 11.

The news comes as Kyiv aims to scale up domestic production of unmanned aerial vehicles, planning to produce at least 1 million drones in 2024.
 
Ramzan na vikosi vya Chechen ndo wamepewa Kursk waishughulikie na hadi sasa kamanda wa majeshi ya Russia meja jenerali Apti Alaudinov, amesema maeneo zaidi ya 10 huko Kursk yameishakombolewa na Russia.

Russia wenyewe yaani majeshi ya Russia yapo yaitafuta Pokrovsk na kama nilivyosema huko nyuma, lengo ni kuchukua Donbas yote.
Chenchen Bado haiwezi kuhimili vita na Ukraine hapa tusidanganyane, yani hicho kikosi hakifikishi hata wapiganaji 50000 ndio kije kuhimili vita na nchi? Hili ni jeshi la urusi linapigana na wanaokufa Wana sare jeshi la urusi, Hapa Putin anatakiwa apige kama netanyahu kule gaza, tofauti na hapo Bado Putin katuangusha sanaa
 
Turkish President Erdoğan stated that Crimea must be returned to Ukraine and reaffirmed Turkey's support for Ukraine's sovereignty and territorial integrity in line with international law. In a video address to the Crimea Platform, he expressed Turkey's sincere desire for the war to end with a just and lasting peace based on Ukraine's territorial integrity, sovereignty, and independence.
1726054960849.jpg
 
Kama wewe ni mfuatiliaji Putin alipokwenda Chechnya mwezi August, Ramzan alimwambia ana vikosi vya wapiganaji wangapi?
 
Kumbe lile lilikuwa trela??

Russia begins 'significant counteroffensive' after Ukrainian incursion​

Moscow's forces have begun a significant counteroffensive against Ukrainian troops and have reclaimed territory in the region.

"The situation is good for us," Major General Apti Alaudinov, who leads Chechnya's Akhmat special forces who are fighting in Kursk, said.

"A total of about 10 settlements in the Kursk region have been liberated."

Jambo ambalo Russia watalifanya ni kwamba Ukraine akitumia hizo ATCMS, basi tusije kushangaa miji kama Kiev umesambaratishwa kwa mabomu yenye nguvu zaidi na kufanywa majivu.
Urusi hata afanyaje ukraine sio jipya tena watu wataona. Ili kama hataki ashambuliwe yeye asishambulie na ahame kwenye miji ya watu.
 
Kama wewe ni mfuatiliaji Putin alipokwenda Chechnya mwezi August, Ramzan alimwambia ana vikosi vya wapiganaji wangapi?
Chechnya inajulikana Haina wapiganaji wa kuhimili hata mwaka mmoja hawawezi, tuwe wakweli Putin anatakiwa aifanye Ukraine kama Gaza iwe onyo kwa wamagharibi tofauti na hapo Putin katuangusha sanaa
 
Turkish President Erdoğan stated that Crimea must be returned to Ukraine and reaffirmed Turkey's support for Ukraine's sovereignty and territorial integrity in line with international law. In a video address to the Crimea Platform, he expressed Turkey's sincere desire for the war to end with a just and lasting peace based on Ukraine's territorial integrity, sovereignty, and independence.
View attachment 3093233
Russia ailipoichukua Crimea iiigawa na kuna pande mbili inokaliwa na warusi wazungumzao kirusi na wale wa kabila la Tatar ambao huzungumza kituruki na ambao ndo wamekuwa wakiwa katikati ya mgogoro.,

Ila uhusiano wa Russia na Uturuki bado ni imara na mwezi ujao Putin ataenda Ankara na ametaka ndege yake iongozwe na ndege za kijeshi za Russia.

Uturuki ni mwanachama wa NATO hivyo yamwia vigumu kwani inabidi wazime mitambo ya ADS ili ndege ya Putin na ndege zingine za kivita zinoiongoza zitue Ankara.

Uturuki nao wana mtambo wa nyuklia ambao umejengwa na Russia sehemu iitwayo Akkuyu na Russia wataka mkataba mwingine wa kujenga kinu kingine sehemu iitwayo Sinop.

Hivyo hizi ni lugha za kidiplomasia lakini nyuma ya pazia ni masuala mengine.
 
Hahitaji nuclear war heads nyingi, alizonazo UK pekee zinatosha kuifuta Urusi na zikabaki nyingi tu.
Wabongo kwa UJUAJI. Eti UK amazo za kuifuta Urusi na zikabaki. Huwa nawasoma tu humu jinsi mlivyo wajuaji, kuna Mwenzako naye anasema Urusi ina nuclear ya kuifuta Kiev, na mwingine anase Urusi ana nuclear za kuifuta Uingereza.
 
Chenchen Bado haiwezi kuhimili vita na Ukraine hapa tusidanganyane, yani hicho kikosi hakifikishi hata wapiganaji 50000 ndio kije kuhimili vita na nchi? Hili ni jeshi la urusi linapigana na wanaokufa Wana sare jeshi la urusi, Hapa Putin anatakiwa apige kama netanyahu kule gaza, tofauti na hapo Bado Putin katuangusha sanaa
Kwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.

Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi

2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna

3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.

5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...

6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.

7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.

8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....

10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..

11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.

Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.
 
Tutegemee vita kuu ya tatu ya dunia kama UK, USA, France wataruhusu Ukraine kutumia long range missile. UK inaweza futika na kuzamishwa. Hawa USA wanaitafuta Russia muda mrefu hali inaweza kuwa mbaya sana uko mbeleni. Ukraine lilikuwa lango la kuingilia kwenye vita. Russia+ China+ Iran V's NATO+ USA hapo lazima dunia igeuke majivu.
Haaahaaa!! Eti UK inaweza futika na kuzamishwa. WABONGO HEBU ACHENI UJUAJI. Yaani wewe unajua kuliko Muingereza mwenyewe. Kama ingekuwa hivyo unafikiri UK angesubutu kuichokoza Russia. Kimsingi hayo mataifa makubwa ya Magharibi yameshafanya tathimini na wanajua Russia anapigika tu na wanachofanya ni hatua kwa hatua kwa kuitumia Ukraine. IPO SIKU DUNIA ITASHANGAZWA ITAKAPOSIKIA NUCLEAR PLANS ZOTE ZA RUSSIA ZIMEPIPIGWA ILI MADHARA YABAKI KWAO HUKOHUKO.

PIA KWENYE HII DUNIA MWENYE JEURI YA KUTAMBIA NUCLEAR NI MAREKANI TU MAANA NI YEYE TU AMBAYE ALIIFANYIA KAZI . WENGINE WANAWEZA KUSEMA WANA NUCLEAR LAKINI KUMBE NI TUI LA TATU LA NAZI
 
Kwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.

Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi

2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna

3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.

5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...

6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.

7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.

8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....

10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..

11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.

Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.
Putin mwenyewe alishasema yuko vitani, story za SMO zilishaisha.
 
Haaahaaa!! Eti UK inaweza futika na kuzamishwa. WABONGO HEBU ACHENI UJUAJI. Yaani wewe unajua kuliko Muingereza mwenyewe. Kama ingekuwa hivyo unafikiri UK angesubutu kuichokoza Russia. Kimsingi hayo mataifa makubwa ya Magharibi yameshafanya tathimini na wanajua Russia anapigika tu na wanachofanya ni hatua kwa hatua kwa kuitumia Ukraine. IPO SIKU DUNIA ITASHANGAZWA ITAKAPOSIKIA NUCLEAR PLANS ZOTE ZA RUSSIA ZIMEPIPIGWA ILI MADHARA YABAKI KWAO HUKOHUKO.

PIA KWENYE HII DUNIA MWENYE JEURI YA KUTAMBIA NUCLEAR NI MAREKANI TU MAANA NI YEYE TU AMBAYE ALIIFANYIA KAZI . WENGINE WANAWEZA KUSEMA WANA NUCLEAR LAKINI KUMBE NI TUI LA TATU LA NAZI
Namuhurumia Putin mno,kwa Sasa anajaribu kuwatumia marafik zake kuomba kukaa meza ya mazungumzo.,alianza victor orban.,akafuatia lukashenko., akafuatia Narendra modi.,na Jana rais wa china alisikika akiomba kutatua mzozo huu kwa njia ya mazungumzo, lakini naona huko west hakuna hata anayegangaika kuwajibu ., inaonekana West wameshapima muelekeo wa hii vita na wanataka ifike kule wanapotaka ifike

N.B.west ni wazee wa kuuma na kupuliza,ni vigumu sana kuing'amua mipango Yao🤩😍😎
 
Back
Top Bottom