*Sudan NATO hakuna maslahi napo.Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadam
*Congo wazungu ndio wafadhili wa vita ili wapate bloody minerals.
*Myanmar hapana maslahi napo NATO.
*Gaza USA,UK na Germany wapo upande wa Israel na hata October 7 walipeleka shehena ya silaha huko.
Hivyo haina haja ya NATO ilhali USA,UK wapo kama washirika wa Israel.
*Nagorno Karabakh NATO hawana maslahi napo licha ya kutokuwa na maslahi napo kuna vidume viwili teyari vimekita mizizi ambavyo ni Turkiye na Russia.
*Ethiopia NATO hawana maslahi napo.
Ila Ukraine kuna geopolitical potentials nyingi sana kwa NATO.
Kwanza utambue kiushindani wa jeshi Russia ndio tishio kwa NATO.
Pili Ukraine kuna maliasili nyingi sana ambazo za kunufaisha.
Hivi unadhani EU na USA/NATO wajinga kuingilia hili suala!??
Hapo ndio wamepata fursa ya kumuangusha Russia ndio maana wao wanasisitiza vita iende muda mrefu.