Chenchen Bado haiwezi kuhimili vita na Ukraine hapa tusidanganyane, yani hicho kikosi hakifikishi hata wapiganaji 50000 ndio kije kuhimili vita na nchi? Hili ni jeshi la urusi linapigana na wanaokufa Wana sare jeshi la urusi, Hapa Putin anatakiwa apige kama netanyahu kule gaza, tofauti na hapo Bado Putin katuangusha sanaa
Kwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.
Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi
2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna
3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.
5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...
6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.
7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.
8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....
10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..
11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.
Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.