Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,660
- 2,932
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hapo Russia anaweka Nuclear Missile zikiangalia huo mjiBECAUSE OF THE RUSSIAN INVASION IN UKRAINE- NATO will have its headquarters in the Finnish city of Mikkeli, which is approximately 140 km from the border and 300 km from Saint Petersburg in Russia.View attachment 3109383
hiyo kweli piaNaongea ambacho kipo, unaweza kuwa na mahela mengi ila still ukachapika.
Hapa jibu rahisi pia si inategemea muhamiaji anataka kwenda wapi yani unawapangia wahamiaji pakuhamia piaInategemea na mtazamo wako. Ukiwaona Putin na Kiduku na nchi zao ni wastaarabu sawa. Ukiwaona USA na wapambe wake wa Ulaya Magharibi ni wastaarabu nayo sawa. By the way, kwanini wahamiaji ni wengi zaidi Marekani na Ulaya Magharibi na sio Russia, Korea Kaskazini na China? Ukinijibu hapo ndio utajua maana ya ustaarabu ninaouzungumzia! Ahahahahaha!!!!