Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
Hata nyie hua hampendi kupingwa pale tunapowajibu hoja zenu,kwa kuonesha kua west sio Kila kitu,Kuna nchi za east pia zina uwezo hata kushinda West.
Ni kwamba mmekalili kua Kila uwezo uko west.
Sasa soma hapo juu ulichoandika.
Uliandika vitisho na mikwara ya NOKO haviwezi kushinda vita.
Lakini kumbuka USA hailali usingizi juu ya mafanikio ya NOKO ya silaha.
Sasa kama USA inahangaika na NOKO ambayo Ina mikwara na vitisho vya burwe wewe ni nani hata uandike hivyo.?
Ah wapi tatizo lenu mtu akiandika tofauti na ninyi mnaita mjuaji, mnapenda muandikiwe mambo mnayoyapenda nyinyi tu. Alafu mimi sijaidharau N. Korea hata kidogo lakini ifike maali tuache tabia ya kusifia vitu vya kijinga, hiyo N. Korea Bado inajitafuta miaka hii, anafanya majaribio ambayo wenzake kina china, marekani, Urusi imefanya miaka kibao uliopita, yaani hiyo mikwara ya bwana Kim ndio inakufaya uipe nguvu ya kushinda vita dhidi ya marekani, Urusi, china?
Alafu mnataka marekani aivamie N. Korea kwanini yani, aivamie kwasababu zipi?
Leo inaonekana unataka kukana maandiko Yako.
Wala sisi hatukatai nyie kuandika mambo mnayoona nyinyi yanafaa,ila sisi hua tunakuja na hoja kupinga upotoshaji wenu. Mfano huo hapo juu.
Wala Sisi sio tunaotaka Marekani iivamie NOKO Bali ni Marekani yenyewe miaka nenda miaka Rudi ndio wanaotaka kuivamia NOKO.
Ila kwa vile nchi yenyewe sio dhaifu wanaufyata.
Mara ya mwisho eti USA waliikataza NOKO isithubutu kujaribu makombora yake Donald Trump akiwa Rais kwamba ikijaribu ataipiga, North Korea ikajaribu,USA wakapelela misafara ya melivita,mwisho wa siku wakageuza wao wenyewe bila kufanya chochote.
Sasa kama ingekua Ina mikwara na haiwezi kufanya chochote mbona walirudi?
Haya ona maneno Yako ya dharau eti tuache kusifia vitu vya kijinga kue eti north Korea bado inajitafuta.
Niko Iko kwenye ligi na USA toka 1955.
Na ni USA ndio Inaendeleza mgogoro na Korea kaskazini'.
Tatizo lenu nyie propaganda za west kua NOKO ni masikini zimewaingia Kila Kona ya mishipa ya damu zenu.